toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,965
- 12,556
sawa mkuu, me saivi shule sitaki tena ngoja nipumzike nifanye mambo mengine ya kutafuta hela, juz apa nlitaka kusoma hapo open degree ya pili, nkaambiwa jamaa ni watu wepesi kupokea hela ila wakishapokea wanaanza kukusumbua, kudadeki ada nikaidivert kwenye kitu kingine kabisa....Ashukuriwe yule jamaa alienisanua tena huku huku jf..Kwenye level za juu kwenye Ulimwengu wa Hisabati, hiyo topic ina ahueni kubwa kuna vitu vigumu mara dufu.
Vitu kama "Topos theory" vinaumiza kichwa zaidi.
mkuu sikupingi, nimepita sehemu online jamaa anamwambia mtu hijo kwenye maforum mtu aliuliza kuhusu Topos theory jamaa akamjibu "Topos Theory has a reputation for being pretty tough. It's not your typical math class, that's for sure." nimecheka sana, ila topic ngumu huku level kawaida ni abstract algebra na calculus....Kwenye level za juu kwenye Ulimwengu wa Hisabati, hiyo topic ina ahueni kubwa kuna vitu vigumu mara dufu.
Vitu kama "Topos theory" vinaumiza kichwa zaidi.
Tumia material ya kitedi , kakusanya maswali mengi ya calculus pia kakusanya technique nyingi za kusolve maswali ya calculus...Wakuu hili somo la calculus kwangu NI gumu Tu level zangu za elimu sijawahi kulipenda ingawaje najua ni fundamental kwenye ulimwengu wa engineering..kwa wale wanaoweza kulipasua mnawezaje?
šzilizobaki zote ni upupu tu......
Nimekuuliza unajua maana? Sio rahisu ama ngumu? Una comprehend maana ya integration?Integration mbona nyepesi Bobu!? Issue ni differential Equations na kuderive equations za Differential kutoka maswali ya maelezo mfano bacterial decay na issue za Uranium
Na biashara pia mkuuInawezekana usiyakute ila kozi zote za uhandisi lazima differentiation & integration upambane nazo mwanzo mwisho tena zenye ugumu tofauti tofauti.
Jisomee huku unakunwa Kwa hakika hutasahauWakuu hili somo la calculus kwangu NI gumu Tu level zangu za elimu sijawahi kulipenda ingawaje najua ni fundamental kwenye ulimwengu wa engineering..kwa wale wanaoweza kulipasua mnawezaje?
Natumai na kubet pia hupendi sababu nayo ni probabilityMambo yangu hayo. Mi kwenye hesabu nilikuwaga sitaki kusikia kitu kinachoitwa Probability
Nataka fanya applications nijiunge nao mwaka huu wa masomo, hawa OUT ni wasumbufu kwenye angle ipi? Nieleweshe hapo nisije ingia cha kike na kupoteza muda wangusawa mkuu, me saivi shule sitaki tena ngoja nipumzike nifanye mambo mengine ya kutafuta hela, juz apa nlitaka kusoma hapo open degree ya pili, nkaambiwa jamaa ni watu wepesi kupokea hela ila wakishapokea wanaanza kukusumbua, kudadeki ada nikaidivert kwenye kitu kingine kabisa....Ashukuriwe yule jamaa alienisanua tena huku huku jf..
mkuu nimeambiwa ukiwa unafanya postgraduates hizi, masters au pgd, pale kwenye dissertation nasikia utalia machozi ya damu, utajamba cheche , kuna uzi jamaa alilalamika sana true ndio Ana hands-on experience ngoja niutafute nikutag, ila jamaa wasumbufu sana unaweza ukaachia shule njiani...sijui kwa undergraduate inakuaje mkuuNataka fanya applications nijiunge nao mwaka huu wa masomo, hawa OUT ni wasumbufu kwenye angle ipi? Nieleweshe hapo nisije ingia cha kike na kupoteza muda wangu
Sijawahi kubeti. Sipendi kubeti. Kubeti ni dhambi.Natumai na kubet pia hupendi sababu nayo ni probability