very true ...watu weusi hatupendi .. na hilo nisehemu ya uthibitisho kuwa tunachuki za wenyewe kwa wenyew""Tusitake kupindua historia hapa - Msisahau kuwa waafrika wenyewe walikuwa wakiwa saka na kuwauza wenzao - Mirambo na machief wengine walikuwa wasafishaji wa watumwa wakubwa. Hakuna ushahidi wowote kuwa waarabu walivamia kijiji na kukamata watumwa - watumwa wote waliowachukuwa waliletewa na kuuziwa na waafrika wenzao
hahaaaMkuu
Mtu anapoku-misquote ni lazima uweke mambo sawa pasi kuangalia utakuwa nje ama ndani ya mada.
We mwenyewe badala ya kujikita kwenye mada umeishia kuwa Kofi Annan(ndio uungwana)
Umesomeka hata hivyo.
Acha uwongo" yaelekea una mahaba na hao waarabu ...period...katika historian ya uislam kuna mtu anayefahamika kama bilali alikuwa ni mtumwa wakati wamtume "" huyu bwana alikuwa ni raia wa Ethiopia aliyekuwa utumwani Makka"" haya kama waarabu waliitwa na " wazanzibar waje kukomesha utawala wakireno huyu bilali alipelekwa na nani saudia "" halafu watu wengine waongo nyie ...hzi dini mnazozikumbatia ndio matokeo ya utumwa wenyew...yaani unaamini kabisa Jamaa alivyosema kuwa waarabu waliitwa na waafrica wazanzibar ili wawasaidie kumfukuza mreno "" haya kama ukweli ndio huo na ikawaje tena waafrica hao hao wakawa chini ya utawala wa surtan waliyemuita aje awasaidie.....jinga kabisaHuu ndio ukweli,lakini historia inapotoshwa.Waarabu waliitwa na wenyeji kuja kuwakomboa kutoka makucha ya kireno.
ili uweze kujikita kwenye mambo muhimu yenye maendeleo nivyema kuweza kutambua ulipotoka ndio utaweza kutambua unakopaswa kwenda...Waafrika bado tunawazaga utumwa tu...badala tujikite kwenye mambo muhimu!
mkuu .hebu jitahidi kuisoma historia vyema kwanza ndio uanze kusema kuwa Africa tumeletewa maendeleo na hao wakoloni..Africa tulianza kuendelea kabla hata ya ujio wa hao wakoloni...unamjua mansa musa wewe "" na historia ya Mali empire " nadhani unamjua ramises " aka kwajina lingine farao kwa taarifa yako tu nikwamba misri imeshawahibkuwa dola kubwa kabisa ulimwenguni " chini ya utawala wa farao " na ilitawala mpaka huko kaanani "" Africa imeshawahi kuitawala mpka middle east chini ya utawala wa Queen of Sheba "" in short sisi ndio watu wa kwanza kuleta maendleo duniani ...na unapaswa kutambua kuwa hapa east Africa hiki kizazi chetu cha sasa kimehamia tu ""so kizazi kilicho hamia hapa hakikuchukua muda mrefu kuweza Ku survive kikajikuta kina kutana na wimbi LA huo utumwaNdo waliotuletea maendeleo pia,tazama waliyoyafanya ccm haifikii hata robo kwa mda mfupi waliokaa kuliko mda ambao tangu l Africa imepata Uhuru karibia miaka 70 sasa bado twajikongoja,usisome history iliyoandikwa kwa kuegemea upande mmoja mbaya,huwezi linganisha uchumi wa kikoloni,na uchumi wa baada ya Uhuru,enzi za ukoloni maisha yalikuwa bora na yenye uhakika kuanzia elimu kwa aliyeitaka,( elimu bora),matibabu bora,njaa haikuwepo watu walilazimishwa kulima, masoko ya mazao yalikuwa tele,ajira za mashambani,na viwandani zilikuwa tele hakukuwa na shida ya ajira,Uhuru wa kufanya biashara ulikuwa tele,ndo Maana kulikuwa na wafanyabiashara weusi wengi tu wakubwa,miji ilijengwa.nk
huyo "" KAvurugwa achana nae ..waarabu ndio waliotangulia kuanza kuja Africa wameanza kuja tangu karne ya 7 mpaka ya 16 ...wakati huo wanakuja technology ya camera ilikuwa ikowapi "" technology iliyokuwa inatumika ni michoro tu ""Mkuu,
Waarabu waliitwa na wenyeji!?
