UTT AMIS naona kwenye account yangu ya UTT hela imeongezeka kidogo

Sikia ww. Mm ni mfanyabiashara mzuri tu. Baba nipo kwny biashara huu mwaka wa 8. Na Nina mtaji wa zaidi ya milioni 20. Kwny biashara alhamdulillah nimefanikiwa kiasi chake na niliianza na mtaji wa laki 3 na naijua biashara vzr kwa kias changu.

Nilichokisema ni kwamba segment ya biashara ya m10 kwa sasa soko limeyumba mno na hakuna business security yyte so nimeamua mpk mwakani ndo taifanya huku nikiendelea kupata mshahara pamoja na biashara zingine ambazo na zenyewe haziend km miaka ya nyuma kutokana global business crisis. Nimeamua nisifanya hiyo biz yenye capital ya 10m na hela isikae tu benki, walau iingize chchte kidogo ambacho ni kiasi hicho. Sasa hapo ubaya uko wapi

Tatizo ujuaji mwingi. Nimekwambia nipe blueprint ya super profit ambayo ww unaipata unaishia kusema Kila mtu na strategy zake.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hizo UTT Ni biashara za Watu wenye mitaji mikubwa na pesa zao hazina kazi.

Wewe wa mil 20 mtaji na unawekeza huko tunakuchukulia una upeo Sana kiupambanaji,hebu tulia jitafakari sana kaa unachofanya ni sahii kwa uchumi uliokua nao
 
Sikia ww. Mm ni mfanyabiashara mzuri tu. Baba nipo kwny biashara huu mwaka wa 8. Na Nina mtaji wa zaidi ya milioni 20. Kwny biashara alhamdulillah nimefanikiwa kiasi chake na niliianza na mtaji wa laki 3 na naijua biashara vzr kwa kias changu.

Nilichokisema ni kwamba segment ya biashara ya m10 kwa sasa soko limeyumba mno na hakuna business security yyte so nimeamua mpk mwakani ndo taifanya huku nikiendelea kupata mshahara pamoja na biashara zingine ambazo na zenyewe haziend km miaka ya nyuma kutokana global business crisis. Nimeamua nisifanya hiyo biz yenye capital ya 10m na hela isikae tu benki, walau iingize chchte kidogo ambacho ni kiasi hicho. Sasa hapo ubaya uko wapi

Tatizo ujuaji mwingi. Nimekwambia nipe blueprint ya super profit ambayo ww unaipata unaishia kusema Kila mtu na strategy zake.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hey Sir, Nisikize ukitoa wazo uwe tayari kupokea mawazo ya wengine hicho ni kipimo kidogo cha IQ, comment yangu haikumaanisha kutafuta nani mshindi, No

Nilichomaanisha ni kuwa kwa upande wako wewe ni sahihi ila kwa upande wangu mimi pia ni sahihi, ubaya uko wapi ama unataka wote tuwe na fikra sawa???
Wewe umechagua security ya pesa zako mimi nimechagua freedom. Kwaiyo uko sawa kwa upande wako manake umesema haina kazi ya kufanya kwa wakati huo ila kwangu mimi, 10mil ni pesa mingi na haiwezi kosa kazi za kufanya as I said nimechagua freedom hivyo basi sitaweza vumilia kuwekeza sehemu ambako sina full control na pesa zangu.

Kwamba upo kwenye biashara miaka ishirini ok sawa ila haisaidii kitu (you need to commit ego suicide) ili ukue.

Umetaka nikublueprint simply ni kwamba kabla sijawekeza pesa yangu sehemu yeyote cha kwanza nachagua field itayonihitaji kuwa creativity ili ikue then nawekeza muda wa kujifunza kikamilifu, hapo wengi tunafeli kwa kukosa focus, diligent, commitment na discipline sasa hawa wenye mifuko ndo wanakuwa muhimu hapo, maanake ukikosa hivyo vitu ni bora ukasev hiyo pesa kwa hizi mifuko.
 
