Utumwa katika picha: Hivi iliwezekana vipi? Mbona Waarabu, Wahindi, Wachina hawakufanywa slaves?

tena yapasa kujiuliza hao watumwa kibao kutoka EAST AFRICA na kusafirishwa kwa majahaz kwenda kwa majini magaidi KIZAZI CHAO KIPO WAPI??? mbona wa west africa kizazi chao kipo america?? historians naomba mnijibu
Oman ina asili ya watu flan weusi, ila mwarabu kutokana na kuwekeza akili kwenye ngono, kitu cha kwanza kufanya kwa wale watumwa ilikuwa kuwahasi, ili kusiwe na uzazi wowote. Tafuta speech za PLO Lumumba, kuna moja kazungumzia hilo
 
Biashara ya utumwa ilianza muda sana, watumwa walienda pia uarabuni kama wafanyakazi wa ndani pamoja na kufanya kazi kwenye mashamba tende na mizabibu.
 
Kuna siku Mugabe alisema watu wa Africa kusini wanaweza kuwapiga na kuwachoma waafrika wenzio ila hawewezi hata kuangusha sanamu la mzungu.
 
tena yapasa kujiuliza hao watumwa kibao kutoka EAST AFRICA na kusafirishwa kwa majahaz kwenda kwa majini magaidi KIZAZI CHAO KIPO WAPI??? mbona wa west africa kizazi chao kipo america?? historians naomba mnijibu
Wengi walihasiwa na wengine kugeuzwa mapunga (wangese) hivyo hawakuongezeka kama waliopelekwa Amerika na Ulaya.

Pia mwarabu alikuwa katili mno kiasi kwamba mtumwa hakupata huduma sahihi za afya na chakula hivyo wengi walikufa haraka kabla hawajazaana.
 
Slavery kama biashara yoyote ina key 3 players ambao
1.Source of Supply
2.Middlemen
3.End User /Consumer

Hapa ukiisoma vizuri utaona Namba
1. Machifu na Watemi
2. Waarabu
3. Wazungu

Ni kama unavyoona sasa hivi Corrupted leaders ndio chanzo kikubwa cha unyonywaji wa resources zetu
 
Kwa mfano ukiangalia mtu kama Tip Tippu upande wa mama alikuwa na Nasaba ya Chief Fundikira hii ilimfanya aheshimike na hata kuogopwa na Machifu wengine
Tikiti bovu liko shambani mwako mbona kwa Mangi Meri Chifu wa Wachaga hawakuchukuliwa au hata kwa Wamasai
 
utumwa mwingine unatokana na kupungukiwa akili kichwani
 
Utumwa ni utumwa tu
 
Watu wanalaumu waarabu na wazungu bila kusoma historia. Angalia Kabaka Mutesa wa Uganda alivyokuwa anagawa watumwa kwa waarabu and that was just 1854. Soma kitabu cha Speek alivyogawiwa watumwa wa kike akaamua kuwagawa kwa wapagazi wake ambao waliondoka nao mpaka Zanzibar. Siyo hao tu hata akina Rumanyika na wengine walikuwa wakishinda vita, wale mateka wanauzwa kwa waarabu. Mababu zetu ndo waliuza ndugu zetu na siyo hao tunaowalaumu ingawa kwanini utumwa? Bado hata sisi tuna watumikisha watu majumbani mwetu kwa ujira wa elfu 20, je huo si utumwa wa ndani?
 
Siku zote nimekuwa nikiamini kabisa, kwa mazingira yetu ya kiTanzania, wafanyakazi wa ndani hasa wa kike, ni watumwa 'in the very sense of the word'.
 
Myahudi alikuwa mtumwa kwa Mmisri, Mchina alikuwa mtumwa kwa Mjapani
 
Yaani huyu mzee ni level za Nyerere kabisa, anaitwa nani huyu?
 
kila nikiona picha za watumwa naona wazungu wakiwa na watumwa lakini sioni picha ya mwarabu na watumwa ila za kuchora tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…