Utumwa katika picha: Hivi iliwezekana vipi? Mbona Waarabu, Wahindi, Wachina hawakufanywa slaves?

Waarabu siyo watu. Kwanza walia castrate ili wasije kuzaa na watu wao . Baada ya biashara kuisha waliwaua wote!. Lakini leo hii mipumbavu isiyokuwa na akli inasema eti waliwauzia America. America anunue watumwa wakati biashara haipo tena?

Waarabu si binadamu tangu mwanzo wao, leo hata mwisho.
Akili za kitumwa zinajulikana tu
 
Hakuna kabila wala taifa wala rangi,ambalo duniani hawakufanyana utumwa.Makabila yote duniani yakikamatana wenyewe kwa wenyewe na kuuzana.Hata waisrael,wanaosifiwa ni taifa kubwa pia walifanywa watumwa Misri,na walifanywa watumwa na watu weusi sio weupe.
Kuna watu wanajisahaulisha hayo mkuu. Wana utumwa wa fikra kuona wale wanaowaabudu hawakukamata wala kutesa watumwa, walifanyiwa uungwana sana na wale wazungu kwenye merikebu. Wanapeana sumu na kuzieneza wakisahau Argentina ilijaa watumwa toka Syria na nchi zingine za kiarabu.
 
Alitumikishwa na nani? [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Picha ilipigwa mwaka 1974, lakini alikuwa utumwani miaka ya mwishoni mwa miaka ya 1800, il aliweza kuwa-out leave watumwa wenzake wote wa kipindi hicho hadi akaweza kuwa the last formet slave alive mwaka huo wa 1974. Nadhani mimeeleweka. Alikuwa akitumikishwa kwa nani in the 19th century, nani atajua?
 
tena yapasa kujiuliza hao watumwa kibao kutoka EAST AFRICA na kusafirishwa kwa majahaz kwenda kwa majini magaidi KIZAZI CHAO KIPO WAPI??? mbona wa west africa kizazi chao kipo america?? historians naomba mnijibu
Walihasiwa
 
Jiuliza pia inawezekana vipi viongozi wachache wakaiingiza nchi Kwenye m ikataba ya ajabu Kwenye Karne hii iliyojaa wasomi.
 
Mtoa post kuwa makini na post yako. Mana naona kama una propaganda na utumwa na uwarabu ktk picha zako mimi sija ona sehemu zanzibar wala mwarabu. Ila nime ona watumwa na wazungu
 
Kuna picha moja hapo. kuna watumwa wako wengi na askari mweusi hii ina maana gani?. Then hiyo picha wako ndani ya kanisa la mkunazini je? Hawa walikuwa ni waarabu?. MIE NATOA CHALLENGE yoyote mwenye picha ilio pigwa ya mwarabu sio ya kuchora. Anipe na akitafuta atizame za wazungu amezipata wapi? ACHENI PROPAGANDA ZA KIJINGAAA.
 
Unajua for most of us utumwa ni kama hadithi za kufikirika tu.., ni ngumu sana kuamini kwamba eti mwarabu mmoja mwenye bunduki ya kipuuzi anaweza akateka watu 100 wenye akili zao, akawafunga minyororo wote na kuwasafirisha for miles bila shida yoyote ile.., iliwezekanaje..????!!!

slaves510x492.gif

Watumwa ndani ya minyororo.., wameridhiiika wenyewe..., eti wanapigwa picha!

2006_2637.JPG

Mtoto mtumwa huko Zanzibar.., hapa anakula adhabu kali ya kusimama na gogo la kilo 30 kwenye jua kali bila viatu kwa muda usiopungua masaa 8 bila kula..., hii ni kwa kosa la kimbwa sana sitalitaja hapa.., linahusiana na yale mambo flani yale..

reward2.jpg

Hapa tunaona mbwa mmoja wa kizungu aliekuwa anaitwa T.H Williams akitoa tangazo linaloahidi donge nono la dollar 100 ya mwaka huo, (August 4, 1853) kwa yeyote atakaemrudisha mtumwa wake mrembo sana. Huyu binti Emily bila shaka alimlewesha kwa yale mambo yetu mpaka ana mtafuta kwa nguvu namna hii.

