mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,005
- 20,805
Hivi ngoja nikuulize kitu...kati ya anayenunuwa mtumwa?na dalali wa mtumwa na anayewasaka watumwa awauze kwa muarabu....nani mbaya hapo?wewe humtaji mzungu sababu ya msalaba....hakuna kingine..ndy maana ni kasema hii Vita ya msalaba...hata hao wazungu wameficha vitu vingi ktkt history ya watumwa....hao ndy namba moja MBWA hao...wao ndy waliotangaza deal LA kununuwa watumwa...babu na bibi zetu waliwafanya vibaya sana hao VIUMBE...waliwaburuza babu zetu na bibi zetu kwa miaka 373.....Huwezi kuwa mkweli ikiwa hutataja warabu ambao diyo walikuwa makatili na vinara wa kuchukua watumwa East Aafrica. Kinyume cha hapo, una agenda zako binafsi zisizo na maslahi wala tija kwa taifa.