UTT AMIS naona kwenye account yangu ya UTT hela imeongezeka kidogo

Soma theories of Wealth creation then urudi hapa

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Narudia tena kusema. Uwekezaji wa aina hii ni kwa ajili ya aina ya watu wasiokuwa na akili za kibiashara.

Kwa watu wenye akili zilizolala uwekezaji huu una faida kwao. Hata akiwekeza miaka 10 au 20 atakachovuna ataona amepata faida kubwa.
Lakini, kwa mtu smart kichwani huu siyo uwekezaji wenye faida.
 
Tunaweka UTT ili kuepuka inflation ambayo average last year average ilikuwa 4.5% Last year return ilikuwa 14% hivyo ni uwekezaji salama kabisa ambao uko recommended na wataalam wa Economic na Finance mkuu.

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu huhitaji kuwa smart kwenye investments unahitaji kuwa wise kwenye investments.

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Unaweza andika manamba namba apo unajiona kichwa kumbe wewe ndio mjinga. Kitu pekee unashindwa kuelewa ni kutofautisha biashara na uwekezaji. Kama ukielewa hilo na ukajua namna UTT inafanya kazi njoo hapa uandike comment kama hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe huna pesa na km una pesa basi pesa zako ni za mawazo na kutaka utajiri wa hapo kwa hapo, nenda kaweke 20,000/- Kaylinda wakupige uanze kulialia huku UTT waachie wasiokua na pesa za mawazo wenye malengo ya mda mrefu sio malengo ya mda mfupi

Nitarudi baadae..
 

Kuna sehemu nimeandika nafanya biashara ya UTT? Unafikiria kwa kutumia kiungo Gani?
 
Ndiyo maana nimesema "siwalaumu" maana binadamu tumetofautiana uwezo wa akili.

Na huna haki ya kutulaumu kwa sababu hakuna mtu aliyekuja kukuomba ushauri au hela ya kufanyia biashara. Sasa mandate ya kumlaumu mtu unapatia wapi? Nishasema kule pesa yangu nimehafadhi ili biashara ninayoifanya ikiwa shwari nikaitoea hela then niifanye km ninavyoifanyaga.
 

Exactly. Hlf hawa binadamu hawaelewi kabisa. Kule nimeweka hela kwa muda ili biashara yangu ninayoifanyaga miaka yote iwe shwari. Then baadae naitoa naenda kuifanyia Kazi. Hlf hela ukishaweka kule unaweza kuitoa baada ya miezi 3. Sasa kuliko hela ikatwe benki nikaona Bora niiweke kule ili angalau iingize chchte. Wanachofikiri hawa ni kwmb nafanya biashara ya UTT[emoji23][emoji23][emoji23]. Kumbe UTT nimehifadhi tu. Ujuaji mwingi.
 

We jamaa vp. Nani anafanya biashara ya UTT? Huko nishasema nimehifadhi fedha zangu ambapo napata gawio kwa kuhifadhi kwangu huko kuliko kuweka benki. Mbona huelewi aseeee
 

Kwa mfano Kuna mtu amewekeza kwa miezi 6 sh 80m pekee then ataenda kuichukua hela yake aipeleke kwny biashara yake. Huyu mtu atalamba gawio la tsh laki saba na ushee kwa mwezi mara miezi 6 atalamba m4.2 huku akiwa amelala tu. Nmb bank fixed deposit wanatoa m1.4 kwa hiyo hela na hiyo miezi. Hivi hata kwa akili ya kawaida huoni kwmb UTT ni sehemu ya maana haswaaa? Elewa kwmb watu hawafanyi biashara ya UTT isipokua wanahifadhi hela zao wakisoma ramani za biashara zao huku wakipata faida na mm ndicho nilichomaanisha kwny post yangu. Mbona hii kitu mm naona iko wazi na inaeleweka vzr tu. Shida iko wapi kaka?
 
We jamaa vp. Nani anafanya biashara ya UTT? Huko nishasema nimehifadhi fedha zangu ambapo napata gawio kwa kuhifadhi kwangu huko kuliko kuweka benki. Mbona huelewi aseeee
Wewe ndiyo hakuna kitu unajua. Hivi biashara nini??
Au kwa akili zako unafikiri biashara ni kuuza physical goods na kupokea pesa pekee? Hujui kwamba hata kuweka pesa benki ni aina fulani ya biashara?

Eti kuweka pesa UTT siyo biashara, yaani kwa akili hizi za Watanzania taifa hili linasafari ndefu sana. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
We jamaa vp. Nani anafanya biashara ya UTT? Huko nishasema nimehifadhi fedha zangu ambapo napata gawio kwa kuhifadhi kwangu huko kuliko kuweka benki. Mbona huelewi aseeee
Sasa kama unahifadhi huko, Kwanini uje kutuambi """___ni bonge la dili""hahahah kwamba unawapigia promo wamekupa Tsh 1 kwa kila vipande vyako ulivyonunua kila kimoja Tsh 114?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Kwa mtazamo wako ww biashara na investment ndo viko sawa. Ni ww. Sishangai na wala sikulazimishi ukubaliane na mm. Baki na unachokielewa na mm nabaki ninachokielewa. Nimeshafannya sana biashara a naendelea kuzifanya. As long asa niko kwny right track no prob[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Sasa kama unahifadhi huko, Kwanini uje kutuambi """___ni bonge la dili""hahahah kwamba unawapigia promo wamekupa Tsh 1 kwa kila vipande vyako ulivyonunua kila kimoja Tsh 114?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Unaelewa jinsi compound interest inavyofanya Kazi? Nilinunua vipande kwa 113tsh nna uwezo wa kuuza anytime nikitaka tena saiv naona Bei ya vipande inapanda. Imefika 114tsh. Akili yako inakutuma kwmb kwa sababu nimenunua tsh 114 na ninapata gawio la tsh 1 kwa Kila kipande basi ni hasara. Unashindwa kuelewa ktk huu mfumo Kuna kununua na kuuza vipande[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Ama kweli Kuna watu mazuzu. Guys elimikeni kwnz kabla hujatokwa na povu. Aibu hii
 

Mbona hoja yangu ya kuihifadhi hela ambayo napata faida inapokaa idle huko then baadae nije nifanye biashara mbona unaikwepa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hebu tujadili hii hoja ambayo ndio lengo langu haswaaaa la kuwekeza UTT
 
Unashindwa kuelezea hadi unatukana,Poor you.
 
Mbona hoja yangu ya kuihifadhi hela ambayo napata faida inapokaa idle huko then baadae nije nifanye biashara mbona unaikwepa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hebu tujadili hii hoja ambayo ndio lengo langu haswaaaa la kuwekeza UTT
Halafu pia rejea mada yako kule juu...Ulisema umefanikiwa kupata gawio baada ya kuwekeza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] katikati unaanza kujisemea eti umehifadhi(na unaamua kubishania na watu hapo[emoji23]) Acha janja janja mkuu.

Rejea andiko lako huko. Au umesahau maneno yako? Ama hata kuEdit huko juu hujui?![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Poor you.
 
km hujui kuhusu utt kaa kmyaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…