Utume na unabii upo? Case study ya utabiri uliofanywa na prophets wa kimarekani, kuhusu tukio litakalotokea juu ya jaribio la mauaji ya Trump

Utume na unabii upo? Case study ya utabiri uliofanywa na prophets wa kimarekani, kuhusu tukio litakalotokea juu ya jaribio la mauaji ya Trump

Utume na unabii vyote vipo na vinafanya kazi.

Sema kuna mengine yanapangwa chini ya carpet, hivyo umma huwa unaandaliwa kisaikolojia kupitia manabii na mitume feki ili jambo likitokea lisiwe geni masikioni mwao na kuzua taharuki.
On Point ...🙏🙏
 
  • Thanks
Reactions: K11
Hakuna utamaduni huo labda ni sababu hujielewi na huelewi hata unachobishania. "Utabiri wenu" upi? Just try to calm down and understand my point of view. Naona umepanic na ndo maana unakuwa huna logic. From the beginning i have never spoken about any faith. I just tried to let you understand that you gave a stupid illogical example. Now you have panicked. Just calm down so that you understand my point of view young man.
Unatajataja logic.

Nimekuuliza logic ni nini, hujajibu.

Inaonekana unatumia maneno ambayo huyajui.
 
Unatajataja logic.

Nimekuuliza logic ni nini, hujajibu.

Inaonekana unatumia maneno ambayo huyajui.
Kama umeshindwa kujua maana ya logic hata ku google tu unadhani nikikuambia utaelewa? Wala. Usipanic just calm down ulitoa mfano wa kipuuzi. Illogical.
 
Kama umeshindwa kujua maana ya logic hata ku google tu unadhani nikikuambia utaelewa? Wala. Usipanic just calm down ulitoa mfano wa kipuuzi. Illogical.
Huelewi hata Socratic Method halafu unatupatupa tu neno logic, logic.

Umeshindwa ku define logic ni nini unaniambia ni Google?

Logic ni nini, kwa maneno yako. Au hujui?
 
Naam.

Wakitabiri mambo elfu yasipotokea si habari.

Kikifanana na kilichotokea, nusu tu, wanajaza server kwa kelele za ujinga mtupu.

Nimeuliza mji umetajwa? Wapi? Wamelala mbele. Hawajarudi kujibu.

Kabisa ,wanajaza server tu na bla bla bla zao ,ili tukubali kwamba walitabiri inatakiwa iwe 100% true kwa waliyoyasema ,kusema tu kwa ujumla huo siyo utabiri.

Manabii feki wanabashiri tu kwa ujumla ,kikitokea kitu ambacho kinakaribiana na uhalisia wanapita nacho 😀😀
 
Kikichotabiriwa ni nini hasa? Kwamba Trump atapigwa risasi?

Nikisema jua litachomoza kesho na mimi nitakuwa nimetabiri?
Ukisema jua litachomoza kesho hautakuwa umetabiri ila ukisema kesho jua halitachomoza na lisichomoze kweli apo utakuwa umetabiri,
 
Ha ha ha... Oh you meant Socratic Irony ambayo wewe huijui. Mimi nimemjibia maswali Socrate. Nimesoma Philosophy na nimesoma Politics.
Apparently umesoma lakini hujajifunza kitu.

Huwezi kujibu hata what is logic.
 
Kabisa ,wanajaza server tu na bla bla bla zao ,ili tukubali kwamba walitabiri inatakiwa iwe 100% true kwa waliyoyasema ,kusema tu kwa ujumla huo siyo utabiri.

Manabii feki wanabashiri tu kwa ujumla ,kikitokea kitu ambacho kinakaribiana na uhalisia wanapita nacho 😀😀
Kifupi hawa ni watu wanaopenda mambo ya miujiza miujiza na uchawi uchawi.

Kati ya watu wajinga kabisa duniani.
 
Kila nikitaka kuchangia nasita,,,ila ninachoona ima mtabiri alikuwa na taarifa kitachojiri baadae

Au

Kwakuwa alijua trump ni mtu asiyekubalika basi uwezekano wa kupigwa risasi ni mkubwa mno,,,hiyo habar ya karibu na sio ni kama zari tu
 
Unafahamu maana ya neno mantiki? 0
Mimi ndiye nilianza kukuuliza swali hilo, hukujibu, sasa unaniuliza mimi?

You are boring me to death.

I am sending you to my ignore list, from here I will no longer see what you post.
 
Mimi ndiye nilianza kukuuliza swali hilo, hukujibu, sasa unaniuliza mimi?

You are boring me to death.

I am sending you to my ignore list, from here I will no longer see what you post.
Ungekuwa unajua ungejibu
 
Back
Top Bottom