UTT AMIS naona kwenye account yangu ya UTT hela imeongezeka kidogo

Ndo hapo Sasa. Hela ni zetu. Lkn tunapangiwa na wengine. Km wao wanaona Kuna njia nzuri zaidi fine wafanye tu hlf tutakuja kuoneshana makalio hapo baadae
Hatuumii mkuu tunawashangaa mlivyo wavivu. Uwekeze 10M halafu upate faida ya 3,300 (elfu tatu na mia tatu) kwa siku? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee huu uzi mnabishana bure[emoji23],naona tofaut ni vipaumbele kiukweli UTT kama utaichukulia ni biashara basi ni biashara kichaa ni ujinga wa fly over lakini kwa point ya mleta mada yeye amehifadhi tu hela zake yupo sahihi sana kuliko kuziweka bank na kuzieka cash atatumia
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Miaka saba tena? Mm nikajua nachota madini kwa vivid and dramatic trader? Kwikwikwi. Kalakabaho. Ok inshallah km tutakua wazima utanikumbusha nione achievements zako km zina tija ukilinganisha na maneno yako
Nilifikiri najenga hoja na mtu makini.
Miaka saba unaiona ni mingi sana???
Ok we kaa ukilaza akili ukitegemea kuna miujiza ya mtu akuzalishie hela yako.

Mzee siko na scheme za kulala masikini na kuamka tajiri, kukua kwa project kunanihitaji focus, ubunifu, akili na kujituma.
 
Tatizo la watanganyika wengi wamekariri maisha na hawako well informed. Mbona watu wanaoweka fedha kwenye fixed account benki ambako riba yake ni ndogo sana watu hawapigi makelele kwamba hao wanaoweka hela kwenye hizo fixed account ni wajinga ni bora wangefanyia biashara?

Kama baadhi ya wadau humu walivyosema, hii mifuko ya UTT ni kwa ajili ya uwekezaji either wa muda mfupi au mrefu. Lengo ni kuhifadhi fedha zako kwenye hii mifuko kwa muda unaotaka huku hiyo fedha yako ikikupatia riba/faida kulingana na kiasi ulichowekeza kwenye mfuko.

Na mara nyingi wanaowekeza kwenye hii mifuko ni watu ambao wana fedha lakini kwa wakati huo hawataki kuzitumia hizo fedha kutoka na malengo yao waliyonayo kwa baadae. Lakini pia wengine wanaweka akiba zao kidogo kidogo kila siku, wiki, au mwezi kwa lengo la kuraise kiasi fulani cha fedha ili aweze kutimiza lengo lake la baadaye wakati huo huo hiyo akiba yake akipata faida/riba.

Hivyo lengo la kuweka fedha kwenye hiyo mifuko ya UTT au hata kwenye Fixed account za benki siyo biashara bali kuhifadhi fedha zao ambazo wna malengo nazo kwa baadae. Lakini pia biashara siyo rahisi kama tunavyoaaminshwa na motivational speakers wa humu JF ambao hajawai hata kuuza pakiti moja ya Peremende (Pipi).

NOTE: BUSINESS IS NOT FOR EVERYONE (SIYO KILA MTU ANAWEZA KUFANYA BIASHARA). HIVYO ACHENI KUKARIRI MAISHA.
 
Mimi nawazo tofauti kwa wale wanaoipinga UTT?
Mtazamo wangu tutenge pesa kiasi cha Milioni 50 ufanye uwekezaji wa aina yoyote ile ila sio biashara narudia tena uwekezaji na sio biashara mfano kununua asset kujenga vyumba vya kupangisha watu wa makazi au maduka nunua eneo kudisha kanisa wakulipe au wanao fyatua tofari hata parking ya magari sawa tu vitu vya kuzingatia
1. Upo mkoa gani
2.Eneo utanunua bei gani
3.Ujenzi au uwekezaji wako mpaka kukamilika
utatumia sh ngap?
4. Makadirio kwa mwezi au mwaka utakua na uwezo wa kupata bei gani?

