Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Watu wa mitamboAhahahahah hahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wa mitamboAhahahahah hahaha
Hii inaweza kuwa aina nyingine ya utalii. Inabidi nifunge safari kuexperience hii kitu. Naonaga video za namna hii ila uwanja unakuwa karibu na beach. Nakuja Dom!Ambao hawajawahi fika hawawezi elewe..ndege inaanzia kushuka chini ikiwa mbali ikifika usawa wa ile roundabout inakua chini kabisaa..unaweza gongwa na matairi yake...
Karibu sana hahaaHii inaweza kuwa aina nyingine ya utalii. Inabidi nifunge safari kuexperience hii kitu. Naonaga video za namna hii ila uwanja unakuwa karibu na beach. Nakuja Dom!
Hakuna kitu kama hiko..Watu wa mitambo
Unavyokataa ndio nazidi kuamini 😅Hakuna kitu kama hiko..
Kuna haja ya kuweka mbali viwanja vya ndegw na vya mpira, maana ikitokea siku rubani kavurugwa akadhani uwamja wa.mpira ni airport.Wakati mechi ya Azam na Dodoma jiji inaendelea hapa uwanja wa Jamhuri Dodoma. Linatokea tangazo la waendesha uwanja kuwa taa zote za uwanjani zitazimwa Ili ndege itue kwenye uwanja ulio karibu na uwanja huo Wa mpira.
Hii imekaaje kisheria?