FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Unawatumikisha
Nawafanyisha kazi.
Kwi kwi kwi teh teh teh.
Halafu wewe Miss Chagga, kwenu ndio mpaka leo mna watumwa, kataa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unawatumikisha
Ukifuatilia utaona kuwa maelfu ya waarish toka ireland walichukuliwa utumwani na wa england na kupelekwa marekani kutumikishwa.kumbuka kipindi hicho bara la america ndo limegunduliwa na wakazi wa huko wakiwa ni red indian.
waingereza wakalifanya america koloni lao na waarish walipelekwa huko kama watumwa.
Nawafanyisha kazi.
Kwi kwi kwi teh teh teh.
Halafu wewe Miss Chagga, kwenu ndio mpaka leo mna watumwa, kataa!
Wewe ndiyo unawatumwa umeshawaambia wapike wali, ukifika nyumbani wanakosa amani kwz jinsi ulivyomkali ha ha ha
ni kweli wapo lakini wengi wanachokifanya kule na jinsi wanavyochukuliwa hakuna tofauti na Utumwa tu. Hasahasa kutoka Sudan na baadhi ya west Africa. Ukitaka kujua mwarabu yupoje wewe Nenda kwaoArabuni watu weusi ni wengi kuliko unavyofikiria.
Tusitake kupindua historia hapa - Msisahau kuwa waafrika wenyewe walikuwa wakiwa saka na kuwauza wenzao - Mirambo na machief wengine walikuwa wasafishaji wa watumwa wakubwa. Hakuna ushahidi wowote kuwa waarabu walivamia kijiji na kukamata watumwa - watumwa wote waliowachukuwa waliletewa na kuuziwa na waafrika wenzao
kachunguze ujue dada zako wanavyofanyiwa mpaka leo hii na waharabu....
na wewe pia unafanyiwa?
Haijalishi ni nchi gani ya kiarabu. Hata kama sikuishi nchi zote za uarabuni ila nilichojifunza kwao ni kwamba mwarabu ni yule yule tu hasa mtizamo wake kwa mtu mweusi bado anamuona ni mtumwa kwake. Muarabu hana huruma hata kidogo. Nendeni ndipo mtaamini haya. Hata kama sio wewe ila utashuhudia mamia ya vijana kutoka Africa wanavyoishi. Wengine hawapo free hata kujichanganya na Blacks wenzao ambao wamekwenda kufanya kazi za heshima au ubalozini. Ukifuatilia ni kwanini wanakuwa hivyo unakuta eti wanawaogopa mabwana au waajiri wao.Uliishi arabuni ipi?na nchi gani?Arabuni kuna nchi tofauti,kama unavyoona Afrika.
Dini za ajabu? Nauona upumbavu wako mchana kweupe... kama ulivyosema kwa sentensi ya mwisho.
Waziri Mtanzania anayeongoza wizara katika serikali ya Oman.Waomba utajiwe nini?
Nilitegemea hii mada itaibua mjadala mmoja wenye uelekeo fikirishi sadly.watu wameishia kutetea mabwana zao tu(wazungu/ waarabu)
Hakuna mwarabu wala mzungu mwenye yupo tayari kumtetea mtu mweusi kama mnavyojipendekeza nyie humu hao jamaa zenu wote wanafiki tu.
Wewe ndiyo unawatumwa umeshawaambia wapike wali, ukifika nyumbani wanakosa amani kwz jinsi ulivyomkali ha ha ha
Nawafanyisha kazi.
Kwi kwi kwi teh teh teh.
Halafu wewe Miss Chagga, kwenu ndio mpaka leo mna watumwa, kataa!
Naona siku hizi mmekuwa mashostito duh!!Wanaudhi, ukienda unawakuta hawajafanya lolote wanatazama TV.
Hapo sasa!
Naona siku hizi mmekuwa mashostito duh!!
sema la ukweli sijawahi kuona FF ukiongea hivi am scaring OMG!!!
What is going on!!
Inapendeza lol!!Hatujawahi kuwa maadui mkuu huwa tunaongea labda tunapishana
Inapendeza lol!!