Investor 1
Senior Member
- May 4, 2022
- 106
- 206
Tupe muongozo sasaBado nasisitiza hii ni biashara ya watu wasiojitambua.
Haiwezekani uweke 100mil zikae tu
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupe muongozo sasaBado nasisitiza hii ni biashara ya watu wasiojitambua.
Haiwezekani uweke 100mil zikae tu
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kweli tuna safari ndefu sanaIla kweli, watawekaje hela zikae tuuu, wakati wengine hatuna hata mia?
Bora watuongezee kweny tumitaji twetu hutu twa ufundi simu tupate japo ahueni
Ni kweli kabisaSince nimejiunga UTT nimegundua kitu.... wanaosupport idea hii ni watu wenye vipato vikubwa na elimu ya fedha..... wanaodiss ni watu wa kipato cha chini na wasiojielewa kifedha.... hivyo basi nimechagua kukaa kimya.... nitaendelea kuwashirikisha mambo ya maendeleo watu wenye fedha tu.....
Some times tunasena once ignorant always ignorantHumu wamejaa wafanyakazi wa UTT wakiwadanganya watu
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hata ukiwaeleza hawawezi kukuelewa kwa kuwa hawako tayari kuelewaKuhusu hili uko wrong. UTT kiukweli sio kwa ajili ya wafanyabiashara bali kwa wawekezaji. Kuna kitu kinaitwa compounding kinafanya maajabu hapa ukiweka hela ambayo hauigusi kwa miaka mingi. Niliweka liquid 10m miaka mitano iliyopita sasa hivi inasoma 17,623,416.83
So wewe kama ni mfanyabiashara upo sahihi kuona faida yake ni ndogo. Ila kwa mfanyakazi ambaye anategemea mshahara hili ndio njia sahihi kwake. Hapa hata wanaojenga nyumba za kupangisha hawafikii manufaa ya UTT.
Comfort ZoneA standard 7 leaver can make more money out of 10m investment, usomi ni ujinga
Sorry usomi wa Africa.A standard 7 leaver can make more money out of 10m investment, usomi ni ujinga
..mkuu nadhani tunahitaji kuelimishana sana kwenye mambo ya investment..ninamfahamu mzee mmoja ambaye amekuwa akiwekeza kwenye Gov bonds kwa miaka kadhaa amefikia kupata kila mwezi zaidi ya 15miln kama gawio lake...yaani hiyo 15m per month inaingia tu bila yeye kugombana na mtu wala kutoka jasho..ninaelewa pia kuna wafanyabiashara wanatengeneza zaidi ya hiyo pesa per month but labda sio wengi na labda pia wanatengeneza baada ya purukushani nyingi na hata kukwepa kodi.Shida watu hawana hela. Pia hawana vyanzo vingi vya uhakika vya hela. Lzm wadiss UTT
UTT ni kitu inafanyika sana hata kwa wenzetu ,na watu wanatengeneza pesa nzuri tu ,mfano mtu ameweka milioni 500 , hiyo pesa annually ana pesa yake ndefu tu ,tena bila shida ,mistake tunayofanya wabongo ni kuamini kwamba ukiwa na kibiashara kina kuletea faida basi itakuwa hivyo hivyo kila siku ,hii mistake ni hatari ,kuna watu walikuwa na billions of tshs na biashara kubwa tu na miradi yao ila leo wamefilisika na wengine wamerudi zero , sababu hawakufanya investment .Shida watu hawana hela. Pia hawana vyanzo vingi vya uhakika vya hela. Lzm wadiss UTT
Bei ya kununua kipande ni shl. Ngapi? Ili upate gawio la shl.1 kwa kila kipandeInategemea una vipande vingapi. Huu mfuko minimum ni vipande 88,394. So chukua sh 1 X 88,394 vipande....unapata sh ngapi. Kuna watu wanavipande mpk 100,000,000. Fatilia bro usikurupuke
UTT ni kitu inafanyika sana hata kwa wenzetu ,na watu wanatengeneza pesa nzuri tu ,mfano mtu ameweka milioni 500 , hiyo pesa annually ana pesa yake ndefu tu ,tena bila shida ,mistake tunayofanya wabongo ni kuamini kwamba ukiwa na kibiashara kina kuletea faida basi itakuwa hivyo hivyo kila siku ,hii mistake ni hatari ,kuna watu walikuwa na billions of tshs na biashara kubwa tu na miradi yao ila leo wamefilisika na wengine wamerudi zero , sababu hawakufanya investment .
Na investment ni risk hedge kama mambo yakienda vibaya na biashara nyingi Tanzania hii hazimalizi miaka 10 zinakuwa zimefilisika , vibiashara vingi vya kuiganya tu humu bongo so survival rate ni ndogo mno , so unaweza kuwa na biashara unapata faida ila jua kuna booms and busts na ni wachache wanaochomoka kwenye huo mtego .
