Utumwa katika picha: Hivi iliwezekana vipi? Mbona Waarabu, Wahindi, Wachina hawakufanywa slaves?

Utumwa katika picha: Hivi iliwezekana vipi? Mbona Waarabu, Wahindi, Wachina hawakufanywa slaves?

Kwenda kumwaga mamilioni kwa former slave master huko Mecca kwa minajili ya kuhiji ni UTUMWA PIA.

Tumia akili kabla ya kuandika huo Uharo wako,nafikiri hujui hata ulichokiandika bali umeandika ili kufurahisha tu ili uonekane na wewe unaweza kukashifu imani za watu
 
Utumwa unaoshika kasi kwa sasa ni wa premier na merian betting wa wahindi na wazungu!

Wewe Kiumbe hujulikana hata uko wapi? Mara uwaseme waarabu ndio wabaya zaidi,mara unajikataa wewe mwenyewe na kuanza kusema Wazungu na Wahindi ndio wanaoendeleza Utumwa zaidi!!

Siku hizi mtu analipa Pesa zake mwenyewe na kujipeleka Utumwani,huoni waafrika wanavyokufa baharini kwa safari za hatari? Jaribu kuandika vitu vya maana kuliko kuandika ili na wewe uonekane tu na wewe umeandika.
 
umewahi soma barbary slave trade jinsi wazungu walikuwa watumwa africa kaskazini?
Barbary-slavery.jpg
WHITE-SLAVERYFRONTCOVER-OP.jpg
 
Huwezi kuwa mkweli ikiwa hutataja warabu ambao diyo walikuwa makatili na vinara wa kuchukua watumwa East Aafrica. Kinyume cha hapo, una agenda zako binafsi zisizo na maslahi wala tija kwa taifa.

Mm natamani kuona picha halisi ikimuonyesha muarabu akichunga watumwa waafrika kama tunavyo ona picha halisi za wazungu na watumwa waafrika.
 
Mm natamani kuona picha halisi ikimuonyesha muarabu akichunga watumwa waafrika kama tunavyo ona picha halisi za wazungu na watumwa waafrika.

Maendleo ya technolojia za picha na uandishi hayakuanzia kwa waarabu.

Hata kama ingelikuwapo, ukatili na unafiki wa waarabu kwa vyovyote vile kama ungeanikwa vile walivyowfany watumwa, waarabu wangeuliwa na kila mtu duniani.

Waarabu hawajwahi kuwa binadamu tangu mwanzo wao. Ukiwaona wanajifanya binadamu, ni kwa sababu wanahitaji msaada sawa na simba akiwa mgonjwa anavyotoa machozi ili ahurumiwe. Waarabu ni zaidi ya wanyama pori.
 
Huo ni mtazamo wako na chuki zako binafsi dhidi ya waarabu.
Umeandika kwa kuwa unajua kuandika tu lakini hukujibu na hukunipatia nilicho kihitaji.
Na sidhani kama unaweza kunipatia ukizingatia unasukumwa na mihemuko ya chuki
 
Utumwa ulianzia kwenye familia zetu wenyewe kwa wenyewe,
mfano ni huu- niliwai kusimuliwa na mzee mmoja kuwa mwanzo kbs wa utumwa watu walikuwa wanajitoa au kuchaguliwa na familia zao kwenda utumwani wenyewe, sasa kazi zinapokuwa ngumu kule utumwani au unapotumikishwa kaz za mateso na kutaka kurudi nyuma ndio hapo inapokuwa ngumu, sasa unavyokuwa mbishi kwenye kaz ndio unaanza kuteswa na tukumbuke pia utumwani kulikuwa na manyapara ambao ni ndugu zetu weusi na walikuwa wanatoa adhabu kali km watu weupe, na ndio maana hadi leo hii magerezani kuna manyapara wanaowatesa wafungwa wenzao
 
Maendleo ya technolojia za picha na uandishi hayakuanzia kwa waarabu.

Hata kama ingelikuwapo, ukatili na unafiki wa waarabu kwa vyovyote vile kama ungeanikwa vile walivyowfany watumwa, waarabu wangeuliwa na kila mtu duniani.

