Thabit Karim
JF-Expert Member
- Sep 3, 2012
- 393
- 735
- Thread starter
- #201
Wewe kuweka hako ka 10m ndio unajiona tajiri..acha dharau.
Wenye hela hawajitangazi mitandaoni.
#MaendeleoHayanaChama
Kuna sehemu imeandikwa hivyo unavonipa shutuma?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe kuweka hako ka 10m ndio unajiona tajiri..acha dharau.
Wenye hela hawajitangazi mitandaoni.
#MaendeleoHayanaChama
Kumbe unaruhusiwa kuitoa baada ya mwaka? Mimi sijui naomba kujua na kuuliza sio ujinga, mfano let say nimewekeza 100M baada ya mwaka nikataka niichomoe 100M yote ili niifanyie mambo yangu mengine naruhusiwa kuitoa yote?
Return Yake bado ni ndogoKwan UTT huwezi kukopea?
Hamna dili pale, labda dirishaHalafu anakuambia "ni bonge la dili" [emoji23][emoji23][emoji23]
Thaman ya nyumba Huwezi linganisha na hivyo vi-asilimia uchwara mnavyodanganywa huko.Si unayo hiyo 10m nenda kajenge upangishe upate hiyo hela unayotaka. Usitoe alternative kwny plans za watu.
Sawa mkuu, hio ni nzuri sana ila watu hawajui kumbe unapata faida aiseee pesa yako ipo pale pale ila kila mwisho wa mwezi unaingiza pesa safi sana mkuuMwaka mbali. Unaruhusiwa kuichomoa baada ya miezi 3. Ni Mimi ndo nimeamua kuichomoa baada ya mwaka nikitumai biashara ninayoifanyia itakua stable. Inshallah. In short unaweza kuitoa kuanzia miezi 3. So ni ww uichomoe baada ya miezi 3,4, miaka 10 n.k.
Acheni maneno mingi. Tuambieni hicho kipande kimoja unakinunua kwa Sh. ngapi?Inategemea una vipande vingapi. Huu mfuko minimum ni vipande 88,394. So chukua sh 1 X 88,394 vipande....unapata sh ngapi. Kuna watu wanavipande mpk 100,000,000. Fatilia bro usikurupuke
Hata kama kipande kimoja ni sh 100 bado hiyo ni biashara kichaa.Sh 114
Biashara siyo makalio hadi kila Mtu awe na kipaji hicho, tafiti vizuri kisha uje unishukuru.Hata kama kipande kimoja ni sh 100 bado hiyo ni biashara kichaa.
Kwa mtu mwenye akili ya biashara, milioni 100 unafanya kitu kitakachokuingizia kipato kikubwa mara dufu ya hilo gawio la UTT.
Hii mambo ya UTT ni kwa ajili ya watu wenye pesa wasiokuwa na akili za biashara. Siwalaumu, binadamu tumetofautiana akili.
Yaani inatia huruma sana!!!Ila kipande kimoja unajua ni sh ngapi[emoji3][emoji3][emoji3] yani mbongo kapewa sh 1 toka kwenye sh 115 sijui alizoweka anaonaa kaulaaa[emoji1787]
Ndiyo maana nimesema "siwalaumu" maana binadamu tumetofautiana uwezo wa akili.Biashara siyo makalio hadi kila Mtu awe na kipaji hicho, tafiti vizuri kisha uje unishukuru.
Wewe bado haujaelewa ila mimi nmeelewaHata kama kipande kimoja ni sh 100 bado hiyo ni biashara kichaa.
Kwa mtu mwenye akili ya biashara, milioni 100 unafanya kitu kitakachokuingizia kipato kikubwa mara dufu ya hilo gawio la UTT.
Hii mambo ya UTT ni kwa ajili ya watu wenye pesa wasiokuwa na akili za biashara. Siwalaumu, binadamu tumetofautiana akili.
Fikiria mara 3 mkuu wewe sio mfanyabiasha that's why ila kwa wafanyabiashara sio 50,000/- tu hata Tshs 1 kwa mwezi ina thamani kubwa saaana tofauti na vile unavyoelewaYaani inatia huruma sana!!!