Na pia si kila mtu anaweza fanya biashara ,wengine personal characters zao tu haiwaruhusu ,so ni vizuri ni kuwekeza ,mtu anaweza kuwa muwekezaji na si mfanyabiashara na akawa tajiri mkubwa tu ,huko kwa wenzetu mtu kama Warren buffet Yule ni mwekezaji na si mfanyabiashara ila ni billionaire Kwa sasa
..mkuu nadhani tunahitaji kuelimishana sana kwenye mambo ya investment..ninamfahamu mzee mmoja ambaye amekuwa akiwekeza kwenye Gov bonds kwa miaka kadhaa amefikia kupata kila mwezi zaidi ya 15miln kama gawio lake...yaani hiyo 15m per month inaingia tu bila yeye kugombana na mtu wala kutoka jasho..ninaelewa pia kuna wafanyabiashara wanatengeneza zaidi ya hiyo pesa per month but labda sio wengi na labda pia wanatengeneza baada ya purukushani nyingi na hata kukwepa kodi.
...ni vizuri tukaendelea kufundishana kuhusu investment na money market funds...busness huchanua sana na pia nyingi hufa sana baada ya muda fulani..sasa wakati busness ikiwa imechanua sana ni muhimu pesa inayopatikana ikawekezwa kwenye investment as investment huwa zinakaa sana eg kuna migahawa, maduka ya nguo, sehemu za starehe zilivuma sana na wamiliki kupata pesa sana but baada ya muda zikapoteza umaarufu na wamiliki kufilisika kabisa sababu walifanya biashara tu bila investment...hata wasanii na wenye vipaji kama futballers wanapitia same cycle ya kuwa na pesa nyingi but no investments na matokeo tunayaona.
Tuendelee kupeana hii elimu zaidi.
UTT ni kitu inafanyika sana hata kwa wenzetu ,na watu wanatengeneza pesa nzuri tu ,mfano mtu ameweka milioni 500 , hiyo pesa annually ana pesa yake ndefu tu ,tena bila shida ,mistake tunayofanya wabongo ni kuamini kwamba ukiwa na kibiashara kina kuletea faida basi itakuwa hivyo hivyo kila siku ,hii mistake ni hatari ,kuna watu walikuwa na billions of tshs na biashara kubwa tu na miradi yao ila leo wamefilisika na wengine wamerudi zero , sababu hawakufanya investment .
Na investment ni risk hedge kama mambo yakienda vibaya na biashara nyingi Tanzania hii hazimalizi miaka 10 zinakuwa zimefilisika , vibiashara vingi vya kuiganya tu humu bongo so survival rate ni ndogo mno , so unaweza kuwa na biashara unapata faida ila jua kuna booms and busts na ni wachache wanaochomoka kwenye huo mtego .
Na pia si kila mtu anaweza fanya biashara ,wengine personal characters zao tu haiwaruhusu ,so ni vizuri ni kuwekeza ,mtu anaweza kuwa muwekezaji na si mfanyabiashara na akawa tajiri mkubwa tu ,huko kwa wenzetu mtu kama Warren buffet Yule ni mwekezaji na si mfanyabiashara ila ni billionaire Kwa sasa
Na bado million kumi yako ipo unakua hujapata hasaraMi sijui hesabu
Umeweka 10mil
Kila mwezi unapata 80,000
Mwaka mmoja unapata 960,000
Miaka 10 =9,600,000
Au nimekosea wakuu??
Investor 1Je value of money ivested in UTT inaendana na return inayotolewa? Pia how about other factors kama inflation tunayoiona Tanzania kwa kipindi hiki, matokeo yake ni depreciation. Huoni kama mfano umewekeza million 10 kwa miaka kadhaa, na unapata return ya 11% kwa mwaka. Katika swala la depretion huoni kama inflation na value of money havitoendana pale utakapoitoa. Hela ya baadae haiwezi kuwa na thamani ya hela amayo ungekuwa nayo leo. .
Mtazamo tu, nakubali kukosolewa. .
Naomba kujua utaratibu wa kujiunga ukoje chiefNafanya makosa kuongea na mtu ambae hata account number ya UTT hana plus sio mwanachama. Nakosea sana. Tunaongea nn. Nakuelewesha nn wkt hujui A wala B kuhusu UTT
Niliweka 20 million fixed deposit I&M bank in 2017. Nilikuw napata 2M per year. Kesho ngoja nitafute form nikutumie PMNaomba kujua utaratibu wa kujiunga ukoje chief
Utt amis kwa ninavyoona Mimi Ni chaguo sahihi imagine Kila mwezi unapata hata Kama Ni elfu kumi ambayo iko secured na pia primary investment iko safe utajiri hauji kwa siku moja na Ni tabia pia ukiwaza Sana kuipata hela kwa pamoja kwa haraka ujue pia unakaribisha risks za kuipoteza pia