Utumishi fuateni Sheria

Utumishi fuateni Sheria

Hamna mkuu wanaboa Sana hawa utumishi. Imagine mtu katoka kilometer 250 kufuata interview kapata 78 anakatwa. Kwanini wameainisha kwenye Sheria zao kuwa 50% ndiyo kiwango Cha chini??
Si wangesema tu watakavojisikia(watakavoshauriana na mme/mke) wake
Kwenye Written pass mark siyo hamsini, inategemea na ufaulu na nafasi zinazoshindaniwa, kwani nafasi moja inashindaniwa na watu watatu
 
Nisiwachoshe. Kama mliamua kiwango Cha chini ni 50%, haya mambo ya kuishia 80% mmeyatoa wapi??
Unachanganya mambo hiyo unayoongelea ni pass marks za kwenye ushindani! Lakini ili uajiriwe serikali marks zako zinatakiwa zianzie 50 kwa hiyo mkiwa zaidi ya 100 itategemea mambo mengine lakini wote mmefaulu ila wenzio wanaweza anza kupangiwa kitio wewe ukabaki na hapa naongelea oral
 
Sasa Kulikuwa na ulazima Gani wa kuweka 50% si ingebaki siri Yao tu.
 
Kwenye Written pass mark siyo hamsini, inategemea na ufaulu na nafasi zinazoshindaniwa, kwani nafasi moja inashindaniwa na watu watatu
Hii imeandikwa wapi katika Sheria Yao ya utumishi??
 
Pole sana ndugu mwalimu, yani huna tofauti na aliyepata 0 😂 ndo mana wengi wao hawakutaka usaili mana wanajijua

Screenshot_20250127-191605.png
 
pia niwa kumbushe tu tunaenda kwenye uchaguzi ndugu waalimu chagueni tena CCM haya mambo hayatabadilika kamwe kwa hizi ajira
 
Back
Top Bottom