Utumishi hivi mnatumia mfumo upi katika kupanga waomba ajira kulinga na kada zao?

Baada ya majaribio mengi kushindikana na kuamua kuanzisha uzi huu hatimaye nami nimeweza kuapply kazi niliyokuwa nataka. Niwapongeze Utumishi kwa kurekebisha baadhi ya kero kama hizi, natumaini wataendelea kuboresha hata kwa wale ambao wanashindwa kuomba waweze kuomba pia.
 
Hongera mkuu bado sie watu wa finance tunasubiri waturuhusu
 
Upo sahihi
 
Mm hata siwaelewi kwa kweli hivi inakuwaje watu wa account kuna kazi hawaruhusiwi kuomba ila finance wana apply. Kuna kitu hakijakaa sawa utumishi
Pia zipo kazi ambazo zipo specifically kwa watu wa finance but wa finance hawawezi kuomba ila wa account wanaweza mfano mtu kasoma degree ya banking and finance Lakini kwenye post ya tutorial assistant wa FINANCE hawezi omba ila wa degree ya account anaomba fresh tu
 
mkuu uliomba kazi gan utumishi kwa kupitia koz ya public relation
 
Kuna nafasi ya tutorial assistant OUT, wanataka mtu aliesoma bachelor of education, Mimi nimesoma bachelor of education in psychology inakataa😂😂
Wanataka tutorial wa nini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…