Utumwa katika picha: Hivi iliwezekana vipi? Mbona Waarabu, Wahindi, Wachina hawakufanywa slaves?

Utumwa katika picha: Hivi iliwezekana vipi? Mbona Waarabu, Wahindi, Wachina hawakufanywa slaves?

Ukifuatilia utaona kuwa maelfu ya waarish toka ireland walichukuliwa utumwani na wa england na kupelekwa marekani kutumikishwa.kumbuka kipindi hicho bara la america ndo limegunduliwa na wakazi wa huko wakiwa ni red indian.
waingereza wakalifanya america koloni lao na waarish walipelekwa huko kama watumwa.

Asante mkuuu
 
Nawafanyisha kazi.

Kwi kwi kwi teh teh teh.

Halafu wewe Miss Chagga, kwenu ndio mpaka leo mna watumwa, kataa!

Wewe ndiyo unawatumwa umeshawaambia wapike wali, ukifika nyumbani wanakosa amani kwz jinsi ulivyomkali ha ha ha
 
Tusitake kupindua historia hapa - Msisahau kuwa waafrika wenyewe walikuwa wakiwa saka na kuwauza wenzao - Mirambo na machief wengine walikuwa wasafishaji wa watumwa wakubwa. Hakuna ushahidi wowote kuwa waarabu walivamia kijiji na kukamata watumwa - watumwa wote waliowachukuwa waliletewa na kuuziwa na waafrika wenzao
 
Arabuni watu weusi ni wengi kuliko unavyofikiria.
ni kweli wapo lakini wengi wanachokifanya kule na jinsi wanavyochukuliwa hakuna tofauti na Utumwa tu. Hasahasa kutoka Sudan na baadhi ya west Africa. Ukitaka kujua mwarabu yupoje wewe Nenda kwao
 
Tusitake kupindua historia hapa - Msisahau kuwa waafrika wenyewe walikuwa wakiwa saka na kuwauza wenzao - Mirambo na machief wengine walikuwa wasafishaji wa watumwa wakubwa. Hakuna ushahidi wowote kuwa waarabu walivamia kijiji na kukamata watumwa - watumwa wote waliowachukuwa waliletewa na kuuziwa na waafrika wenzao

Verry true
 
Uliishi arabuni ipi?na nchi gani?Arabuni kuna nchi tofauti,kama unavyoona Afrika.
Haijalishi ni nchi gani ya kiarabu. Hata kama sikuishi nchi zote za uarabuni ila nilichojifunza kwao ni kwamba mwarabu ni yule yule tu hasa mtizamo wake kwa mtu mweusi bado anamuona ni mtumwa kwake. Muarabu hana huruma hata kidogo. Nendeni ndipo mtaamini haya. Hata kama sio wewe ila utashuhudia mamia ya vijana kutoka Africa wanavyoishi. Wengine hawapo free hata kujichanganya na Blacks wenzao ambao wamekwenda kufanya kazi za heshima au ubalozini. Ukifuatilia ni kwanini wanakuwa hivyo unakuta eti wanawaogopa mabwana au waajiri wao.
 
Thread imevamiwa..na wasiojielewa..
 
Kuna tamthilia ya watumwa inatembea sasa capital tv,ni nzuri,anzia saa moja na nusu hadi saa mbili usiku.
 
Nilitegemea hii mada itaibua mjadala mmoja wenye uelekeo fikirishi sadly.watu wameishia kutetea mabwana zao tu(wazungu/ waarabu)

Hakuna mwarabu wala mzungu mwenye yupo tayari kumtetea mtu mweusi kama mnavyojipendekeza nyie humu hao jamaa zenu wote wanafiki tu.

Mtoa mada hakua na lengo kama unavyolazimisha, nilivyo muelewa alikuwa anatanabaisha tu, ili tujiulize wa afrika ni wapi hasa tulipokosea, ni kwa majibu yaliyotolewa humu ndo tunapata kujuzana hali halisi, na hatimaye kujaribu kuchukua hatua stahiki huko mbele ya safari.

Kudhihirisha kuwa nawe ni moja ya tatizo, unasema ulitegemea kuwa mada ingeanzisha mjadala fikirishi, hivi kweli unawezaje kutegemea mjadala wa katika mada ambayo kwanza hujaianzisha ,pili wala haina mlengo huo,...kwa nini usianzishe mada ambayo sraight ingepelekea kwenye hicho ulichotaka badala ya kutegemea mtu aanzishe, si ndio haya ya serikali kupanga bajeti kwa kutegemea pesa za wahisani, ?

Truth has got no specific temperature, it can be any, cold or hot !!
 
Wewe ndiyo unawatumwa umeshawaambia wapike wali, ukifika nyumbani wanakosa amani kwz jinsi ulivyomkali ha ha ha

Nawafanyisha kazi.

Kwi kwi kwi teh teh teh.

Halafu wewe Miss Chagga, kwenu ndio mpaka leo mna watumwa, kataa!

Wanaudhi, ukienda unawakuta hawajafanya lolote wanatazama TV.

Hapo sasa!
Naona siku hizi mmekuwa mashostito duh!!

sema la ukweli sijawahi kuona FF ukiongea hivi am scaring OMG!!!

What is going on!!
 
kweli wewe sijui ndio faiza uarabu umekukaa kichwani yaani nchi za north africa unasema nao ni waafrika eti unasifia maendeleo ya waarabu wageni wa kilwa kuwa yalikua maendeleo ya mwafrika kweli watu weusi adui no1 ni uwisla no2 ni ukristo
 
Back
Top Bottom