Utotoni dalili ya kwanza kuwa wewe ni wa kiroho or chosen one

Utotoni dalili ya kwanza kuwa wewe ni wa kiroho or chosen one

Unachokisema ni kweli kabisa, yaani hata akikohoa anaachia kimba hapo hapo.

Inasemekana alipiga chafya akiwa kwenye kampeni ya sisiem kule Songwe kimba likamchoropoka.

EvilSpirit
Naam mkuu nimeitikia wito nimekuja kuongeza nguvu kuusema ukweli kuhusu huyu binti Lucas Mwashambwa nimesikia kuna kile kijamaa midget cha kisarawe kilichosema kitawavunja watu miguu wakiandamana kimemkaza sana Mwashambwa na ndio kilichomuingiza huko ccm,Naomba kuwasillisha
 
Dalili moja wapo ambayo ni sign tosha kwamba muhusika ni mtu ambae Dunia inamtalajia kumtumia kama Mtendakazi au kiongozi wa mambo muhimu ya Kiroho ni hii

KUKOJOA KITANDANI.
i. Mtu wa kiroho ni mtu anapokea nguvu na maagizo rohoni na kufanyia kazi mwilini.

Kwanza Tafsiri ya ndoto kuwa unaota ukikojoa au kwenda haja kubwa ni kwamba...

ii. Kama ilivyo kwa Mwili unahitaji kwenda toilet kujisafisha kwa kutoa visivyohitajika mwilini, na Roho ni hivo hivo.
When God remove unclean things to your Soul ni kitendo cha purification or Cleaness kiroho.

iii. Pia kitendo cha mtu kuona jambo ndotoni ni dhahili linatokea kiasi cha kwamba mwili unashindwa kujizui na kusupport ni dalili tosha kwamba Mwili wako umeumbwa kupokea vitu vingi rohoni.

iv. Mungu kuonesha utofauti kati yako na watoto wengine ni utajikijolea sana kitandani hadi pale utakapoa anza kujua kukusanya maarifa ya kiroho kwa kumjua Mungu tangu utotoni.

Nature ya Dunia ni kwamba, Kila chenye thamani kina gharama zake.

Ronaldo au Messi kuwa footballer's kuna gharama wamelipa, kimaisha. Unazijua? Maumivu ni mengi

There is a price to pay to get something Wealth.
Kadanganye akina Rayns Harmful secretarybird [
 
KUKOJOA KITANDANI : mimi ni mtu wa utafiti naweza nikakubali au nikakataa lakini kunasehemu nataka kukuamini kwani kuna watu walikuwa na katabia kama hizo ni kweli wapo kiroho zaidi , aidha ni watumishi wa Mungu au wa shetani , yaani ni waganga. lakini code nyingine ni .

1. kukataliwa
2. kupitia magumu na kama vile dunia imekukataa
3. kufa na kifo kukukataa
4. Ukitoa mawazo , jamii haikuelewi/kama ni mwanafunzi anaweza hata akawa kama mjinga wa darasani
5. Ugomvi kuwa mbali na wewe /huruma inakushika hata kama ni jambo la kipuuzi
6. ukilala usiku unapatwa na jinamizi{sleeparalysis}
7. kuchagua chakula na maeneo ya kwenda .
Humu sasa ndo nimo
 
Naam mkuu nimeitikia wito nimekuja kuongeza nguvu kuusema ukweli kuhusu huyu binti Lucas Mwashambwa nimesikia kuna kile kijamaa midget cha kisarawe kilichosema kitawavunja watu miguu wakiandamana kimemkaza sana Mwashambwa na ndio kilichomuingiza huko ccm,Naomba kuwasillisha
Hahaha 😂, kumbe yule jamaa aliyeahidi kuwavunja watanzania ndiye alimvunja marinda ya Luca. Nilikuwa sijui.
 
Back
Top Bottom