Naona siku hizi mmekuwa mashostito duh!!
sema la ukweli sijawahi kuona FF ukiongea hivi am scaring OMG!!!
What is going on!!
Hhhaaha! Na kweli natakiwa nikutazame kwa mapana zaidi Madam.Huwa unanisoma kwa uoga tu, kama alionao Lukuvi aka Islamophobia. Nisome bila uoga utanielewa tu.
Hhhaaha! Na kweli natakiwa nikutazame kwa mapana zaidi Madam.
How Europe Underdeveloped Africa kiliandikwa na Walter Rodney.Faizafox kaeleza kwa ufasaha kuhusu waafrika kujiona wanyonge. Marehemu Prof. Ali Mazrui katika moja ya vitabu vyake alilifafanua vizuri jambo. hili. Kwa maelezo zaidi tafuta kitabu cha Franz Fanon " How Europe underdeveloped Africa.
A very deep thread, I hope itakua sticky
Tuna issues kwenye ubongo mkuu
I have always been asking myself, how come mwarabu mmoja au wawili wanaswaga watu mia?? lakini angekua mbantu ndio anaswaga wenzake, wangemgeuka na kumla nyama
We ahve demostrated a lot of inferiority kiasi kwamba ni vigumu kuamini kama we are not inferior
Kunachoniuma jembe langu wamefanikiwa mpaka kutusahaulisha Mungu wetu aliyeangaika kuliumba bara la Africa kiasi ambacho unajiuliza nini hasa tupatayo kwa kufuata maupuuz yao mfano hija niende israel ama maka huko c kama kuwakuzia mapato yao kupitia utalii ni upumbavu2 vyote ulivyosema kiukwel viliwapagawisha zaid maandiko ya iman yetu ambayo ulikuwa ukiyasoma mpaka wanyama wananena kwa lugha achilia mbali magari yetu ambayo yalikuwa yanatembea bila ya kuwa na matairi,na ahimidiwe wa pekee aliyeumba Africa na kutuumba weusi tuliokuwa na uwezo hata wa kuongea na mende
Mimi nimeishi katika Ukristo kwa miaka kadhaa sasa, nilizaliwa huko pia. Nilivyotanua maarifa nikaja kugundua kuwa Ukristu ni biashara kubwa, biashara ambayo imeendelea kumkandamiza mtu mweusi na kumfanya duni mbele ya mweupe. Kibaya zaidi imekuwa ikihusiana kwa karibu na madhila yote yaliyowakuta kizazi cheusi, kuanzia Ukoloni, Utumwa hadi Ukoloni Mamboleo.
Kwa sasa wakristu ni watumwa wa kiuchumi wa taasisi hii, watumwa pia wa utamaduni (hata kumpa mwanao jina la Kiafrika ni makosa katika Ukristu) na zaidi ni watumwa wa Kiroho wanaolazimishwa kuwa katika dini kwa kuwa wanatishiwa Jehanamu.
Dini ambazo tunaziona za kipuuzi zinahamasisha watu kutafakari na kusaka maarifa zaidi, na sio kuisha kwa 'doctrine' zilizoandikwa miaka mingi iliyopita. Hatuhimizwi kuisaka kweli, bali tutapata maarifa yoote katika kitabu kimoja ambacho tunaambiwa tusipokisoma kwa 'roho' hatuwezi kuelewa.
Umeongea vema kaka. Hizi dini kazi zake ni kumtishia mtu mweusi kuhusu after life, as if wao walishakufa na kufufuka ili watuambie wanayotuambia. Ndio maana leo hii waafrika ni shida sana, hatuna utamaduni, hatuna chochote, family zetu zimeporomoka. Nadhani ni wakati sasa tuachane na utumwa wa akili, tujitambue, tuenzi vitu vyetu, tuboreshe na tudumishe utamaduni wetu. Tuhuishe sayansi ya kiafrika. Vinginevyo, baada ya miaka 50 ijayo, bala la Afrika halitakuwa na mwenyewe.
How Europe Underdeveloped Africa kiliandikwa na Walter Rodney.
Wakati mwingine najiuliza maswali yasiokuwa na majibu, mbali na haya usemayo je hujajiuliza kwanini dereva mmoja amebeba abiria 70 kalewa na anakimbiza over limit mpaka kusababisha ajali lakini abiria wamekaa kimya wote, au bado woga wa zamani umenasa kwenye damu
Hivi hiki kitabu angekua ameandika mtu mweusi mngekikubali kwa kiwango hiki..?!Kweli kabisa Walter Rodney ndiye mwandishi wa kitabu hicho.
Walter Rodney alikuwa mtu mweusi na aliwahi kufundisha chuo kikuu cha Dar miaka ya sabini. Kwa asili alikuwa anatoka Guyana;Hivi hiki kitabu angekua ameandika mtu mweusi mngekikubali kwa kiwango hiki..?!
Ahsante sana kwa kunifungua macho..., lakini huu ndio utumwa wenyewe.., i am sure originally ukoo wao haukuwa ukiitwa rodney.., perhaps walikuwa wanaitwa pondamali or something lyk that..Walter Rodney alikuwa mtu mweusi na aliwahi kufundisha chuo kikuu cha Dar miaka ya sabini. Kwa asili alikuwa anatoka Guyana;
Born into a working-class family, Walter Rodney was a very bright student, attending Queen's College in the then British Guiana (now Guyana), where he became a champion debater and athlete, and then attending university on a scholarship at the University College of the West Indies (UCWI) in Jamaica, graduating in 1963 with a first-class degree in History, thereby winning the Faculty of Arts prize.Rodney traveled widely and became very well known internationally as an activist, scholar and formidable orator. He taught at the University of Dar es Salaam in Tanzania during the period 1966-67 and later in Jamaica at his alma mater UWI Mona. He was sharply critical of the middle class for its role in the post-independence Caribbean. He was also a strong critic of capitalism and argued for a socialist development template
In 1969, Rodney returned to the University of Dar es Salaam, where he served as a Professor of History until 1974.[SUP][2][/SUP]
Rodney became a prominent Pan-Africanist, and was important in the Black Power movement in the Caribbean and North America. While living in Dar es Salaam he was influential in developing a new centre of African learning and discussion.
Katika mambo yote mazuri yaliyomo kwa hii Thread umeona hili tu?Swali la msingi sana ...
ndio maana tangu mwanzo nilisema kwamba ni ngumu mwarabu kuweza kufanya haya peke yake.., historia imechakachuliwa!Ww mzawa wacha chuki na.waarabu hao wazungu waliowatesa waafrika amerikah kaskazini,kusini,jamaica haiti,Trinidad, Honduras, brazil,cuba,cape verde,porto Rico, Bahamas,colombia,san salvador,equador,brazil,Venezuela, Argentina na nk ni wazungu ww na.wakaleta misalaba yao kwa nguvu ya upanga tazama filamu Roots kunta kunte, ukienda bara la arabu utaona wenyw asili ya waafrika ni.wafalme,ma price, na matajiri wakubwa nenda QAtar,Saudi Arabia,Oman, KuwAit, Bahrain nenda au uliiazia walio enda watu weusi wenye asili ya uafrica wana hadhi gani huko? Hata dubai wakaone wana hadhi kubwa sasa waaarabu haqakuchukua watumwa kulima mashamba, ila chuki ya uarabu imepandikizwa watu waone wabaya,sasa mbona dini yao mnaikubali basi muache uislaam kila muafrika anaekwaza ma uarabu aache dini hio atafute dini nyengine huwezi ukaupenda uislaam ukamchukia alieuleta