Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaribu tena naona kuna marekebisho hata mimi ilikua inasumbua ila now ipo fresh.Hili tatizo hta mm limenikuta
Nimeomba kazi ya afisa tawala katka LGAs ambapo kigezo ni lazima uwe na degree ya public admnistration na mm nmesoma B .public admnistration in LGM ila cha kushangaza inagoma kuapply kwa kuniambia application failed
Kwenye vigezo si wamekuwekea (major)...mbona hicho kigezo unakiruka?Natumaini wote ni wazima. Imenibidi nianzishe uzi huu nikiwa naamini baadhi ya wahusika wa Utumishi wataona na wachangiaji wengine watatoa maoni yao.
Utumishi wametangaza kazi nyingi sana, ambalo ni jambo jema kwa sisi wasaka ajira.
Tatizo linaanzia kwa baadhi ya wasaka ajira kushindwa kuomba kazi wakiwa na vigezo na wakiwa wamesomea course husika. Wakiomba ujumbe unaokuja ni FAILED.
Nitatoa mfano mmoja wapo, nimejaribu kuomba nafasi ya Afisa Habari (Information Officer) nikiwa nimesomea Public Relations & Marketing lakini inakataa. Sasa mtu aliesomea Public Relations alafu mnamzuia kuomba kazi ya Afisa Habari sasa ataomba kazi ipi?.
Kibaya zaidi ukiingia kwenye account yako unakuta wamekuwekea ajira ambazo unaweza kuomba kulingana na course uliyosomea, lakini ukijaribu kuomba inakataa.
Fanyieni marekebisho haya kwani watu wengi wamekuwa wanalalamikia kitu kama hiki kwenye kada nyingine pia.
Mm sijaona hcho kigezo katka kada ya afisa tawala muhim uwe na degree ya public admnistration na mm ninayo public admnistration in LGAs na bado inagoma kuapplyKwenye vigezo si wamekuwekea (major)...mbona hicho kigezo unakiruka?
Wapigie simu Wana solve Ni system tu.....ndio maana Hr officer anawezaa akaomba mtu wa hr au business administrationMm sijaona hcho kigezo katka kada ya afisa tawala muhim uwe na degree ya public admnistration na mm ninayo public admnistration in LGAs na bado inagoma kuapply
Hiyo in LGA ndo imekukosesha.Mm sijaona hcho kigezo katka kada ya afisa tawala muhim uwe na degree ya public admnistration na mm ninayo public admnistration in LGAs na bado inagoma kuapply
Kazi gani hiyo mkuu?Mm hata siwaelewi kwa kweli hivi inakuwaje watu wa account kuna kazi hawaruhusiwi kuomba ila finance wana apply. Kuna kitu hakijakaa sawa utumishi
Utumishi wanatakiwa wajitathimini upya kwenye kazi wanzotoa, isije kuwa hizi nafasi zinatumika kisiasa. Zinaonekana zimetolewa kazi 1900 kumbe ambazo zinatakiwa kujazwa ni 200 tu.
Mm hata siwaelewi kwa kweli hivi inakuwaje watu wa account kuna kazi hawaruhusiwi kuomba ila finance wana apply. Kuna kitu hakijakaa sawa utumishi
Yaani ni vile vile tu maswala ya fedha. Ni vema zinapotolewa nafasi hizo course zote ziwepo. Watu tukagombanie goliFinance ni pana sana mtu anayesoma finance anagusa angle zote na Accounts ni part ya Finance. Mimi huwa namshauri mtu asome Finance na sio Accounts.
Mtu anaesoma Finance anakua yupo competent
Kuna kazi kibao zimetoka huko ila zibagua sanaKazi gani hiyo mkuu?
Kwa mfano nafasi ya Afisa Ustawi wa Jamii msaidizi wanamgomea mtu aliyesomea Maendeleo ya Jamii akati mm naona ni wale wale tuUtumishi wanatuangusha sisi wasaka ajira na hawazingatii kabisa kipengele cha equivalent course binafsi nashidwa kuwaelewa!!
Well said aisee sijui kwa nini hawalitambui hiliFinance ni pana sana mtu anayesoma finance anagusa angle zote na Accounts ni part ya Finance. Mimi huwa namshauri mtu asome Finance na sio Accounts.
Mtu anaesoma Finance anakua yupo competent
Hata Mimi pia ni finance Niko nahangaika Kama weweKuna kazi kibao zimetoka huko ila zibagua sana
Hivi kirefu Cha MDA's & LGA's ni nini nyie wenzangu mliosomwa kozi za utawalaHata Mimi pia ni finance Niko nahangaika Kama wewe
Yaani ni vile vile tu maswala ya fedha. Ni vema zinapotolewa nafasi hizo course zote ziwepo. Watu tukagombanie goli