A
Wewe ulikua mwepesi sana hapo tunapitaga bureKatika hali ya kushangaza mhudumu akagoma ety napaswa kuonesha hardcopy au kulipia Ushuru sh 300. Kuhoji naambiwa ety Kodi hiyo ni ya halmashauri ya Jiji la Mwanza.
Wepese ndio hua wanawakamia mimi silipagi hizo hela akitaka aje anishike shatiStendi zote zina huo ujinga