jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Mwaka mzima unasubiri 1.2 m..na umeweka 10m..hujanishawishi niweke hela huko.Mwaka huu mpaka unafika mwisho 10m yangu utt itakuwa 11.2m.
#MaendeleoHayanaChama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka mzima unasubiri 1.2 m..na umeweka 10m..hujanishawishi niweke hela huko.Mwaka huu mpaka unafika mwisho 10m yangu utt itakuwa 11.2m.
Hiyo pesa bora kununua ardhi au dhahabu au kiihifadhi katika us dolla.100ml/853=117,233.29425557
Upuuzi mtupu.
Uwekeze 100m upate faida 117k?
Kwaninukijenga nyumba ya vyumba viwili kodi unachukua ngapi?Came on man..huu ni undezi wa ajabu yani niweke 10m nipata 88k per month..umasikini huu tunautafuta wenyewe huku tukitajirisha wengine.
#MaendeleoHayanaChama
Ukiweka benki 10m kwa mwezi unahisi unaweza ukapata 100k kama faida kila mwe,I. Au ukichukua 10m ukanunja kiwanja unaweza ukapata faida ya 1.2m baada ya mwaka kwenye plain plot.Umewekeza 10m halafu upate faida 1.2m kwa mwaka?[emoji45][emoji45][emoji15][emoji15][emoji15]. Yaani laki moja kwa mwezi??? Duuuh
Bora hata nyumba unaweza ombea mkopo au kuiuza zaidi ya hiyo hela.Kwaninukijenga nyumba ya vyumba viwili kodi unachukua ngapi?
Hiyo nyumba ya vyumba viwli ukiweka na kiwanja na gharama zote za ujenzi unaweza ukakuta inazid 10m . Na kodi unapata maximum 120k kwa mwezi. Sasa ndo uwekezaji wa Utt
Compound interest unaijua? Nimewahi kuweka 40m kwenye biashara na ikapotea kwasababu ya unforeseen circumstances. Ile hela ingekuwa utt sasa hivi ingekuwa kama 95mMwaka mzima unasubiri 1.2 m..na umeweka 10m..hujanishawishi niweke hela huko.
#MaendeleoHayanaChama
Sasa huoni hata kama una vipande 50000 ambavyo thamani yake ni milioni 70,000 bado utapata nyongeza ya Tsh 50000 pekee kama gawio ndo hiloTatizo kubwa la waafrika ni ubishi usiokuwa na maana yotote UTT Wana mifuko sita, thamani ya vipande inatofautiana, mtoa madam amezungumzia Bond fund ambapo bei ya kipande ni sh. 114 , amesema Kila kipande gawio ni sh. 1, sasa inategemea una vipande vingapi. Narudia tena tusiwe wabishi tutafute taarifa sahihi kwenye vyanzo sahihi.
Uwekezaji wa 10mil kupata gawio la 88,000 unasema inakusaidia lipa bills?Milioni 10 gawio ni 88,390/= kwa kila mwezi. Hii ni hela kubwa mno kwa fedha iliyowekwa pending ktk biashara yaani iliyokua haina kazi. Hili gawio kwa cc walala hoi tunalipa bills nyingi sana kwa mwezi[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Milioni 10 hata ukianzisha mpesa kwa mwezi faida ni zaidi ya 500k.Uwekezaji wa 10mil kupata gawio la 88,000 unasema inakusaidia lipa bills?
Mwaka mzima unasubiri 1.2 m..na umeweka 10m..hujanishawishi niweke hela huko.
#MaendeleoHayanaChama
[emoji851]Wacha nicheke kwanza,hide my icon"Q-net, scartex & na hii...Wakuu Jana nimefanikiwa kupata gawio la mwezi kwa mara ya kwanza tokea nilipowekeza.
Asante wadau wote mlionipa taarifa kuhusu UTT AMIS. Ndugu wanaosita kuwekeza huko wafanye hivyo kwani hawa jamaa ni real
View attachment 2383160
Huna akili100M÷853=11,296 Vipande
Thamani ya vipande haishukagi?Shida nnayoona hapa kwa wanaobeza UTT ni hawajui kuhusu kitu kinaitwa compound interest.
Kwanza niseme ndio iwapo una biashara yenye faida basi kupata 100k kwa mwezi kutoka UTT utaona ni jambo dogo. Ila lengo la UTT si kulinganishwa na biashara bali ni kukupa kipato kutoka kwenye pesa ambayo haizalishi kwa muda huo. Hii inaweza kuwa savings ama pesa uliyopata kwa mkupuo na bado haujaipangia matumizi. Badala ya kuweka beki ni vizuri ikae UTT ili angalau ishalishe kitu.
Turudi kwenye compound interest na jinsi ya kuitumia na UTT ili kufanya savings vizuri kwa ajili ya utaporetire.
Tutumie mfano wa jamaa ambaye ameweka 10m. Na tuseme kwa mwaka UTT Inatoa faida ya 10% kwa mwaka. Na pia tuseme jamaa ana mpango wa kuretire baada ya miaka 20. Na mwisho tuseme jamaa kila mwezi ana uwezo wa kuongezea 100k kwenye akaunti yake ya UTT.
Kwa kutumia calculator iliyopo hapa: Compound Interest Calculator | Investor.gov baada ya miaka 20, jamaa atakuwa amechangia jumla ya milioni 32 katika mfuko. Ila salio lake litakuwa milioni 150. Hivyo atakuwa amepata ziada ya milioni 120 kwa ajili ya kuretire huku akichangia 100k tu kwa mwezi.
Mnaweza kutumia calculator hiyo ili kuona jinsi kushiriki katika mfuko wa UTT unaweza kuwa na manufaa kwa savings za muda mrefu.
Duuh labda kama mtu huna mawazo kabisa ya biashara au ni mtu mvivu.Wakuu Jana nimefanikiwa kupata gawio la mwezi kwa mara ya kwanza tokea nilipowekeza.
Asante wadau wote mlionipa taarifa kuhusu UTT AMIS. Ndugu wanaosita kuwekeza huko wafanye hivyo kwani hawa jamaa ni real
View attachment 2383160
Inategemea umejenga wapi...nyumba uliyojenga dsm kodi yake haiwezi kuwa sawa na nyumba iliyojengwa nanjilinji.Ukijenga kijumba cha 10M ukapangisha kwa mwaka kinakupa sh ngapi?