Utumwa katika picha: Hivi iliwezekana vipi? Mbona Waarabu, Wahindi, Wachina hawakufanywa slaves?

Huwezi kuwa mkweli ikiwa hutataja warabu ambao diyo walikuwa makatili na vinara wa kuchukua watumwa East Aafrica. Kinyume cha hapo, una agenda zako binafsi zisizo na maslahi wala tija kwa taifa.
Hivi ngoja nikuulize kitu...kati ya anayenunuwa mtumwa?na dalali wa mtumwa na anayewasaka watumwa awauze kwa muarabu....nani mbaya hapo?wewe humtaji mzungu sababu ya msalaba....hakuna kingine..ndy maana ni kasema hii Vita ya msalaba...hata hao wazungu wameficha vitu vingi ktkt history ya watumwa....hao ndy namba moja MBWA hao...wao ndy waliotangaza deal LA kununuwa watumwa...babu na bibi zetu waliwafanya vibaya sana hao VIUMBE...waliwaburuza babu zetu na bibi zetu kwa miaka 373.....
 
Hivi hao waarabu watumwa walikua wanawapeleka wapi mbona nchi zao hazina watu weusi wengi
Hapo ndipo ubaya wa uarabu ulipodhihiri, kwa watumwa waliopelekwa America kuna waliorudishwa kuna Liberia, ila kuna masalia ya blacks karibia Amerka nzima na nchi kama Haiti unaweza ipi Africa ya kati kwani ni almost blacks. Mwarabu yeye alihasi watumwa ndio maana hakuna masalia mengi ya blacks. Oman kwa mbali ina baadhi ya watu ka weusi kidogo ila sijajua background yake.
 
Kweli kabisa, hata Israel ambalo ni taifa teule la Mungu lilifanywa watumwa na waMisri jamii za kiafrika zilipigana zenyewe kwa wenyewe na walioshindwa walifanywa watumwa.
Huo siyo ukweli wote, vyanzo vya watumwa kulikuwa na mateka wa vita lakini pia uvamizi ulitumika. Lakini ikumbukwe kuwa biashara ya utumwa iliendana na biashara nyingine kama meno ya tembo yaliyokuwa yanahitajika huko Asia kwa ajili ya urembo! Kwa waliosoma historian za akina Tip Tip na kwa nini akaitwa jina hilo na waafrika basi hapati shida ya kutambua hilo
 
Someni history zaidi ya mnayofundishwa darasani, hakuna race ambayo haikupitia utumwa, tofauti ipo kwenye kiwango, muda uliodumu, sababu za kuchukuliwa utumwa na haki za mtumwa.....
 
Hakuna kabila au rangi iliyo nusurika na utumwa. Arabuni walikuwepo watumwa wa kiarabu. Masri walikuwepo watumwa wa Israeli. United Kingdom walikuwepo watumwa wa ki Irish Scottish.
Kila pembe ya dunia ilionja utumwa. Wa africa walikuwa na utumwa baina yao kwanza kabla ya ma chief kuanza kuwa uza watumwa kwa wageni .
 
Mchawi wa Afrika ni Waafrika wenyewe
 
Mzungu ndio anaongoza aliua red indians wengi sana sema wameficha hii historia wanatueleza ya hitler na hao wazayuni
Bila kusahau na mwingereza aliua kizazi karibu chote cha Aborigines (watu weusi) kule Australia kisha akapeleka wafungwa na maskini wakaanzishe taifa jipya la Australia
 

Ukitka kusema na mimi usithubutu kutetea miarabu mikatili hasa katika suala la utumwa. Akili zako kwenye dini . Dini yenyewe ya mashetani.

Kama huna hoja, naomba upite tu. Sitaki kusema na wewe.
 
Hahahahahahahahahahahah...!
 
Well.said.mkuu
 
Soma historia kijana. Mwarabu aliwauzia wafaransa wakapeleka watumwa Sychelles na Mauritius kulima miwa.
 
Waarabu waliwaasi watumwa walioenda huko.kwao ili wasiongezeke wakaja kuzaliana na watu wao. So vizazi vilikufa automatically
Kuna kabila la Dhofar nchini Oman ambao ni watu weusi wenye asili ya Afrika. Sasa jiulize walizaana vip kama walihasiwa? Historia ya kibongo ilitengenezwa na wakoloni katika kuwashambulia waarabu waonekane kuwa watu wabaya sana. Mwarabu alikuwa mfanyabiashara akinunua na kuuza. Mtumwa aliteswa na mnunuzi baada ya kushindwa kumtumikia master wake
 
Tena hata asili ya BOXING.. ni watumwa...kipindi hicho MZUNGU ananunuwa MTUMWA MWENYE NGUVU kwa sababu ya KUMPAMBA NISHA na watumwa wengine na wao wakifaidika ....waarabu walituletea na ustaarabu pia..wewe angalia inchi zote ambazo muarabu hakupita hadi Leo wakienda CHOONI wanatumia makaratasi....labda hyo ndy faida ya MZUNGU....watu wanaoana JINSIA MOJA...nk...
 
Umenena ya kweli kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…