A
Anonymous
Guest
Leo nilikua nasafiri Kutoka Mwanza, kufika getini, nikaonesha tiketi ya kidijitali (kielektroniki) kwenye simu.
Katika hali ya kushangaza mhudumu akagoma ety napaswa kuonesha hardcopy au kulipia Ushuru sh 300. Kuhoji naambiwa ety Kodi hiyo ni ya halmashauri ya Jiji la Mwanza.
Jambo kama hili lilipigiwa kelele stendi ya Mabasi Magufuli. Likaondolewa! ikawa kama una tiketi hulipi maana tayari umeshakatwa kwenye nauli. Hata Nyegezi mwanzo hapakua na utaratibu wa kulipa kama una tiketi ambayo ni ya kidijitali.
Sasa kama ni hivyo halmashauri ya Jiji la Mwanza haioni kua inafanya dhuluma? Mkurugenzi umeshindwa kubuni vyanzo vipya vya mapato mpka utuibie kwa nguvu? Au Ndo muda wa kumalizia makisio ya makusanyo ya mapato? Kimsingi nini maana ya kua namfumo ambao ni WA kidijitali kama bado mnataka Analog? MJITAFAKARI NA MTUJIBU Kinyume chake wasafiri hatuoni sababu ya kulipia.