Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,604
- 5,583
Alitumikishwa na nani? [emoji1] [emoji1] [emoji1]View attachment 476867 Huyu ndie mtumwa wa mwisho kabisa aliyefahamika, hii picha ilipigwa mwaka 1974 akiwa na miaka 100, aliitwa Maria Ernestina, alikuwa akitumikishwa huko Bagamoyo
Akili za kitumwa zinajulikana tuWaarabu siyo watu. Kwanza walia castrate ili wasije kuzaa na watu wao . Baada ya biashara kuisha waliwaua wote!. Lakini leo hii mipumbavu isiyokuwa na akli inasema eti waliwauzia America. America anunue watumwa wakati biashara haipo tena?
Waarabu si binadamu tangu mwanzo wao, leo hata mwisho.
Hakuna kabila wala taifa wala rangi,ambalo duniani hawakufanyana utumwa.Makabila yote duniani yakikamatana wenyewe kwa wenyewe na kuuzana.Hata waisrael,wanaosifiwa ni taifa kubwa pia walifanywa watumwa Misri,na walifanywa watumwa na watu weusi sio weupe.Akili za kitumwa zinajulikana tu
Kuna watu wanajisahaulisha hayo mkuu. Wana utumwa wa fikra kuona wale wanaowaabudu hawakukamata wala kutesa watumwa, walifanyiwa uungwana sana na wale wazungu kwenye merikebu. Wanapeana sumu na kuzieneza wakisahau Argentina ilijaa watumwa toka Syria na nchi zingine za kiarabu.Hakuna kabila wala taifa wala rangi,ambalo duniani hawakufanyana utumwa.Makabila yote duniani yakikamatana wenyewe kwa wenyewe na kuuzana.Hata waisrael,wanaosifiwa ni taifa kubwa pia walifanywa watumwa Misri,na walifanywa watumwa na watu weusi sio weupe.
HAPO Denmark ulipo ni mtumwaNafikiria kuwa nå iman yangu kivyangu vyangu. Ctak Kuwa mtumwa. Sitaki tena kufuata utumwa wa kizungu nå kiarab. Nataka kujitambua Mimi kama mimi
ndio mtumwa wa kujitakia siyo kulazimishwa! Sikinyooshewa mtutu kuja huku. Sasa bongo huko 2009 kurudi nyuma Maisha niliyoish nikikumbuka bora niwe mtumwa tu DenmarkHAPO Denmark ulipo ni mtumwa
Picha ilipigwa mwaka 1974, lakini alikuwa utumwani miaka ya mwishoni mwa miaka ya 1800, il aliweza kuwa-out leave watumwa wenzake wote wa kipindi hicho hadi akaweza kuwa the last formet slave alive mwaka huo wa 1974. Nadhani mimeeleweka. Alikuwa akitumikishwa kwa nani in the 19th century, nani atajua?Alitumikishwa na nani? [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Lakini ndani ya miaka hii 2 tu mahaba yako na CCM yameshamiriSina agenda yoyote..., ila kiukweli ni kwamba waafrika bado ni watumwa..., waulize CCM watakuambia ni kweli au sio...
Walihasiwatena yapasa kujiuliza hao watumwa kibao kutoka EAST AFRICA na kusafirishwa kwa majahaz kwenda kwa majini magaidi KIZAZI CHAO KIPO WAPI??? mbona wa west africa kizazi chao kipo america?? historians naomba mnijibu
Unajua for most of us utumwa ni kama hadithi za kufikirika tu.., ni ngumu sana kuamini kwamba eti mwarabu mmoja mwenye bunduki ya kipuuzi anaweza akateka watu 100 wenye akili zao, akawafunga minyororo wote na kuwasafirisha for miles bila shida yoyote ile.., iliwezekanaje..????!!!
Watumwa ndani ya minyororo.., wameridhiiika wenyewe..., eti wanapigwa picha!
Mtoto mtumwa huko Zanzibar.., hapa anakula adhabu kali ya kusimama na gogo la kilo 30 kwenye jua kali bila viatu kwa muda usiopungua masaa 8 bila kula..., hii ni kwa kosa la kimbwa sana sitalitaja hapa.., linahusiana na yale mambo flani yale..
Hapa tunaona mbwa mmoja wa kizungu aliekuwa anaitwa T.H Williams akitoa tangazo linaloahidi donge nono la dollar 100 ya mwaka huo, (August 4, 1853) kwa yeyote atakaemrudisha mtumwa wake mrembo sana. Huyu binti Emily bila shaka alimlewesha kwa yale mambo yetu mpaka ana mtafuta kwa nguvu namna hii.
Hapa mtumwa akiwa kwenye maumivu makali sana. Sina uhakika sana.., ila inawezekana alikuwa natengenezewa bangili ya kufungwa mnyororo.., pia huyu mbwa wa kizungu inawezekana alikuwa
anamtoboa enka.., u neva know..!
Hii picha ndio imenifanya nianze kupata majibu ya swali langu.., yaani hao askari wanaowachunga wenzao kama ng'ombe wa maksai ni waafrika wenzetu kabisa...!!! hapa ni kwenye shamba la mpira (rubber plantation) lililokuwa likimilikiwa na wabelgiji na hao ni wakongoman..., haya ni mambo ya kimbwa kabisa. hiki ndicho wanyanyasaji wanachotufanya watanzania kwa kutumika na watu wa pua ndefu na ndevu nyingi..!
