Utumaji wa matokeo ya Kura kwenda Tallying centre ndio 'Mifumo' INASOMANA?

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
28,477
Reaction score
40,278
Tatizo sio kuhesabu Kura wala mawakala kusaini Bali kwenye utumaji wa matokeo kwenda kwenye tallying centre hapo ndio mifumo INASOMANA?
 
Inanikumbusha wale wanakwenda maporini wakati wa uchaguzi rejea matamshi ya mkuu wa wilaya aliye tumbuliwa
 
Tatizo sio kuhesabu Kura wala mawakala kusaini Bali kwenye utumaji wa matokeo kwenda kwenye tallying centre hapo ndio mifumo INASOMANA?
Hawajajibu hoja ya Polepole. Wanatufanya sisi ni mazwazwa. Miaka yote wanatuonyesha mfumo wao kwenye Tallying centre. Anasema eti hawatumii electronic system ni manual, uchuro mtupu.
 
Back
Top Bottom