ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Wakuu hili somo la calculus kwangu NI gumu Tu level zangu za elimu sijawahi kulipenda ingawaje najua ni fundamental kwenye ulimwengu wa engineering..kwa wale wanaoweza kulipasua mnawezaje?
Pole sana mkuu wew una mazoez ya kutosha kweny calculs fanya maswali mengi sana. Utakuwa vzr lakn huwa kuna kitabia cha kufanya maswl unayo yajua tu huwa inakumba watu weng solve vitabu tofauti .Wakuu hili somo la calculus kwangu NI gumu Tu level zangu za elimu sijawahi kulipenda ingawaje najua ni fundamental kwenye ulimwengu wa engineering..kwa wale wanaoweza kulipasua mnawezaje?
😁😁Mambo yangu hayo. Mi kwenye hesabu nilikuwaga sitaki kusikia kitu kinachoitwa Probability
ugumu upo wapi?NI gumu Tu level
Tranter pasua kichwa.Mkuu Advance ulipitaje? by the way njia nzuri ya kuijua Calculus ni kuipenda haswa na mazoezi ya kutosha.. ikibidi refer Pure 1 na 2 na Chands pia usisahau Tranter za Advance zile.
Nothing is More entertaining than Calculus.
calculus ndio topic ngumu kukiko zote kwenye hesabu ila tulipambana nayo kiroho mbaya, hii topic inataka uwe mkatili kweli kweliMkuu Advance ulipitaje? by the way njia nzuri ya kuijua Calculus ni kuipenda haswa na mazoezi ya kutosha.. ikibidi refer Pure 1 na 2 na Chands pia usisahau Tranter za Advance zile.
Nothing is More entertaining than Calculus.
Sidhani km nitayakuta mambo hayo kwenye environmental engineeringAnza kupitia concepts za advanced level, huku juu hakikisha unapitia taratibu vitu vyote vya msingi vinavyohusu calculus bila kuacha hata kimoja.
Ukifika level za kutatua changamoto ngumu kidogo kama tripple integral, Contour integral au Furiour series kama hauna msingi mzuri wa nyuma hautoboi.
Aiseecalculus ndio topic ngumu kukiko zote kwenye hesabu ila tulipambana nayo kiroho mbaya, hii topic inataka uwe mkatili kweli kweli
Inawezekana usiyakute ila kozi zote za uhandisi lazima differentiation & integration upambane nazo mwanzo mwisho tena zenye ugumu tofauti tofauti.Sidhani km nitayakuta mambo hayo kwenye environmental engineering
Kwenye level za juu kwenye Ulimwengu wa Hisabati, hiyo topic ina ahueni kubwa kuna vitu vigumu mara dufu.calculus ndio topic ngumu kukiko zote kwenye hesabu ila tulipambana nayo kiroho mbaya, hii topic inataka uwe mkatili kweli kweli
Unajua maana halisi ya intergration?Mkuu Advance ulipitaje? by the way njia nzuri ya kuijua Calculus ni kuipenda haswa na mazoezi ya kutosha.. ikibidi refer Pure 1 na 2 na Chands pia usisahau Tranter za Advance zile.
Nothing is More entertaining than Calculus.
Integration mbona nyepesi Bobu!? Issue ni differential Equations na kuderive equations za Differential kutoka maswali ya maelezo mfano bacterial decay na issue za UraniumUnajua maana halisi ya intergration?