Mfano, kipande kimoja cha UTT ni sh 144. Ukiwa na vipande 50,000 utakuwa umelipia sh 5,700,000 yaani 50,000 X 114 = 5,700,000
Sasa eti unawekeza 5,700,000 halafu unapata faida ya sh 50,000 tu kwa mwezi.
Huu ni ujinga wa kiwango cha standard gauge!! 😂😂😂
Tatizo siyo usahihi wa taarifa. Tatizo ni hiyo faida inayopatikana. Hiyo faida ni ndogo sana ukilinganisha na kiwango cha pesa unachowekeza.Tatizo kubwa la waafrika ni ubishi usiokuwa na maana yotote UTT Wana mifuko sita, thamani ya vipande inatofautiana, mtoa madam amezungumzia Bond fund ambapo bei ya kipande ni sh. 114 , amesema Kila kipande gawio ni sh. 1, sasa inategemea una vipande vingapi. Narudia tena tusiwe wabishi tutafute taarifa sahihi kwenye vyanzo sahihi.
Nadhani kuna tatizo mahali, mkuu naomba ufanye utafiti binafsi hata kwa mwezi mmoja then urudi hapa. Utt kuna mifuko Ina Compound interest ambayo ndio msingi mkuu wa uwekezaji. Huwezi linganisha return ya nyumba na faida au interest toka Liquid Fund hata kidogo, narudia tena hata kidogo. Lam ready to be corrected.Thaman ya nyumba Huwezi linganisha na hivyo vi-asilimia uchwara mnavyodanganywa huko.
Hayo Ni mambo ya baadhi ya wazee wastaafu wa serikali wasio akili za upambanaji
Mimi ni believer wa time na ni long term investor, I believe on magic of Compound interestTatizo siyo usahihi wa taarifa. Tatizo ni hiyo faida inayopatikana. Hiyo faida ni ndogo sana ukilinganisha na kiwango cha pesa unachowekeza.
Hata kama una vipande 1,000,000 bado faida yake haiendani kabisa na kiwango cha pesa utakachokuwa umewekeza.
Mfano, vipande 1,000,000 ikiwa kila kipande utanunua kwa sh 114 ni sawa na uwekezaji wa sh 114,000,000 (milioni mia moja na kumi na nne).
Sasa hebu fikiria, eti, unawekeza milioni 114 halafu unasubiria milioni 1 tu kwa mwezi? Hiyo ni akili au matembele???? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Soma theories of Wealth creation then urudi hapaYaani inatia huruma sana!!!
Mfano, kipande kimoja cha UTT ni sh 144. Ukiwa na vipande 50,000 utakuwa umelipia sh 5,700,000 yaani 50,000 X 114 = 5,700,000
Sasa eti unawekeza 5,700,000 halafu unapata faida ya sh 50,000 tu kwa mwezi.
Huu ni ujinga wa kiwango cha standard gauge!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Upo sahihi, hakuna mafanikio yakudumu kwa kupita shortcut.UTT is nzuri ukiwa na mzigo mkubwa at least 50M plus other wise kama una hela ndogo ni longterm investments
Bado akili itakuwa imelala tu. Hata kama una pesa benki ambayo haina kazi bado ukiwa na akili ndefu utatafuta kitu cha kufanya chenye faida ya maana kuliko hiyo faida ya UTT.Wewe bado haujaelewa ila mimi nmeelewa
Yaan ipo hivi ukiondoa pesa zako zooooote ambazo unazo kuna pesa ambayo haina cha kufanyia yaan kwa wafanyabiashara hio ipo, sasa ili hio pesa isiende kukaa bure tu bank ndio unaenda kuiweka UTT ili kila mwezi uingize pesa kuliko kuweka bank tu bure haifanyi kazi yoyote
Hio ni kwa wale wenye pesa zisizo na mawazo wewe km pesa zako za mawazo huwezi maana unawaza kufaidika kesho yaan unawaza uweke million 1 leo alafu kesho uvune billion 1, km ndio wazo lako ni hilo UTT hapakufai
Kwa nilivyomuelewa mdau UTT ni long term investment & wealth creation
Nilipofurahi ni pale aliposema ukiweka 100M unaweza ukaitoka kuanzia miezi 3 na kuendelea ukaachana nao ukaendelea na mambo zako zingine ukitaka tena unaenda tena unaweka hivyo tu, sasa ubaya upo wapi hapo?