Utumishi fuateni Sheria

Nisiwachoshe. Kama mliamua kiwango Cha chini ni 50%, haya mambo ya kuishia 80% mmeyatoa wapi??
Pole jamaa.

Kikaango cha wote hicho.

Jipange kuwakabili sekretarieti usinde kichwakichwa.

Fuatilia kanuni za usaili utaelewa.
 
Chukua huu ushauri utakusaidia, ukiendelea kulaumu watu ukajiona huna hutaa ufanikiwe kwenye usaili, Katika chombo ambacho kinajitahidi kutenda haki ni Sekretarieti ya Ajira. TAMISEMI walikuwa wanaouza sana hizi ajira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…