Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,720
- 6,957
Narudia tena kusema. Uwekezaji wa aina hii ni kwa ajili ya aina ya watu wasiokuwa na akili za kibiashara.Soma theories of Wealth creation then urudi hapa
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Kwa watu wenye akili zilizolala uwekezaji huu una faida kwao. Hata akiwekeza miaka 10 au 20 atakachovuna ataona amepata faida kubwa.
Lakini, kwa mtu smart kichwani huu siyo uwekezaji wenye faida.