Utumwa katika picha: Hivi iliwezekana vipi? Mbona Waarabu, Wahindi, Wachina hawakufanywa slaves?

huna akili ww ,nimekuita bwana mdogo sababu akili zako ni sawa na za watoto wadogo.jaribu usionyeshe ujinga wako mbele za watu
 
Na wale wanaua watoto wadogo ambao hawajui chochote utasemaje,bwana mdogo huna akili za kufikiria kama punda
 
huna akili ww ,nimekuita bwana mdogo sababu akili zako ni sawa na za watoto wadogo.jaribu usionyeshe ujinga wako mbele za watu

Nimesema wewe ni lipumbavue. Hakuna binadamu kamlii anaywezea kuwatenganisha waarabu na ushetani isipokuwa shetani mwenyewe unayemwita bwana. Pumbaveu kabisa wewe tena huna maana kama mzoga wa mbwa aliyekula matti ya bwana wako.

Wewe na maarabu wote na wanaoishi katika ujinga kama wako i mashenzi mashetani wote!. Kama hutaki ukweli kunywa sumu uwahi mabikira kuzimu!. pumbvaue.

Hauna tofauti na maabudu shetani!

 
sina muda wa kupoteza kujibishana na kula kulala
 
Sina cha kuongeza katika nukta hizo mkuu! Umemaliza yaliyo mengi na ndio maana mtu alipata kuandika "miafrika ndivyo tulivyo!"
 
Utumwa mamboleo! Ndio maana hata sasa tunaingia mikataba mibovu pasina kujali vizazi vijavyo ama hatma ya nchi zetu itakuwaje! Watawala wanawaza kuendelea kutawala ikibidi kwa kurithishana kama sio kutawala maisha! Iwe mvua iwe jua!

Iko haja tupimwe akili kwa kutulia kwetu hata kwenye maumivu huenda tunayo kasoro katika bongo zetu
 
Na huu kwenye picha hapa chini sio utumwa mamboleo?

 
Na huu kwenye picha hapa chini sio utumwa mamboleo?
View attachment 522275
Inawezekana ukawa ni utumwa mamboleo lakini ni kwa nani na kwa ajili ya nini! Inawezekana sana pia ukawa si utumwa kama vile ambavyo ule mwingine usivyotajwa kuwa ni utumwa! Utumwa mbaya ni ule unaomnyima mtu fursa ya kutumia akili zake kupembua na kuchambua kwa kina bali kuamini katika yale aliyokaririshwa na akakariri vilivyo pasi na kuchagua mbivu na mbovu, Ndio maana watumwa wengi mamboleo hawataki kutafuta uhuru kutokana na utumwa mamboleo zaidi ya kueneza chuki kwa mambo wasiyoyafahamu badala ya kufanya tafiti ama kutumia tafiti za watafiti mahiri waliopo ama waliopita.

Ziko fursa nyingi katika utumwa mamboleo hazitazamwi kama fursa bali starehe kwani wengi wa watumwa mamboleo hawatumii fursa hizo kujinufaisha. Mathalan yapo magari, njia za mawasiliano na teknolojia zingine lakini ni watumwa gani mamboleo wa Afrika wanaotaka kujitoa kwa kunufaika na utumwa huo hawataki kutazama India, China, Korea, Malaysia nk. walitokaje!! Utumwa wa Afrika umebaki katika kutazamana sura na majina huku tukishindwa kunufaika Kitaifa kama waliojitambua wakanasuka sisi tunajinufaisha binafsi pasi kuijua kesho yetu kwa vizazi vyetu.
 
Kuna maswali nilikuwa najiuliza kuhusu utumwa lakini sipati majibu. Ila baada ya kuangalia hizi picha nimetambua hasa tatizo lilikuwa wapi

Kwanza waafrica tulikuwa hatujitambui kabisa ndiyomaana mzungu ambaye kipindi hicho tayari anajitambua na huko kwao competition katika maishaa ilishakuwa kubwa, Alipofika Africa akatake advantage ya ujinga wetu na kututawala. Ni ujinga kwa sababu haiwezekani mtu mmoja mwenye bunduki hawezi akawashurutisha kundi la watu zaidi ya10 na mkashindwa kumzidi nguvu...