Sasa ilikuwaje waarabu (wageni) wakawa mabwana chini ya uongozi wa sultani na wenyeji wakawa watwana!!?Kulitokea nini!!?
Na kama wenyeji walikuwa wamewaleta waarabu kuwakomboa dhidi ya makucha ya wareno,ilikuwaje wenyeji chini ya John Okello wakafanya mapinduzi(Zanzibar Revolution) ambao ulimfanya sultani akimbie visiwa vya Zanzibar!!?
Suala la kwamba hakuna muarabu aliyepigwa picha sio la kuzingatia kwa kuwa sote tunajua kuwa kwa wakati ule kamera hazikuwa kama simu hivyo wamiliki walikuwa wazungu tena wazito tu!
Nafikiri nyie ndio mnapotosha historia
hahaaaa sasa ndio umefanya nini !?? umetoka kukemea katika content yako ya kwanza dhidi ya binaadamu kuwa brain washed " na kumuona mtu Mwenye kipato kuwa ndiye mwenye thamani umefika mbali zaidi mpka hatua yakusema kuwa "" suala kama hilo linapaswa kukemewa ..halafu ktika content hii umejisahau na kumuona mwarabu anachokifnya nikitu sthiki duhhh" kwli tuko brain washed yaani unaji contradict ur self ...hatari sana hii..ukichopaswa kufanya nikuendelea kukemea hzo desturi mbovu kama kweli zipo " katika Jamii zote " za kiarabu na kiswahili .kichina.kizungu" ama kihindi " na sio kutoa statement inayoonyesha kuwa unawaunga mkono " kwa ubaguzi wao huo ..kisa tu hata watu weusi wanafanya hivyo...kwahiyo kama watu weusi wanakosea basii nihalali na hao waarabu kukosea ?hujui kitu haya mambo ya kusema warabu hawakubali kuoesha ni mambo yako wazi ni mambo ya fedha warabu wengi wako njema sasa wewe na ukapuku wako utake binti wao wakupe tu na pia kuna suala la kupenda binti nae vipi kakuaprove au ndio kuforce tu baadae mtoe lawama na haya mambo sio kwa waarabu tu watu wengi waliokuwa na uwezo hawatoi mabinti zao kwa masikini sasa mbona kesi imekuwa waarabu tu na pia ukitaka kuamini ninachokisema huku kwenye miji mikubwa wanawake wa kiarabu wapo wengi tu wameolewa na watu weusi halafu pia linakuja suala la ukabila kama kwa watu wesi vile kuna wengine hawatoi binti yao kw kabila tofauti hata awe na pesa/mali nyingi yaani factor ziko nyingi .
sasa twende kistatistics kwa mwaka waarabu wangapi wanakataa kuoesha mabinti zao kwa watu weusi na watu weusi wangapi wanakataa kuoesha mabinti zao kwa watu weusi hao hao utapata jibu
kwahiyo hii smart phone " imetengenezwa na kampunia ya kikristo/Muslim "" acha bangi basiiii ""Laani ipi tena hali wao ndo wanakufanya uishi hata smartphone utumiao wametengeneza wao
ili uweze kujikita kwenye mambo muhimu yenye maendeleo nivyema kuweza kutambua ulipotoka ndio utaweza kutambua unakopaswa kwenda...
