Mda wako bado kuwa kiongozi. Kwani ushafika hata miaka 50 mkuuTuliojikojolea sana kitandani na hatujawahi kuongoza hata mbuzu mpaka huku uzeeni unatuambiaje, au utatuambia Kuna pahala tulikosea?
Hahaaa wewe jua kwamba mm ni mzee tayariMda wako bado kuwa kiongozi. Kwani ushafika hata miaka 50 mkuu
Kwa sababu wamegundua ni shit😂😂Mbona uzi upo jukwaa la mapishi mkuu
Mungu unamtambuaje?DINI NA BIBLE NA QURUAN HIVI VITU VIMEKUJA JUZI ILA BINADAMU YUPO ANA MIAKA ZAIDI YA 1M
Ni muhimu kukubali ukweli kuwa dini ni man made and not GOD made .
Sawa mkuuHahaaa wewe jua kwamba mm ni mzee tayari
Na haamini Biblia wala Quran, sasa amejuaje kuhusu dhambi?Mungu unamtambuaje?
kuna siku uliongelea kuhusu dhambi
Dhambi ni nin?
Wewe umejuaje hii ni dhambi hii si dhambi?
😂😂😂😂😂Hatimae vikojozi wamepata cha kujivunia.
Wamepata mtetezi, kikojozi mwenzao.
Hahaha 😂, Sidhani.ujue huyo anahitaji elimu tu kidogo, but tayari yuko Gifted, ni mteule
Unachokisema ni kweli kabisa, yaani hata akikohoa anaachia kimba hapo hapo.Lukas mwashambwa mpaka anajinyea kitandani makomredi wa sisiemu walisha mdukua kijambio center bolt 🔩 vilisha legea kitambo sana ...sikuizi yupo ndani ya pampers hadi wanamuita PAMPERS BOY
Luka, wakati mwingine huwa anajinyea kabisa kitandani hasa pale anaposhtushwa....si hana marinda?Kama Lucas Mwashambwa anakojoa kitandani basi itakuwa ana karama kubwa ya kiroho. Na kitendo cha yeye kukojoa kitandani ina maana ni machukizo ya Mungu kwa kutaka kuitupa karama hiyo na kuandika upuuzi.
Kikojozi mwingine ni Lucha
Godoro la sufi. Umenikumbusha zamani sana.Kuna ukweli mm nimepitia hayo nimekula viboko,kutembezwa mtaani ukirudi kuanika godoro la Sufi zito ni kudondoka nalo hakuna kusaidiwa,nilikuja kuacha darasa la sita Ila nilikuwa ninapewa pesa na mfadhili dah maisha haya
Ndio ni ke na ni muhenga aisee wacha wakojoe Tu siwachapi maana nimeelewa kwann inakuwa hivyo,hakuna cha kufanya asili inapoamuaGodoro la sufi. Umenikumbusha zamani sana.
Wewe mhenga wa kuzaliwa 70's au early 80's.
Wewe KE au sivyo?
Ukiolewa na mwenza mwenye asili hiyo ujue watoto watalibwaga sana kojo. Watoto wanarithi hii kitu.
Sina nia ya kukufanya ujisikie vibaya. Asili hiyo ipo kwa familia yetu.
watumishi wa Mungu au Waganga au Wamiliki ndagu kwenye familia yenu hawakosi..Godoro la sufi. Umenikumbusha zamani sana.
Wewe mhenga wa kuzaliwa 70's au early 80's.
Wewe KE au sivyo?
Ukiolewa na mwenza mwenye asili hiyo ujue watoto watalibwaga sana kojo. Watoto wanarithi hii kitu.
Sina nia ya kukufanya ujisikie vibaya. Asili hiyo ipo kwa familia yetu.
Sisi na nyumba za ibada mbalimbali.watumishi wa Mungu au Waganga au Wamiliki ndagu kwenye familia yenu hawakosi..
Exactlyhata mimi nina ushahidi wa watu maarufu wamepitia kubebeshwa godoro la mikojo na kuimbiwa kindumbwe ndumbwe
Jamaa hajaelewa kafikiri naongelea Mamlaka,
Naongelea dalili ya kipaji chenyewe sio mamlaka inayokuja baada ya kuelimika na kuanza kufanyia kazi kipaji husika.
Siasa zimewafanya kuwa so blindsHapo ndiyo umeshaharibu , Lucas Mwashamba hawezi kuwa gifted kamwe