Kwa nini majina ya ajabu kama vipande. Watu bado wanalea majeraha ya Kalynda, tena anajitokeza mwingine na utapeli. Kwanza hilo jina vipande ni tosha kuanza kuwa na shaka. Ebu tuelrze wenye kampun ni nani na wako wapi, maana wasijekuwa nje ya nchi ambapo hatuwapata wakiisha tuibia. Ukiskia kuna kampuni inalipa riba tosha kwa mwezi juwa uk karibu kuliwa. Watatoa mgao kuhaKIkisha watu wanawaamini. Baadaye watapandisha dau au watu kuongeza dau kwa sababu walikuwa wakipata elfu kumi, ishirini, thelathini. Tukishaanza kuamini tunaamuwa faida ibaki hukohuko ili dau liwe kubwa. Wengine wataongeza mtaji. Kufumba na kufumbua mtaambiwa ofisi zimefungwa, wahusika hawaonekani. CHUNGA SANA.
Mkuu umesoma mpk darasa la ngapi?
 
Mambo ya kiwaki Sana haya,
Hiyo mil 10 Ni Bora nijenge chumban&sebule master nipangishe kwa 120k kila mwezi uku pia hiyo nyumba nikichukulia mikopo kwenye mabenki kuliko huo upuuzi

Si unayo hiyo 10m nenda kajenge upangishe upate hiyo hela unayotaka. Usitoe alternative kwny plans za watu.
 
Hey Sir, Nisikize ukitoa wazo uwe tayari kupokea mawazo ya wengine hicho ni kipimo kidogo cha IQ, comment yangu haikumaanisha kutafuta nani mshindi, No

Nilichomaanisha ni kuwa kwa upande wako wewe ni sahihi ila kwa upande wangu mimi pia ni sahihi, ubaya uko wapi ama unataka wote tuwe na fikra sawa???
Wewe umechagua security ya pesa zako mimi nimechagua freedom. Kwaiyo uko sawa kwa upande wako manake umesema haina kazi ya kufanya kwa wakati huo ila kwangu mimi, 10mil ni pesa mingi na haiwezi kosa kazi za kufanya as I said nimechagua freedom hivyo basi sitaweza vumilia kuwekeza sehemu ambako sina full control na pesa zangu.

Kwamba upo kwenye biashara miaka ishirini ok sawa ila haisaidii kitu (you need to commit ego suicide) ili ukue.

Umetaka nikublueprint simply ni kwamba kabla sijawekeza pesa yangu sehemu yeyote cha kwanza nachagua field itayonihitaji kuwa creativity ili ikue then nawekeza muda wa kujifunza kikamilifu, hapo wengi tunafeli kwa kukosa focus, diligent, commitment na discipline sasa hawa wenye mifuko ndo wanakuwa muhimu hapo, maanake ukikosa hivyo vitu ni bora ukasev hiyo pesa kwa hizi mifuko.

Sawa nenda ukafanye km unavyotaka. Hlf baadae njoo utuambie mafanikio yako ili tujifunze kutoka kwako
 
Inategemea una vipande vingapi. Huu mfuko minimum ni vipande 88,394. So chukua sh 1 X 88,394 vipande....unapata sh ngapi. Kuna watu wanavipande mpk 100,000,000. Fatilia bro usikurupuke
Hujajibu swali Mdau
 
Itunze hii comment yako,.. baada ya miaka 7 uniulize

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Miaka saba tena? Mm nikajua nachota madini kwa vivid and dramatic trader? Kwikwikwi. Kalakabaho. Ok inshallah km tutakua wazima utanikumbusha nione achievements zako km zina tija ukilinganisha na maneno yako
 
Hiyo 10M imayoleta 88k kwa mwezi hata kama lengo sio kupata faida kwanini usiweke tu 2M kwa chombo cha moto kitakacho kupa minimum 200k kwa mwezi , kuliko huo upuuzi

Hicho chombo ha moto ndo upuuzi wenyewe sasa. Inshort sifanyi kazi na mtu. KWA SASA Sio kipaumbele changu kwa sababu nishalizwa sana. Elewa hapa. Nimesema KWA SASA. labda huko mbeleni
 
Back
Top Bottom