Kwa M 50 UTT utapata gawio la laki 5 kwa mwezi na kwa mwaka M6 na thamani ya kipande inakua na ukiihitaji pesa yako siku 10 za kazi unachukua pesa
Naipenda JF ni sehem nzuri ya kuelimishana
 
Hiyo 10M imayoleta 88k kwa mwezi hata kama lengo sio kupata faida kwanini usiweke tu 2M kwa chombo cha moto kitakacho kupa minimum 200k kwa mwezi , kuliko huo upuuzi
Hapo bora ujilipue upate pikipiki 3 uwape mkataba
Kwa mwezi hukosi 900,000 kwa mwaka 10.8mil
 
Aisee huu uzi mnabishana bure[emoji23],naona tofaut ni vipaumbele kiukweli UTT kama utaichukulia ni biashara basi ni biashara kichaa ni ujinga wa fly over lakini kwa point ya mleta mada yeye amehifadhi tu hela zake yupo sahihi sana kuliko kuziweka bank na kuzieka cash atatumia

Hakuna atakaekuelewa. Wao wnfkr nafanya biashara na UTT[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilifikiri najenga hoja na mtu makini.
Miaka saba unaiona ni mingi sana???
Ok we kaa ukilaza akili ukitegemea kuna miujiza ya mtu akuzalishie hela yako.

Mzee siko na scheme za kulala masikini na kuamka tajiri, kukua kwa project kunanihitaji focus, ubunifu, akili na kujituma.

Mzee kule nimehifadhi hela ili nipate chchte nikisubir kuinvest tena kwny biashara zangu Hali ya biashara ikitulia. Mbona huelewi kaka?
 
Kuliko 10M upate 80k
Kwa mwezi hata kama lengo sio kuzungusha hela yako bado ni ukichaa na uoga wa kupoteza hela
Kwani mtu akiweka huko hela ina maana anakuwa amekaa tuu anasubiri hiyo riba/faida ndogo? Mbona thinking capacity ya nyie watanganyika ni ndogo hivyo? Kuna wafanyabiashara wengi tu wanaweka kiasi cha fedha zao kwenye hii mifuko na bado wanaendelea na biashara zao. JAMANI ACHENI KUKARIRI MAISHA. Kwa mihemko mnayoonyesha humu sishangai kwa nini kila siku watu wanapigwa na hzi ponzi scheme kama Kalynda, Deci, n.k. TAMAA YA KUTAKA KUPATA MAFANIKIO NDANI YA USIKU MMOJA!
 
Simply they are poor in everything. Achana nao
 
Hata kama wanapigwa ila sio huu upuuzi wa kuweka 10m halafu upewe 88k per month...hell NO.

#MaendeleoHayanaChama
 
then mtu anaamua kuitoa na kuipeleka rasmi kwny Ile biashara yake
Kumbe unaruhusiwa kuitoa baada ya mwaka? Mimi sijui naomba kujua na kuuliza sio ujinga, mfano let say nimewekeza 100M baada ya mwaka nikataka niichomoe 100M yote ili niifanyie mambo yangu mengine naruhusiwa kuitoa yote?
 
Unaruhusiwa utajaza form ya kutoa pesa baada ya siku kumi za kazi unaingiziwa pesa yako kwenye account yako ya benk
 
Mpaka sasa naona tunahitaji elimu ya kifedha toka shule ya msingi. Yan haiwezekani mpaka mtu anamaliza chuo bado kichwani kwake anajua UTT ni sawa Kalyinda au Deci, mwingine ndio anaijua sasa hivi.

Siwalaumu sababu najua tuna ujinga wa elimu ya kifedha

Sent using Jamii Forums mobile app

Kupitia andiko lako hili wengine naimani watashtuka. Maana umewachana vibaya sana
 
Back
Top Bottom