Utumwa katika picha: Hivi iliwezekana vipi? Mbona Waarabu, Wahindi, Wachina hawakufanywa slaves?

waarabu hatareee sana wanaroho mbaya had Leo hii ndio maana hadi Leo wanapenda ugaidi Mara Islamic state n.k.

Nikuulize swali;

Hivi kati ya Mwarabu na Mzungu ni nani anayeongoza kwa kuuwa raia wengi zaidi wasiokuwa na hatia?
 
waarabu hatareee sana wanaroho mbaya had Leo hii ndio maana hadi Leo wanapenda ugaidi Mara Islamic state n.k.
Mwarabu yeye alikuwa ni dalali tu...babu zetu walikamatana wenyewe wakawauza wenzao kwa waarabu na waarabu nao wakawauza kwa wazungu...sasa nani mbaya hapo?kama sio sisi wenyewe? muarabu hakuwa na uwezo wa kuwakamata watumwa...Bali machifu walikamata watu..wakawafunga wakawauzia waarabu...so tumlaumu muarabu au mzungu? tuwalaumu babu zetu wenyewe...ndy waliotukamata na kutuuza
 
Hivi hao waarabu watumwa walikua wanawapeleka wapi mbona nchi zao hazina watu weusi wengi

Waarabu siyo watu. Kwanza walia castrate ili wasije kuzaa na watu wao . Baada ya biashara kuisha waliwaua wote!. Lakini leo hii mipumbavu isiyokuwa na akli inasema eti waliwauzia America. America anunue watumwa wakati biashara haipo tena?

Waarabu si binadamu tangu mwanzo wao, leo hata mwisho.
 
Na wale wamarekani weusi asili yao ni wapi?? Wazungu waliwachukua kwa maelfu mpaka wakashindwa pakuwaweka.... Malcolm X kaongelea mengi ila tunashindwa kujifunza
Wale walitoka huko israel wakapita mpk west africa then Usa
 
Waarabu waliwaasi watumwa walioenda huko.kwao ili wasiongezeke wakaja kuzaliana na watu wao. So vizazi vilikufa automatically
 
Nikuulize swali;

Hivi kati ya Mwarabu na Mzungu ni nani anayeongoza kwa kuuwa raia wengi zaidi wasiokuwa na hatia?
But ukitaka kujua kama utumwa bado upo wapi. Jaribu kwenda kuoa kati ya uzunguni au uarabuni haijalishi dini yako ni ipi uone wapo utaruhusiwa.
 
Huwezi kuwa mkweli ikiwa hutataja warabu ambao diyo walikuwa makatili na vinara wa kuchukua watumwa East Aafrica. Kinyume cha hapo, una agenda zako binafsi zisizo na maslahi wala tija kwa taifa.

Warabu walukuja kwenu kukuchukua babu yako?
Mlikua mnauzana wenyewe na machifu wenu ndo wakiwapa amri na wakifata....
Ni wenyewe kwa wenyewe wakiuzana. ..wewe sasa hivi utakubali kufanywa mtumwa hata aje mwarabu na ndevu mpaka miguuuni ?
Waliuzwa na machifu ...na mkiwapeleka znz kununuliwa na wazungu
 
Aisaee walikunyima kazi ya uhauziboy ?? au uyaya wa kukea watoto ?
 
tena yapasa kujiuliza hao watumwa kibao kutoka EAST AFRICA na kusafirishwa kwa majahaz kwenda kwa majini magaidi KIZAZI CHAO KIPO WAPI??? mbona wa west africa kizazi chao kipo america?? historians naomba mnijibu

Labda walikua watoto
 
hawakupata tu nafasi. jamii nyingi duniani zimepitia utumwa sema weusi tumepitia hivi karibuni. unafikiri mnara wa babeli, mapiramidi ya misri na mexico, great wall of china na mahekalu ya wabudha na wahindu yangejengeka bila watumwa?.
Kweli kabisa, hata Israel ambalo ni taifa teule la Mungu lilifanywa watumwa na waMisri jamii za kiafrika zilipigana zenyewe kwa wenyewe na walioshindwa walifanywa watumwa.
 
tena yapasa kujiuliza hao watumwa kibao kutoka EAST AFRICA na kusafirishwa kwa majahaz kwenda kwa majini magaidi KIZAZI CHAO KIPO WAPI??? mbona wa west africa kizazi chao kipo america?? historians naomba mnijibu
Kizazi cha watu weusi huwezi kukiona uarabuni,maana waarabu ni wabaguzi,huwezi kuoa au kuzaa na mwarabu wala kuishi na mwarabu ukiwa huru.

Hivyo waafrica waliuliwa,wengine waliuzwa west huko,na ndio maana kizazi cha watu weusi unakiona huko.

Ukitaka ushahidi,hata miaka ya sasa,mweusi kuoa mwarabu au mwarabu na mhind kuolewa na mweusi ni nadra sana,na sio mpaka iwe uarabuni tu,hata wakiwa hapa hapa africa huwa pia hawataki kuchanganya.

Ukiona mwarabu kaolewa na mweusi jua huyo mwarabu wa tabora
 
Tanzania hatujawahi kuwa huru,nyerere alisomeshwa na wakoloni wakamlea wakampleka mpaka kwao kusoma,halafu angewezaje kuwageuka watu w enye nguvu kumzidi wenye jeshi lenye nguvu wenye pesa kumzidi,nyerere hakuwa na jeshi ,sasa angewezake kuendesha mapambano ya Uhuru,wazungu walishatuchoka wakatupa Uhuru free wa kujiamulia mambo,sio Uhuru maisha
Sina agenda yoyote..., ila kiukweli ni kwamba waafrika bado ni watumwa..., waulize CCM watakuambia ni kweli au sio...
 
Katika biblia tunasoma yusuf aliuzwa utumwani misri, hivyo wapo wazungu/waarabu waliuzwa kama watumwa Africa. Tofauti labda wazungu hawakuwa wabishi na wajuaji kama waafrica ndio maana hawakufungwa minyororo.
 
Nimepende ulivoelezea pamoja na picha zimenikumbusha mbali sana
 


lazima kuna namna,au mungu wetu kakasirika,ndio maana katutia utumwan mpaka leo
 
Shule jaman turudi hata darasa la tano tujue historia ya utumwa ndo tutajua walipopelekwa watumwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…