Mimi nililiwa kichwa usahili wa afya nikaja na nyuzi za kutia huruma humu ndani badae nikaeleweshwa nikawaelewa utumishi
Sasa hivi napambana na kuhakikisha najiaandaa vema kwa kila interview na namshukuru Mungu kuna interview moja tulikuwa watu mia tatu na kitu nikafanikiwa kupita oral
Utumishi wako fair ukikosa acha kulaumu laumu tafakari wapi ulikosea ujipange upya mimi niliwatukana sana utumishi ila ni ugeni wa jiji.
Mchakato w utumishi upo wazi japo kuna suala nimekuuliza mkuu wangu ikikupendeza naomba nikucheki dm