DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Hizo UTT Ni biashara za Watu wenye mitaji mikubwa na pesa zao hazina kazi.Sikia ww. Mm ni mfanyabiashara mzuri tu. Baba nipo kwny biashara huu mwaka wa 8. Na Nina mtaji wa zaidi ya milioni 20. Kwny biashara alhamdulillah nimefanikiwa kiasi chake na niliianza na mtaji wa laki 3 na naijua biashara vzr kwa kias changu.
Nilichokisema ni kwamba segment ya biashara ya m10 kwa sasa soko limeyumba mno na hakuna business security yyte so nimeamua mpk mwakani ndo taifanya huku nikiendelea kupata mshahara pamoja na biashara zingine ambazo na zenyewe haziend km miaka ya nyuma kutokana global business crisis. Nimeamua nisifanya hiyo biz yenye capital ya 10m na hela isikae tu benki, walau iingize chchte kidogo ambacho ni kiasi hicho. Sasa hapo ubaya uko wapi
Tatizo ujuaji mwingi. Nimekwambia nipe blueprint ya super profit ambayo ww unaipata unaishia kusema Kila mtu na strategy zake.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe wa mil 20 mtaji na unawekeza huko tunakuchukulia una upeo Sana kiupambanaji,hebu tulia jitafakari sana kaa unachofanya ni sahii kwa uchumi uliokua nao