Utumishi hivi mnatumia mfumo upi katika kupanga waomba ajira kulinga na kada zao?

Hili tatizo hta mm limenikuta
Nimeomba kazi ya afisa tawala katka LGAs ambapo kigezo ni lazima uwe na degree ya public admnistration na mm nmesoma B .public admnistration in LGM ila cha kushangaza inagoma kuapply kwa kuniambia application failed
 
Jaribu tena naona kuna marekebisho hata mimi ilikua inasumbua ila now ipo fresh.
 
Kwenye vigezo si wamekuwekea (major)...mbona hicho kigezo unakiruka?
 
Mm sijaona hcho kigezo katka kada ya afisa tawala muhim uwe na degree ya public admnistration na mm ninayo public admnistration in LGAs na bado inagoma kuapply
 
Wapigie simu Wana solve Ni system tu.....ndio maana Hr officer anawezaa akaomba mtu wa hr au business administration
 
Wamerekebisha cheki tena, hata mi ilikataa mwanzoni lkn leo nimeangalia ipo sawa nikatuma barua yangu
 
Mm hata siwaelewi kwa kweli hivi inakuwaje watu wa account kuna kazi hawaruhusiwi kuomba ila finance wana apply. Kuna kitu hakijakaa sawa utumishi
 
Kazi gani hiyo mkuu?
 
Utumishi wanatakiwa wajitathimini upya kwenye kazi wanzotoa, isije kuwa hizi nafasi zinatumika kisiasa. Zinaonekana zimetolewa kazi 1900 kumbe ambazo zinatakiwa kujazwa ni 200 tu.

Hii ni Point kubwa sana, mfano TRA walihitaji watu wengi hata pepa unaambiwa ilikua simple sana walitoa mpaka multiple choice na wengi walipata nafasi.
 
Mm hata siwaelewi kwa kweli hivi inakuwaje watu wa account kuna kazi hawaruhusiwi kuomba ila finance wana apply. Kuna kitu hakijakaa sawa utumishi

Finance ni pana sana mtu anayesoma finance anagusa angle zote na Accounts ni part ya Finance. Mimi huwa namshauri mtu asome Finance na sio Accounts.

Mtu anaesoma Finance anakua yupo competent
 
Utumishi wanatuangusha sisi wasaka ajira na hawazingatii kabisa kipengele cha equivalent course binafsi nashidwa kuwaelewa!!
 
Yaani ni vile vile tu maswala ya fedha. Ni vema zinapotolewa nafasi hizo course zote ziwepo. Watu tukagombanie goli
 
Utumishi wanatuangusha sisi wasaka ajira na hawazingatii kabisa kipengele cha equivalent course binafsi nashidwa kuwaelewa!!
Kwa mfano nafasi ya Afisa Ustawi wa Jamii msaidizi wanamgomea mtu aliyesomea Maendeleo ya Jamii akati mm naona ni wale wale tu
 
We
Finance ni pana sana mtu anayesoma finance anagusa angle zote na Accounts ni part ya Finance. Mimi huwa namshauri mtu asome Finance na sio Accounts.

Mtu anaesoma Finance anakua yupo competent
Well said aisee sijui kwa nini hawalitambui hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…