Ndo waliotuletea maendeleo pia,tazama waliyoyafanya ccm haifikii hata robo kwa mda mfupi waliokaa kuliko mda ambao tangu l Africa imepata Uhuru karibia miaka 70 sasa bado twajikongoja,usisome history iliyoandikwa kwa kuegemea upande mmoja mbaya,huwezi linganisha uchumi wa kikoloni,na uchumi wa baada ya Uhuru,enzi za ukoloni maisha yalikuwa bora na yenye uhakika kuanzia elimu kwa aliyeitaka,( elimu bora),matibabu bora,njaa haikuwepo watu walilazimishwa kulima, masoko ya mazao yalikuwa tele,ajira za mashambani,na viwandani zilikuwa tele hakukuwa na shida ya ajira,Uhuru wa kufanya biashara ulikuwa tele,ndo Maana kulikuwa na wafanyabiashara weusi wengi tu wakubwa,miji ilijengwa.nk