Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Ila wayahudi ndio washenzi sana.. refer kumtundika mtini
waarabu hatareee sana wanaroho mbaya had Leo hii ndio maana hadi Leo wanapenda ugaidi Mara Islamic state n.k.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila wayahudi ndio washenzi sana.. refer kumtundika mtini
waarabu hatareee sana wanaroho mbaya had Leo hii ndio maana hadi Leo wanapenda ugaidi Mara Islamic state n.k.
Mwarabu yeye alikuwa ni dalali tu...babu zetu walikamatana wenyewe wakawauza wenzao kwa waarabu na waarabu nao wakawauza kwa wazungu...sasa nani mbaya hapo?kama sio sisi wenyewe? muarabu hakuwa na uwezo wa kuwakamata watumwa...Bali machifu walikamata watu..wakawafunga wakawauzia waarabu...so tumlaumu muarabu au mzungu? tuwalaumu babu zetu wenyewe...ndy waliotukamata na kutuuzawaarabu hatareee sana wanaroho mbaya had Leo hii ndio maana hadi Leo wanapenda ugaidi Mara Islamic state n.k.
Hivi hao waarabu watumwa walikua wanawapeleka wapi mbona nchi zao hazina watu weusi wengiHuwezi kuwa mkweli ikiwa hutataja warabu ambao diyo walikuwa makatili na vinara wa kuchukua watumwa East Aafrica. Kinyume cha hapo, una agenda zako binafsi zisizo na maslahi wala tija kwa taifa.
Hivi hao waarabu watumwa walikua wanawapeleka wapi mbona nchi zao hazina watu weusi wengi
Wale walitoka huko israel wakapita mpk west africa then UsaNa wale wamarekani weusi asili yao ni wapi?? Wazungu waliwachukua kwa maelfu mpaka wakashindwa pakuwaweka.... Malcolm X kaongelea mengi ila tunashindwa kujifunza
Waarabu waliwaasi watumwa walioenda huko.kwao ili wasiongezeke wakaja kuzaliana na watu wao. So vizazi vilikufa automaticallyhawa waarab walikuwa ni wafanyabiasha (middlemen) ya watumwa kwahiyo waliwauza sekta zenye kuwahitaj kama kwenye viwanda, mashamba, n.k kwa kadir ya mahitaj ya nchi husika hivyo hawa hawakuwa wanawachukua kwaajili ya matumiz yao ila ni kwenda kuwauza kutokana na sehem kubwa ya uarabun ni jangwa hivyo mashamba ni shida
Mzungu ndio anaongoza aliua red indians wengi sana sema wameficha hii historia wanatueleza ya hitler na hao wazayuniNikuulize swali;
Hivi kati ya Mwarabu na Mzungu ni nani anayeongoza kwa kuuwa raia wengi zaidi wasiokuwa na hatia?
But ukitaka kujua kama utumwa bado upo wapi. Jaribu kwenda kuoa kati ya uzunguni au uarabuni haijalishi dini yako ni ipi uone wapo utaruhusiwa.Nikuulize swali;
Hivi kati ya Mwarabu na Mzungu ni nani anayeongoza kwa kuuwa raia wengi zaidi wasiokuwa na hatia?
Huwezi kuwa mkweli ikiwa hutataja warabu ambao diyo walikuwa makatili na vinara wa kuchukua watumwa East Aafrica. Kinyume cha hapo, una agenda zako binafsi zisizo na maslahi wala tija kwa taifa.
Aisaee walikunyima kazi ya uhauziboy ?? au uyaya wa kukea watoto ?Waarabu siyo watu. Kwanza walia castrate ili wasije kuzaa na watu wao . Baada ya biashara kuisha waliwaua wote!. Lakini leo hii mipumbavu isiyokuwa na akli inasema eti waliwauzia America. America anunue watumwa wakati biashara haipo tena?
Waarabu si binadamu tangu mwanzo wao, leo hata mwisho.
tena yapasa kujiuliza hao watumwa kibao kutoka EAST AFRICA na kusafirishwa kwa majahaz kwenda kwa majini magaidi KIZAZI CHAO KIPO WAPI??? mbona wa west africa kizazi chao kipo america?? historians naomba mnijibu
Kweli kabisa, hata Israel ambalo ni taifa teule la Mungu lilifanywa watumwa na waMisri jamii za kiafrika zilipigana zenyewe kwa wenyewe na walioshindwa walifanywa watumwa.hawakupata tu nafasi. jamii nyingi duniani zimepitia utumwa sema weusi tumepitia hivi karibuni. unafikiri mnara wa babeli, mapiramidi ya misri na mexico, great wall of china na mahekalu ya wabudha na wahindu yangejengeka bila watumwa?.
Kizazi cha watu weusi huwezi kukiona uarabuni,maana waarabu ni wabaguzi,huwezi kuoa au kuzaa na mwarabu wala kuishi na mwarabu ukiwa huru.tena yapasa kujiuliza hao watumwa kibao kutoka EAST AFRICA na kusafirishwa kwa majahaz kwenda kwa majini magaidi KIZAZI CHAO KIPO WAPI??? mbona wa west africa kizazi chao kipo america?? historians naomba mnijibu
Tanzania hatujawahi kuwa huru,nyerere alisomeshwa na wakoloni wakamlea wakampleka mpaka kwao kusoma,halafu angewezaje kuwageuka watu w enye nguvu kumzidi wenye jeshi lenye nguvu wenye pesa kumzidi,nyerere hakuwa na jeshi ,sasa angewezake kuendesha mapambano ya Uhuru,wazungu walishatuchoka wakatupa Uhuru free wa kujiamulia mambo,sio Uhuru maishaUnajua for most of us utumwa ni kama hadithi za kufikirika tu.., ni ngumu sana kuamini kwamba eti mwarabu mmoja mwenye bunduki ya kipuuzi anaweza akateka watu 100 wenye akili zao, akawafunga minyororo wote na kuwasafirisha for miles bila shida yoyote ile.., iliwezekanaje..????!!!