SlaveShackle_450x397.jpg

Hapa mtumwa akiwa kwenye maumivu makali sana. Sina uhakika sana.., ila inawezekana alikuwa natengenezewa bangili ya kufungwa mnyororo.., pia huyu mbwa wa kizungu inawezekana alikuwa

anamtoboa enka.., u neva know..!

166367_o.jpg

Hii picha ndio imenifanya nianze kupata majibu ya swali langu.., yaani hao askari wanaowachunga wenzao kama ng'ombe wa maksai ni waafrika wenzetu kabisa...!!! hapa ni kwenye shamba la mpira (rubber plantation) lililokuwa likimilikiwa na wabelgiji na hao ni wakongoman..., haya ni mambo ya kimbwa kabisa. hiki ndicho wanyanyasaji wanachotufanya watanzania kwa kutumika na watu wa pua ndefu na ndevu nyingi..!

Rudi usome historia vizuri! Hivi unajua ni kwa nini wachina hawaivi na wajapani?? Utumwa ulikuwa ni biashara na km biashara nyingine yoyote ile kulikuwa na vigezo na pia taratibu za kuifanya.

Kumbuka kwamba wote tulikuwa tunatambulika km binadamu na iliwabidi slave masters pia kutumia gharama kupata watumwa. Yawezekana kipindi cha afrika kuingizwa kwenye biashara kilikuwa late na hivyo ikawa shida kidogo na ndio maana tunaweza kuja na hizi argument za kisasa.

Huwa nikizionq hizi picha pale slave market Zanzibar mwili huwa unasisimka ila kwa uelewa tu unarudi kuamini kwamba it was a way of life.
 
Unajua for most of us utumwa ni kama hadithi za kufikirika tu.., ni ngumu sana kuamini kwamba eti mwarabu mmoja mwenye bunduki ya kipuuzi anaweza akateka watu 100 wenye akili zao, akawafunga minyororo wote na kuwasafirisha for miles bila shida yoyote ile.., iliwezekanaje..????!!!

slaves510x492.gif

Watumwa ndani ya minyororo.., wameridhiiika wenyewe..., eti wanapigwa picha!

2006_2637.JPG

Mtoto mtumwa huko Zanzibar.., hapa anakula adhabu kali ya kusimama na gogo la kilo 30 kwenye jua kali bila viatu kwa muda usiopungua masaa 8 bila kula..., hii ni kwa kosa la kimbwa sana sitalitaja hapa.., linahusiana na yale mambo flani yale..

reward2.jpg

Hapa tunaona mbwa mmoja wa kizungu aliekuwa anaitwa T.H Williams akitoa tangazo linaloahidi donge nono la dollar 100 ya mwaka huo, (August 4, 1853) kwa yeyote atakaemrudisha mtumwa wake mrembo sana. Huyu binti Emily bila shaka alimlewesha kwa yale mambo yetu mpaka ana mtafuta kwa nguvu namna hii.

SlaveShackle_450x397.jpg

Hapa mtumwa akiwa kwenye maumivu makali sana. Sina uhakika sana.., ila inawezekana alikuwa natengenezewa bangili ya kufungwa mnyororo.., pia huyu mbwa wa kizungu inawezekana alikuwa

anamtoboa enka.., u neva know..!