mkuu....kama wewe ni Muslim bila shaka utakuwa wamjua bilali bin wabaa...mbona huyu mtu alikuwa utumwani saudia ..na mtume ndiye alikuja kumuokoa toka mikononi mwa waarabu wenzie....wajua waarabu walitangulia kuja Africa kabla ya mzungu"" walikujanamo karne ya 7 mpka ya 16 " wakati huo hata camera hazikuwepo ...amino hivyo ndugu waarabu nao aalishiriki katika hiyo dhambi...na kuna wakati walikuwa wanashirikiana na kina mkwawa " kubadilishana mali " na walifaulu mpka kumbadilisha dini mkwawa "" kabla mjerumani hajaja na kuwageuzia kibaoNi hivyo kamanda wangu....kuna watu wanaamini waarabu walitesa babu zetu...binafsi siamini hicho kitu. Maana hata picha ya kudanganyia hatuna i mean "evidence"
Ndio maana katika hiyo picha ya mwisho nikasema nimepata jibuUbaguzi wa kisiasa unaharibu maana, kwanza ondoa neno mbwa kwa binadamu mwenzako, pili kwa sababu zako binafsi umekwepa kuwahusisha waarabu ambao walihusika kwa kiasi kikubwa hapa kwetu. Inawezekana ukwepaji wako una uhusiano wa kidini. Mwisho hapa kwetu wanaotumia risasi za moto kupiga watanzania wasio na silaha ni nani, wazungu?
wanaendeleza utumwa Wa mkoloni aliyeleta utumwa huo
Unajua for most of us utumwa ni kama hadithi za kufikirika tu.., ni ngumu sana kuamini kwamba eti mwarabu mmoja mwenye bunduki ya kipuuzi anaweza akateka watu 100 wenye akili zao, akawafunga minyororo wote na kuwasafirisha for miles bila shida yoyote ile.., iliwezekanaje..????!!!
Watumwa ndani ya minyororo.., wameridhiiika wenyewe..., eti wanapigwa picha!
Mtoto mtumwa huko Zanzibar.., hapa anakula adhabu kali ya kusimama na gogo la kilo 30 kwenye jua kali bila viatu kwa muda usiopungua masaa 8 bila kula..., hii ni kwa kosa la kimbwa sana sitalitaja hapa.., linahusiana na yale mambo flani yale..
Hapa tunaona mbwa mmoja wa kizungu aliekuwa anaitwa T.H Williams akitoa tangazo linaloahidi donge nono la dollar 100 ya mwaka huo, (August 4, 1853) kwa yeyote atakaemrudisha mtumwa wake mrembo sana. Huyu binti Emily bila shaka alimlewesha kwa yale mambo yetu mpaka ana mtafuta kwa nguvu namna hii.
Hapa mtumwa akiwa kwenye maumivu makali sana. Sina uhakika sana.., ila inawezekana alikuwa natengenezewa bangili ya kufungwa mnyororo.., pia huyu mbwa wa kizungu inawezekana alikuwa
anamtoboa enka.., u neva know..!
Hii picha ndio imenifanya nianze kupata majibu ya swali langu.., yaani hao askari wanaowachunga wenzao kama ng'ombe wa maksai ni waafrika wenzetu kabisa...!!! hapa ni kwenye shamba la mpira (rubber plantation) lililokuwa likimilikiwa na wabelgiji na hao ni wakongoman..., haya ni mambo ya kimbwa kabisa. hiki ndicho wanyanyasaji wanachotufanya watanzania kwa kutumika na watu wa pua ndefu na ndevu nyingi..!
Nawe piaAsante kwa taarifa
!
!
!
Nakutakia mfungo mwema wa Ramadhan
Soma vizuri kwa kutulia ndio utaelewa hakuna sehu nimesema ANAFANYA KITU STAHIKI.... usitunge manenohahaaaa sasa ndio umefanya nini !?? umetoka kukemea katika content yako ya kwanza dhidi ya binaadamu kuwa brain washed " na kumuona mtu Mwenye kipato kuwa ndiye mwenye thamani umefika mbali zaidi mpka hatua yakusema kuwa "" suala kama hilo linapaswa kukemewa ..halafu ktika content hii umejisahau na kumuona mwarabu anachokifnya nikitu sthiki duhhh" kwli tuko brain washed yaani unaji contradict ur self ...hatari sana hii..ukichopaswa kufanya nikuendelea kukemea hzo desturi mbovu kama kweli zipo " katika Jamii zote " za kiarabu na kiswahili .kichina.kizungu" ama kihindi " na sio kutoa statement inayoonyesha kuwa unawaunga mkono " kwa ubaguzi wao huo ..kisa tu hata watu weusi wanafanya hivyo...kwahiyo kama watu weusi wanakosea basii nihalali na hao waarabu kukosea ?