Ndugu wanajukwaa, katika pita pita zangu Leo nimeona utabiri mzito sana uliofanywa na prophet aliyeitwa Brandon Biggs miezi minne iliyopita, nae ni mmoja kati ya manabii watatu walioelezea juu ya mambo ambayo Yanaweza kuikumba Marekani, na katika tabiri hizo Bw. Brandon Biggs alitoa ushuhuda mzito sana ushuhuda uliotapakaa duniani Kote. Ninaomba kuwatumia kipande Cha hii video pamoja na link yake
Kisha nitaomba tujadili.
Kiranga na Nyani Ngabu ningeuomba kumsikia na nyie mna lipo la kusema juu ya hili, pia bila kusahau Mshana Jr njoo utupie neno kidogo.
Link yenyewe ni hii HAPA:
Sema kuna mengine yanapangwa chini ya carpet, hivyo umma huwa unaandaliwa kisaikolojia kupitia manabii na mitume feki ili jambo likitokea lisiwe geni masikioni mwao na kuzua taharuki.
Sema kuna mengine yanapangwa chini ya carpet, hivyo umma huwa unaandaliwa kisaikolojia kupitia manabii na mitume feki ili jambo likitokea lisiwe geni masikioni mwao na kuondoa taharuki.
Bettings na matukio yote aliyoyasema, ikiwemo kushika sikio la Kulia, kukoswa koswa na risasi ya sikio, kulala chini na kumshukuru Mungu, Hii ni aina Gani ya betting, chances zake inaweza kuwa ni 0.01 trillions
Unabii upo!Kila nikiangalia zile nusu sekunde za kugeuza kichwa Kisha ndipo risasi ikalenga, nashindwa kupata jibu. Maana tusingekuwa nae hapa duniani. Wale conspiracy theorists watakuja kukwambia kuwa Ule ni mpango ulichezwa na Republicans.
Ndugu wanajukwaa, katika pita pita zangu Leo nimeona utabiri mzito sana uliofanywa na prophet aliyeitwa Brandon Biggs miezi minne iliyopita, nae ni mmoja kati ya manabii watatu walioelezea juu ya mambo ambayo Yanaweza kuikumba Marekani, na katika tabiri hizo Bw. Brandon Biggs alitoa ushuhuda mzito sana ushuhuda uliotapakaa duniani Kote. Ninaomba kuwatumia kipande Cha hii video pamoja na link yake
Kisha nitaomba tujadili. Kiranga na Nyani Ngabu ningeuomba kumsikia na nyie mna lipo la kusema juu ya hili, pia bila kusahau Mshana Jr njoo utupie neno kidogo.
Link yenyewe ni hii HAPA:
Nilikuwa nakuheshimu ila kumbe na wewe ni popoma, hahaha duh? Link hujaiona? Think constructively bwana atheist. Ni a very rare scenario kwa mtu anaejua kufikiria vizuri, maskini umejishusha sana.
Huu mfano wa kitoto. Kwani ukipima suala la Trump kupigwa risasi na mfano wake. Kipi kina occurence kubwa? Jua kuwaka ni asilimia 80 and above kama ni kiangazi. Suala la Trump kupigwa Risasi limetokea mara ngapi mpaka sasa?

Kanithibitishia kumbe ni lijinga, kati ya watu bilioni 8 mmoja aje na metafacts zinazoshabihiana kwa asilimia 99 hii ni maajabu hata probability haijui huyo.