Waarabu hawajwahi kuwa binadamu tangu mwanzo wao. Ukiwaona wanajifanya binadamu, ni kwa sababu wanahitaji msaada sawa na simba akiwa mgonjwa anavyotoa machozi ili ahurumiwe. Waarabu ni zaidi ya wanyama pori.

Hujui hata ulichokiandika,umesukumwa na chuki zako binafsi tu ndio maana ukaandika huo Utumbo wako hapa! Tumia kichwa kufikiri badala ya Makalio
 
Ila wayahudi ndio washenzi sana.. refer kumtundika mtini

Hilo hawawezi kuliona mkuu,wao wanachanganya na chuki zao binafsi kwa dini fulani,ukiwaambia Myahudi ni mbaya sana hawawezi kukubaliana na wewe japo moyoni wanajua ukweli na hali halisi
 
Ila jamani mimi niliishi Uarabuni miaka 3. Kiukweli waarabu wengi hawana u binadamu hasa kwa mtu mweusi. Bado wanaona mtu mweusi ni mtumwa tu. Nimeshuhudia mabinti wengi wadogo kutoka Africa hasa kutoka Ethiopia wanapoletwa uarabuni, ukiwakuta Airport kwakweli utaguswa tu maana nilishuhudia walikuwa kama 50 wanaongozwa kama ng, ombe na waliingizwa kwenye chumba kimoja nakufungiwa kumsubiria wakala aliyewaleta ili aje akamilishe taratibu za immigration halafu awagawe kwa watu walioweka order ya House girl. Na kinachofanyika huyo Agent anachukuwa Passport zao ili wasiweze kutoroka. Hivyo hata apate mateso kiasi gani hataweza kuondoka hadi wakala aliyewaleta akubali. Na hata maslahi yake yote yanalipwa kwa huyo wakala ndipo alipwe yeye kiasi atakachopangiwa na huyo wakala. Nilikuta kesi nyingi za nyuma za kuteswa na wengine kufariki kwakutupwa ngorofani na wake za matajiri zao wanapokuwa na hisia kuwa huenda wakafanya mapenzi na waume zao. Na kwavile nimeshaishi na wazungu basi kwa mtazamo wangu naona angalau Mzungu anathamini Utu na ubinadamu hata kama atakunyonya. Pia tukumbuke kuwa japokuwa biashara ya utumwa iliwanufaisha wazungu na waarabu lakini ni wazungu ndio walioanzisha campaign yakukomesha biashara hiyo. Mwarabu hakuwa hata na wazo hilo

mzungu na mwarabu wote wakatili tu.
 
Hujui hata ulichokiandika,umesukumwa na chuki zako binafsi tu ndio maana ukaandika huo Utumbo wako hapa! Tumia kichwa kufikiri badala ya Makalio

Wwe toa hoja. Matusi hayabadilishi ukweli. Wewe ni Sodoma Product nini? Kwa akili yako hukosi kuwa mtoto wa baba na biti.
 
Huo ni mtazamo wako na chuki zako binafsi dhidi ya waarabu.
Umeandika kwa kuwa unajua kuandika tu lakini hukujibu na hukunipatia nilicho kihitaji.
Na sidhani kama unaweza kunipatia ukizingatia unasukumwa na mihemuko ya chuki

Kwa ufupi miarabu ni uzao wa shetani. Ukitaka kujua neda Maka. Period.
 
Kwa ufupi miarabu ni uzao wa shetani. Ukitaka kujua neda Maka. Period.
Ww mpuuzi ndio maana unaabudu sanamu la mzungu.
Akili zako za kijinga na naamini mpaka leo unakunya unajifutia vibunzi vya mahindi
 
Huwezi kuwa mkweli ikiwa hutataja warabu ambao diyo walikuwa makatili na vinara wa kuchukua watumwa East Aafrica. Kinyume cha hapo, una agenda zako binafsi zisizo na maslahi wala tija kwa taifa.

Na hautakuwa mkweli kama hautasema kuwa ma chifu wa kiafrica ndio walio wauza waafrica wenzao bila ya kulazimishwa just kwa sababu ya maslahi yao.
 
Waafrika wenyewe walisaidia sana kushamiri kwa utumwa. Hata sasa waafrika wachache kwa faida pipi wanafanya waafrika wenzao wanyonye wateswe na wateseke.
 
Back
Top Bottom