UTT AMIS naona kwenye account yangu ya UTT hela imeongezeka kidogo

Since nimejiunga UTT nimegundua kitu.... wanaosupport idea hii ni watu wenye vipato vikubwa na elimu ya fedha..... wanaodiss ni watu wa kipato cha chini na wasiojielewa kifedha.... hivyo basi nimechagua kukaa kimya.... nitaendelea kuwashirikisha mambo ya maendeleo watu wenye fedha tu.....
 

Unaakili kubwa sana. Na sio tu kwmb unapokea hiyo 800k pekee kila mwezi. Kumbuka Kuna hela ya kutunza thamani kwa hali ya uchumi wa Dunia mbaya kwa miezi 6 kwenye 100m unawekewa 1m kumbuka Kuna mia 8 yako kila tarehe 10 inaingia. Kumbuka huna kelele na mtu[emoji16]
 

Kweli kabisa kaka unachosema ni kweli. Kuna mtu laki 2 kwake ninmtaji mkubwa sana. So hawezi kukuelewa ulimwambia akaweke fedha zake UTT apate gawio. Hata mm nakaa kimya aisee
 
Huu muda wa kubishana na watu hivi kuhusu UTT unaupata wapi ndugu?
Waache waamini wanavyoamini. Hatuwezi kufanikiwa kwa kutumia mlango mmoja pekee. Mgawanyiko wa mawazo ni jambo la kheri
 
Ukweli mtupu,
 
Humu wamejaa wafanyakazi wa UTT wakiwadanganya watu

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kuhusu hili uko wrong. UTT kiukweli sio kwa ajili ya wafanyabiashara bali kwa wawekezaji. Kuna kitu kinaitwa compounding kinafanya maajabu hapa ukiweka hela ambayo hauigusi kwa miaka mingi. Niliweka liquid 10m miaka mitano iliyopita sasa hivi inasoma 17,623,416.83

So wewe kama ni mfanyabiashara upo sahihi kuona faida yake ni ndogo. Ila kwa mfanyakazi ambaye anategemea mshahara hili ndio njia sahihi kwake. Hapa hata wanaojenga nyumba za kupangisha hawafikii manufaa ya UTT.
 
Mm naomba kufahamu inahusiana na Nini japo ela ya kuweka huko Sina nijifunze tu naona ni kitu kigeni kukisikia
 
Humu wamejaa wafanyakazi wa UTT wakiwadanganya watu

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app

Pitia hiyo thread soma post #71 upate elimu kidogo uepukane na hizi aibu ndogo ndogo. I know you are smart than this
 
Watanzania ni majitu mavivu kusoma.
UTT-AMIS ni mfuko wa serikali unaojihusisha na uwekezaji katika bonds za serikali. Unatoa fursa kwa watu binafsi, taasisi kuwekeza katika bonds za serikali.

Mpende kutafuta taarifa.
 
Uko sahihi kabisa.
 
Ndugu wapendwa wawekezaji kama mm jana mwaka Jana kuna mfuko mwingne unaiitwa FAIDA FUND upo chin ya watumish housings
Malengo na madhumuni ya mfuko huu n kama ule wa LIQUID FUND (UTT)

Kwa wanao ufaham plz embu tuelezen je na wenyewe n mzuri kwa kuwekeza ukizangatia huu bado mchanga tofaut na UTT

mawazo yenu na ufafanuzi plz wapendwa [emoji23]
 

[emoji23]=[emoji120]
 

Km unataka kupigwa nenda ukale za uso
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…