UTT AMIS naona kwenye account yangu ya UTT hela imeongezeka kidogo

BOND FUND

A. 50k hupati gawio ni kukuza mtaji
B. 5M gawio kila baada ya miezi 6
C. 10M na kuendelea gawio kila mwezi
Hivi ukiwa na salio la 10M automatically unaanza kupokea gawio au unatakiwa kufuata utaratibu wowote walioweka?
 
BOND FUND

A. 50k hupati gawio ni kukuza mtaji
B. 5M gawio kila baada ya miezi 6
C. 10M na kuendelea gawio kila mwezi
Kwa Milion 10 , Gawio kiasi gani kwa Mwezi ?

Je , Gawio linabaki ndani ya Akaunti yako au Linamishiwa kwa Benki ?

Je uweke kwa Muda gani uuanze kupata gawio ? Au Huku hakuna Fixed ?
 
Hivi ukiwa na salio la 10M automatically unaanza kupokea gawio au unatakiwa kufuata utaratibu wowote walioweka?
Inabidi uingizwe kwenye mpango wa Gawio Kila mwezi au kwa mwaka mara mbili kama huhitaji magawio Yako yataendelea kununua vipande vingine automatically
 
Ndugu Thabit ukiwekeza 10 millions kwa mwaka inaweza kuongezeka 14% ambapo itakuwa 1.4 million kwa hiyo ukijumlisha na mtaji itakuwa 11.4 millions. Kama unachukua gawio ukuakji wa thamani ya vipande utakuwa hafifu. Gawio unalopewa ni sahemu ya faida unayoipata
 
Inategemea una vipande vingapi. Huu mfuko minimum ni vipande 88,394. So chukua sh 1 X 88,394 vipande....unapata sh ngapi. Kuna watu wanavipande mpk 100,000,000. Fatilia bro usikurupuke
Kipande kimoja kinauzwe shingapi ?
 
Kwa Milion 10 , Gawio kiasi gani kwa Mwezi ?

Je , Gawio linabaki ndani ya Akaunti yako au Linamishiwa kwa Benki ?

Je uweke kwa Muda gani uuanze kupata gawio ? Au Huku hakuna Fixed ?

A- around 86k-90k inategemea na hali ya soko
B- inategemea ww unatakaje kuna option ya kupata kila mwezi au hilo ongezeko linunue tena vipande vingine ili viongezeke
C-Ukiweka mwez husika kabla ya tarehe 8 utapata gawio mwezi ujao. Then inakua kila mwez ni gawio. Kumbuka gawio la kila mwez ni kuanzia 10M na kuendelea
 
Okay !!!
Sasa FIXED yake inaanza miezi mingapi ? Au hamna Fixed ?
 
Low Risks,means LowReturn.Ujaja ukishaweka Utt Amis nenda Benki Kopea hizo bonds zako uendelee kuupiga mwingi.Ila sasa ni mpaka benki ziwe tayari kufinance
 
Ndugu Thabit ukiwekeza 10 millions kwa mwaka inaweza kuongezeka 14% ambapo itakuwa 1.4 million kwa hiyo ukijumlisha na mtaji itakuwa 11.4 millions. Kama unachukua gawio ukuakji wa thamani ya vipande utakuwa hafifu. Gawio unalopewa ni sahemu ya faida unayoipata
Duuhhh, hiyo 10m Bora mtu atafute sehemu aweke mpesa Kwa mtaji wa 10m huwezi kukosa faida ya 300,000 Kwa mwezi .
 
Back
Top Bottom