La pili waafrika tulijaaliwa nguvu na rasilimali nyingi lakini wenyewe tulishindwa kuzitumia ht nguvu zetu akaja mtu mwingine kuzitumia nguvu zetu wenyewe kujitajirisha.

Hitimisho, mzungu alipokuwa akitutawala alihakikisha hatutakuja kujitambua wala kufanikiwa kumfikia yeye kwa chochote katika miaka ijayo, sijui alitumia njia gani ila anafanikiwa kwa kiasi kikubwa.. Ndo sababu kubwa hadi Leo nchi nyingi za kiafrika zinasuasua katika maendeleo ya mambo mengi.. Mfano mkubwa Tanzania Leo ni zaidi ya miaka 50 ya Uhuru lakini hakuna maendeleo.. Hata katika soka pia huko ndo kabisa kila siku ni vilio..

Kikubwa hatutakiwi kukata tamaa katika kutafuta majibu ili yaje kuwasaidia wajukuu zetu vizazi vinavyokuja
 

Mhanga wa utumwa afunguka.
 
Mkitaka tuondoe utumwa wa kiuchumi kwanza tuache kutumia mifumo ya kibiashara kwa kutumia haya makaratasi yanaitwa pesa. Turudishe barter trade kule hawatatudhibiti na upuuzi wa fedha yako inathamani ndogo yangu ina thamani kubwa, hapa lete shaba nikupe jogoo, lete gari nikupe thahabu, lete urembo nikupe viungo toka pemba n.k.

Pili tuachane na dini za kinyonge kwa ajili ya wanyonge kitawaliwa na wenye nguvu.
Eti anakuambia kuuwa ni dhambi kisha anaenda kuwapa taarifa wakuu wake waliopo ulaya namna ya kukutawala na kukuchukulia mali asili zako.
 
Mzungu/Mwarabu hawezi akafanya lolote lile kwa faida ya mtu mweusi.., sana sana ataficha ukweli na kukudanganya kwamba anakusaidia..., ni uongo tu.., CCM inabidi wazinduke..., nafuu tuka-deal na wachina tu..,
ANGALIA TAWALA ZA ASIACYA WACHINA NA WAJAPAN NA WAKOREA UTAPATA JIBU NI KWA SABABU GANI WANAJIELEWA
 
Hawana nguvu za kufanya kazi nzito
 
Eti mjerumani kaleta dini Tanganyika inasisitiza mtu akikupiga shavu la kushoto mgeuzie na upande wa kulia akuongezee kipigo, wakati huo huo Kinjikitile Ngwale aling'oa miche ya pamba shambani kwa alieleta dini kisha jamaa wakalipiza kwa kuuwa watu mamia kwenye vita vya majiamaji.
Mkwawa aliwauwa wajerumani wachache hawakumsamehe ilibidi hadi ajiuwe lakini hawakuisamehe hata maiti yake wakakata kichwa na kukipeleka kwao.

Dini hizi zetu pendwa za waarabu na wazungu zilizoanzia mashariki ya kati zote hazijakataza kumiliki watumwa, bali walijitahidi tu kuwekeana sheria namna ya kuwatumia watumwa.
MAONI YANGU:
Mungu yupo lakini nahisi mafundisho ya hizi dini yamekuwa twisted kidogo kwa manufaa ya vikundi flani vya wajanja.
 
Slavery brings miseries. Lakini dini ya mwarabu haijakataza utumwa kama dini ya mzungu pia haijakataza. Nahisi hata nabii fulani alikuwa na watumwa wake au maswahaba wake walikuwa na watumwa. Kama yeye hakuwa nao lakini wafuasi wake walioleta mafundisho yake ya dini walimiliki na kuuza watumwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…