toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,965
- 12,556
sawa mkuu, me saivi shule sitaki tena ngoja nipumzike nifanye mambo mengine ya kutafuta hela, juz apa nlitaka kusoma hapo open degree ya pili, nkaambiwa jamaa ni watu wepesi kupokea hela ila wakishapokea wanaanza kukusumbua, kudadeki ada nikaidivert kwenye kitu kingine kabisa....Ashukuriwe yule jamaa alienisanua tena huku huku jf..Kwenye level za juu kwenye Ulimwengu wa Hisabati, hiyo topic ina ahueni kubwa kuna vitu vigumu mara dufu.
Vitu kama "Topos theory" vinaumiza kichwa zaidi.