166367_o.jpg

Hii picha ndio imenifanya nianze kupata majibu ya swali langu.., yaani hao askari wanaowachunga wenzao kama ng'ombe wa maksai ni waafrika wenzetu kabisa...!!! hapa ni kwenye shamba la mpira (rubber plantation) lililokuwa likimilikiwa na wabelgiji na hao ni wakongoman..., haya ni mambo ya kimbwa kabisa. hiki ndicho wanyanyasaji wanachotufanya watanzania kwa kutumika na watu wa pua ndefu na ndevu nyingi..!
Maneno haya yanadhihirisha kuwa utumwa haukuletwa na wakoloni:

Kabla ya wakoloni kuja, Mukama alikuwa absolute ruler, kwa maana kwamba, neno lake lilikuwa ni sheria na ardhi yote ilikuwa ni mali yake.Kadhalika hata watu, mifugo na misitu vyote vilikuwa ni mali zake.

Yanapatikana hapa: Ijue historia ya Wahaya wa Kiziba ''Wenye Kagera Yao''
 
Unajua for most of us utumwa ni kama hadithi za kufikirika tu.., ni ngumu sana kuamini kwamba eti mwarabu mmoja mwenye bunduki ya kipuuzi anaweza akateka watu 100 wenye akili zao, akawafunga minyororo wote na kuwasafirisha for miles bila shida yoyote ile.., iliwezekanaje..????!!!

slaves510x492.gif

Watumwa ndani ya minyororo.., wameridhiiika wenyewe..., eti wanapigwa picha!

2006_2637.JPG

Mtoto mtumwa huko Zanzibar.., hapa anakula adhabu kali ya kusimama na gogo la kilo 30 kwenye jua kali bila viatu kwa muda usiopungua masaa 8 bila kula..., hii ni kwa kosa la kimbwa sana sitalitaja hapa.., linahusiana na yale mambo flani yale..

reward2.jpg

Hapa tunaona mbwa mmoja wa kizungu aliekuwa anaitwa T.H Williams akitoa tangazo linaloahidi donge nono la dollar 100 ya mwaka huo, (August 4, 1853) kwa yeyote atakaemrudisha mtumwa wake mrembo sana. Huyu binti Emily bila shaka alimlewesha kwa yale mambo yetu mpaka ana mtafuta kwa nguvu namna hii.

SlaveShackle_450x397.jpg

Hapa mtumwa akiwa kwenye maumivu makali sana. Sina uhakika sana.., ila inawezekana alikuwa natengenezewa bangili ya kufungwa mnyororo.., pia huyu mbwa wa kizungu inawezekana alikuwa

anamtoboa enka.., u neva know..!

166367_o.jpg

Hii picha ndio imenifanya nianze kupata majibu ya swali langu.., yaani hao askari wanaowachunga wenzao kama ng'ombe wa maksai ni waafrika wenzetu kabisa...!!! hapa ni kwenye shamba la mpira (rubber plantation) lililokuwa likimilikiwa na wabelgiji na hao ni wakongoman..., haya ni mambo ya kimbwa kabisa. hiki ndicho wanyanyasaji wanachotufanya watanzania kwa kutumika na watu wa pua ndefu na ndevu nyingi..!
Ukisoma historia vizuri, utagundua kwamba wahindi walikua wakitumiwa kama watumwa kwenye mashamba ya Brazil. Ila walikua wakisumbuliwa sana na magonjwa tofauti na waafrika ambao magonjwa yalikua hayawasumbui sana.
 
Kila kizazi kina changamoto zake. Mbona kizazi chetu kimeshindwa kujinasua kwenye lindi la umasikini ingawa tuna rasilimali za kutukuka? Mbona tunaendelea kuchagua viongozi wala rushwa na mafisadi wakati tunajua hawatatuletea maendeleo? Kiufupi tuna fanya madudu mengi sana......ingawa tuna utasikilizwa WA kuamua tofauti. Kwa hiyo usishangae vizazi vya baadae kutushangaa tulikuwa tunatumia akili gani......ndo maana hata hao ndugu zetu watumwa tusiwalaumu......ni changamoto ya kizazi chao waliyokumbana nayo.
 
Back
Top Bottom