Watumwa ndani ya minyororo.., wameridhiiika wenyewe..., eti wanapigwa picha!![]()
Mtoto mtumwa huko Zanzibar.., hapa anakula adhabu kali ya kusimama na gogo la kilo 30 kwenye jua kali bila viatu kwa muda usiopungua masaa 8 bila kula..., hii ni kwa kosa la kimbwa sana sitalitaja hapa.., linahusiana na yale mambo flani yale..![]()
Hapa tunaona mbwa mmoja wa kizungu aliekuwa anaitwa T.H Williams akitoa tangazo linaloahidi donge nono la dollar 100 ya mwaka huo, (August 4, 1853) kwa yeyote atakaemrudisha mtumwa wake mrembo sana. Huyu binti Emily bila shaka alimlewesha kwa yale mambo yetu mpaka ana mtafuta kwa nguvu namna hii.![]()
Hapa mtumwa akiwa kwenye maumivu makali sana. Sina uhakika sana.., ila inawezekana alikuwa natengenezewa bangili ya kufungwa mnyororo.., pia huyu mbwa wa kizungu inawezekana alikuwa![]()
anamtoboa enka.., u neva know..!
Hii picha ndio imenifanya nianze kupata majibu ya swali langu.., yaani hao askari wanaowachunga wenzao kama ng'ombe wa maksai ni waafrika wenzetu kabisa...!!! hapa ni kwenye shamba la mpira (rubber plantation) lililokuwa likimilikiwa na wabelgiji na hao ni wakongoman..., haya ni mambo ya kimbwa kabisa. hiki ndicho wanyanyasaji wanachotufanya watanzania kwa kutumika na watu wa pua ndefu na ndevu nyingi..!![]()
Sina agenda yoyote..., ila kiukweli ni kwamba waafrika bado ni watumwa..., waulize CCM watakuambia ni kweli au sio...
Nimepende ulivoelezea pamoja na picha zimenikumbusha mbali sanaUnajua for most of us utumwa ni kama hadithi za kufikirika tu.., ni ngumu sana kuamini kwamba eti mwarabu mmoja mwenye bunduki ya kipuuzi anaweza akateka watu 100 wenye akili zao, akawafunga minyororo wote na kuwasafirisha for miles bila shida yoyote ile.., iliwezekanaje..????!!!
Watumwa ndani ya minyororo.., wameridhiiika wenyewe..., eti wanapigwa picha!![]()
Mtoto mtumwa huko Zanzibar.., hapa anakula adhabu kali ya kusimama na gogo la kilo 30 kwenye jua kali bila viatu kwa muda usiopungua masaa 8 bila kula..., hii ni kwa kosa la kimbwa sana sitalitaja hapa.., linahusiana na yale mambo flani yale..![]()
Hapa tunaona mbwa mmoja wa kizungu aliekuwa anaitwa T.H Williams akitoa tangazo linaloahidi donge nono la dollar 100 ya mwaka huo, (August 4, 1853) kwa yeyote atakaemrudisha mtumwa wake mrembo sana. Huyu binti Emily bila shaka alimlewesha kwa yale mambo yetu mpaka ana mtafuta kwa nguvu namna hii.![]()
Hapa mtumwa akiwa kwenye maumivu makali sana. Sina uhakika sana.., ila inawezekana alikuwa natengenezewa bangili ya kufungwa mnyororo.., pia huyu mbwa wa kizungu inawezekana alikuwa![]()
anamtoboa enka.., u neva know..!
Hii picha ndio imenifanya nianze kupata majibu ya swali langu.., yaani hao askari wanaowachunga wenzao kama ng'ombe wa maksai ni waafrika wenzetu kabisa...!!! hapa ni kwenye shamba la mpira (rubber plantation) lililokuwa likimilikiwa na wabelgiji na hao ni wakongoman..., haya ni mambo ya kimbwa kabisa. hiki ndicho wanyanyasaji wanachotufanya watanzania kwa kutumika na watu wa pua ndefu na ndevu nyingi..!![]()
Katika hii dunia yote ni waafrika tu ndio waliacha imani zao na kufuata imani za kigeni..., na ni hao hao ndio wamekuwa duni kuliko watu wote. Wachina-Bhuddism, Wahindi-Hinduism, Wajapan-Shintoism, Waarabu-Islam, Wazungu- christinanity, Waisrel-Jews, Wa-Afrika-???!!!!!***#####@@@
Shule jaman turudi hata darasa la tano tujue historia ya utumwa ndo tutajua walipopelekwa watumwaWaarabu siyo watu. Kwanza walia castrate ili wasije kuzaa na watu wao . Baada ya biashara kuisha waliwaua wote!. Lakini leo hii mipumbavu isiyokuwa na akli inasema eti waliwauzia America. America anunue watumwa wakati biashara haipo tena?
Waarabu si binadamu tangu mwanzo wao, leo hata mwisho.