kante mp2025
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 631
- 1,192
Utumishi wako fair sana ukianguka jipange upya na kufanya maandalizi ya kutosha ili nawe uwe selected for oral hata mimi nishawahi walaumu sana utumishi nikagundua lawama hazisaidia nikapambana kujua wapi nakosea ili nisimame tena na bado nina imani na utumishi japo nililiwa kichwaHawako sahihi.