Ambao hawajawahi fika hawawezi elewe..ndege inaanzia kushuka chini ikiwa mbali ikifika usawa wa ile roundabout inakua chini kabisaa..unaweza gongwa na matairi yake...
Hii inaweza kuwa aina nyingine ya utalii. Inabidi nifunge safari kuexperience hii kitu. Naonaga video za namna hii ila uwanja unakuwa karibu na beach. Nakuja Dom!
Hii inaweza kuwa aina nyingine ya utalii. Inabidi nifunge safari kuexperience hii kitu. Naonaga video za namna hii ila uwanja unakuwa karibu na beach. Nakuja Dom!
Wakati mechi ya Azam na Dodoma jiji inaendelea hapa uwanja wa Jamhuri Dodoma. Linatokea tangazo la waendesha uwanja kuwa taa zote za uwanjani zitazimwa Ili ndege itue kwenye uwanja ulio karibu na uwanja huo Wa mpira.