Kwanini unasema nini mahaba na CCM? nauliza tuLakini ndani ya miaka hii 2 tu mahaba yako na CCM yameshamiri
Maneno haya yanadhihirisha kuwa utumwa haukuletwa na wakoloni:Unajua for most of us utumwa ni kama hadithi za kufikirika tu.., ni ngumu sana kuamini kwamba eti mwarabu mmoja mwenye bunduki ya kipuuzi anaweza akateka watu 100 wenye akili zao, akawafunga minyororo wote na kuwasafirisha for miles bila shida yoyote ile.., iliwezekanaje..????!!!
Watumwa ndani ya minyororo.., wameridhiiika wenyewe..., eti wanapigwa picha!
Mtoto mtumwa huko Zanzibar.., hapa anakula adhabu kali ya kusimama na gogo la kilo 30 kwenye jua kali bila viatu kwa muda usiopungua masaa 8 bila kula..., hii ni kwa kosa la kimbwa sana sitalitaja hapa.., linahusiana na yale mambo flani yale..
Hapa tunaona mbwa mmoja wa kizungu aliekuwa anaitwa T.H Williams akitoa tangazo linaloahidi donge nono la dollar 100 ya mwaka huo, (August 4, 1853) kwa yeyote atakaemrudisha mtumwa wake mrembo sana. Huyu binti Emily bila shaka alimlewesha kwa yale mambo yetu mpaka ana mtafuta kwa nguvu namna hii.
Hapa mtumwa akiwa kwenye maumivu makali sana. Sina uhakika sana.., ila inawezekana alikuwa natengenezewa bangili ya kufungwa mnyororo.., pia huyu mbwa wa kizungu inawezekana alikuwa
anamtoboa enka.., u neva know..!
Hii picha ndio imenifanya nianze kupata majibu ya swali langu.., yaani hao askari wanaowachunga wenzao kama ng'ombe wa maksai ni waafrika wenzetu kabisa...!!! hapa ni kwenye shamba la mpira (rubber plantation) lililokuwa likimilikiwa na wabelgiji na hao ni wakongoman..., haya ni mambo ya kimbwa kabisa. hiki ndicho wanyanyasaji wanachotufanya watanzania kwa kutumika na watu wa pua ndefu na ndevu nyingi..!
Ukisoma historia vizuri, utagundua kwamba wahindi walikua wakitumiwa kama watumwa kwenye mashamba ya Brazil. Ila walikua wakisumbuliwa sana na magonjwa tofauti na waafrika ambao magonjwa yalikua hayawasumbui sana.Unajua for most of us utumwa ni kama hadithi za kufikirika tu.., ni ngumu sana kuamini kwamba eti mwarabu mmoja mwenye bunduki ya kipuuzi anaweza akateka watu 100 wenye akili zao, akawafunga minyororo wote na kuwasafirisha for miles bila shida yoyote ile.., iliwezekanaje..????!!!
Watumwa ndani ya minyororo.., wameridhiiika wenyewe..., eti wanapigwa picha!
Mtoto mtumwa huko Zanzibar.., hapa anakula adhabu kali ya kusimama na gogo la kilo 30 kwenye jua kali bila viatu kwa muda usiopungua masaa 8 bila kula..., hii ni kwa kosa la kimbwa sana sitalitaja hapa.., linahusiana na yale mambo flani yale..
Hapa tunaona mbwa mmoja wa kizungu aliekuwa anaitwa T.H Williams akitoa tangazo linaloahidi donge nono la dollar 100 ya mwaka huo, (August 4, 1853) kwa yeyote atakaemrudisha mtumwa wake mrembo sana. Huyu binti Emily bila shaka alimlewesha kwa yale mambo yetu mpaka ana mtafuta kwa nguvu namna hii.
Hapa mtumwa akiwa kwenye maumivu makali sana. Sina uhakika sana.., ila inawezekana alikuwa natengenezewa bangili ya kufungwa mnyororo.., pia huyu mbwa wa kizungu inawezekana alikuwa
anamtoboa enka.., u neva know..!
Hii picha ndio imenifanya nianze kupata majibu ya swali langu.., yaani hao askari wanaowachunga wenzao kama ng'ombe wa maksai ni waafrika wenzetu kabisa...!!! hapa ni kwenye shamba la mpira (rubber plantation) lililokuwa likimilikiwa na wabelgiji na hao ni wakongoman..., haya ni mambo ya kimbwa kabisa. hiki ndicho wanyanyasaji wanachotufanya watanzania kwa kutumika na watu wa pua ndefu na ndevu nyingi..!
Ukitaka kujua kuhusu utumwa tembelea mataifa kama America, United Kingdom, Portugal, Italy, France and Germany
Waarabu walifanya biashara ya utumwa lakini kwa silimia ndogo sana, hata ukitembea mataifa yao, watu weusi ni wachache sasa. View attachment 521021View attachment 521022View attachment 521023View attachment 521024View attachment 521025View attachment 521026View attachment 521027View attachment 521028View attachment 521029View attachment 521030View attachment 521031View attachment 521032View attachment 521033View attachment 521034View attachment 521035View attachment 521036View attachment 521037View attachment 521038