Utume na unabii upo? Case study ya utabiri uliofanywa na prophets wa kimarekani, kuhusu tukio litakalotokea juu ya jaribio la mauaji ya Trump

The Republican

Senior Member
Joined
Dec 5, 2021
Posts
174
Reaction score
307
Ndugu wanajukwaa, katika pita pita zangu Leo nimeona utabiri mzito sana uliofanywa na prophet aliyeitwa Brandon Biggs miezi minne iliyopita, nae ni mmoja kati ya manabii watatu walioelezea juu ya mambo ambayo Yanaweza kuikumba Marekani, na katika tabiri hizo Bw. Brandon Biggs alitoa ushuhuda mzito sana ushuhuda uliotapakaa duniani Kote. Ninaomba kuwatumia kipande Cha hii video pamoja na link yake
Kisha nitaomba tujadili.

Kiranga na Nyani Ngabu ningeuomba kumsikia na nyie mna lipo la kusema juu ya hili, pia bila kusahau Mshana Jr njoo utupie neno kidogo.
Link yenyewe ni hii HAPA:

View: https://youtu.be/Ey0qVzG8_vU?si=1ePlC37_U8EGcrd7

Utume na unabii vyote vipo na vinafanya kazi.

Sema kuna mengine yanapangwa chini ya carpet, hivyo umma huwa unaandaliwa kisaikolojia kupitia manabii na mitume feki ili jambo likitokea lisiwe geni masikioni mwao na kuzua taharuki.
 
Utume na unabii vyote vipo na vinafanya kazi.

Sema kuna mengine yanapangwa chini ya carpet, hivyo umma huwa unaandaliwa kisaikolojia kupitia manabii na mitume feki ili jambo likitokea lisiwe geni masikioni mwao na kuondoa taharuki.
Ina maana huu ni mpango walioupanga ili Trump akoswekoswe na risasi millimeters away?
 
Ushawahi kubet kwanza...???
Bettings na matukio yote aliyoyasema, ikiwemo kushika sikio la Kulia, kukoswa koswa na risasi ya sikio, kulala chini na kumshukuru Mungu, Hii ni aina Gani ya betting, chances zake inaweza kuwa ni 0.01 trillions
 
Ina maana huu ni mpango walioupanga ili Trump akoswekoswe na risasi millimeters away?
Inawezekana usiwe mpango ila ikawa walikuwa wamedhamiria kumuondoa ila Mungu akaepushia mbali.

Lakini yote kwa yote lolote linawezekana kuwa ni mpango au laa.

Labda tupate maoni ya Mmarekani wa Tanganyika ndugu Nyani Ngabu tusikie ukweli ukoje.
 
Unabii upo!Kila nikiangalia zile nusu sekunde za kugeuza kichwa Kisha ndipo risasi ikalenga, nashindwa kupata jibu. Maana tusingekuwa nae hapa duniani. Wale conspiracy theorists watakuja kukwambia kuwa Ule ni mpango ulichezwa na Republicans.
 
Ndugu wanajukwaa, katika pita pita zangu Leo nimeona utabiri mzito sana uliofanywa na prophet aliyeitwa Brandon Biggs miezi minne iliyopita, nae ni mmoja kati ya manabii watatu walioelezea juu ya mambo ambayo Yanaweza kuikumba Marekani, na katika tabiri hizo Bw. Brandon Biggs alitoa ushuhuda mzito sana ushuhuda uliotapakaa duniani Kote. Ninaomba kuwatumia kipande Cha hii video pamoja na link yake
Kisha nitaomba tujadili.
Kiranga na Nyani Ngabu ningeuomba kumsikia na nyie mna lipo la kusema juu ya hili, pia bila kusahau Mshana Jr njoo utupie neno kidogo.
Link yenyewe ni hii HAPA:

View: https://youtu.be/Ey0qVzG8_vU?si=1ePlC37_U8EGcrd7

Kikichotabiriwa ni nini hasa? Kwamba Trump atapigwa risasi?

Nikisema jua litachomoza kesho na mimi nitakuwa nimetabiri?
 
Huu mfano wa kitoto. Kwani ukipima suala la Trump kupigwa risasi na mfano wake. Kipi kina occurence kubwa? Jua kuwaka ni asilimia 80 and above kama ni kiangazi. Suala la Trump kupigwa Risasi limetokea mara ngapi mpaka sasa?
 
Kanithibitishia kumbe ni lijinga, kati ya watu bilioni 8 mmoja aje na metafacts zinazoshabihiana kwa asilimia 99 hii ni maajabu hata probability haijui huyo.
 
Ndugu wanajukwaa, katika pita pita zangu Leo nimeona utabiri mzito sana uliofanywa na prophet aliyeitwa Brandon Biggs miezi minne iliyopita, nae ni mmoja kati ya manabii watatu walioelezea juu ya mambo ambayo Yanaweza kuikumba Marekani, na katika tabiri hizo Bw. Brandon Biggs alitoa ushuhuda mzito sana ushuhuda uliotapakaa duniani Kote. Ninaomba kuwatumia kipande Cha hii video pamoja na link yake
Kisha nitaomba tujadili.
Kiranga na Nyani Ngabu ningeuomba kumsikia na nyie mna lipo la kusema juu ya hili, pia bila kusahau Mshana Jr njoo utupie neno kidogo.
Link yenyewe ni hii HAPA:

View: https://youtu.be/Ey0qVzG8_vU?si=1ePlC37_U8EGcrd7

We si umetoroka hodi ya machizi na umepokonya simu ya muuguzi
 
Huu mfano wa kitoto. Kwani ukipima suala la Trump kupigwa risasi na mfano wake. Kipi kina occurence kubwa? Jua kuwaka ni asilimia 80 and above kama ni kiangazi. Suala la Trump kupigwa Risasi limetokea mara ngapi mpaka sasa?
Hujaelewa somo.

Marekani kuna bunduki zaidi ya milioni 433. Na kuna watu takriban milioni 333.

Hizi ni zilizopo mikononi mwa raia tu.

Idadi ya bunduki imezidi idadi ya watu.

Tukigawana kila mtu anapata bunduki moja na bunduki milioni mia moja zinabaki.

Kila siku watu wanapigwa risasi.

Na Trump anachukiwa sana na watu wengi sana.

Sasa hapo unahitaji kuwa genius kutabiri kwamba kuna siku moja mtu mmoja atampiga risasi Trump?
 
Back
Top Bottom