Utumwa wa Tume ya Uchaguzi Tanzania: Wasemavyo Maaskofu wa TEC

Nakubali hilo.

Hatahivyo, kati ya taasisi zote ndoa/familia ndiyo taasisi ya kwanza na chanzo cha taasisi zote.

Ikiwa taasisi ya ndoa/familia imeharibika inawezekanaje taasisi zinazotokana nayo kuwa salama ?

Msingi wa hoja yangu ni kwamba taasisi nyingine zote zinatokana na taasisi ya ndoa/familia.

Hoja kama ilivyo hapo juu siyo kosa kuijadili. Lakini je, kile kinachoitwa kasoro za tume chanzo chake ni nini? Swali likijibiwa ufalme wa Mungu utafika.

Ukizungumza nafasi ya tume ya uchaguzi katika kujenga ufalme wa Mungu bila kujua kwamba hao wanaounda tume wanatoka kwenye familia ni sawa na mwili wa mtu ambaye ubongo wake umeharibika, viungo vya mwili vitawezaje kufanya kazi kwa ufanisi ?
 
Ndoa/ familia yako haijaharibika?

Familia zinaharibiwa na wakuu WA nyumba hasa baba na mama kwa mchango WA MTU WA tatu aitwaye PESA

Udhaifu WA tume si WA tume yenye Bali ni mfumo unaounda tume na mazingira yake.

Tatizo LA tume ni udhahifu WA familia zipi?
Za 2000s au 90s

Mabadiliko ya kitaasisi ktk nchi zinazoendelea na za kijamaa pia kikomunisti ngumu kwa kuwa watu hawahitajiki Bali wanaangalia system yao inavyofanya kaz ( maslahi ya wachache)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mawazo yako yanakinzana. Yatazame vizuri.

Hatahivyo, nikuulize swali: mfumo ni nini ?
 
Hatahivyo, kati ya taasisi zote ndoa/familia ndiyo taasisi ya kwanza na chanzo cha taasisi zote.

Wewe unajadili mahusiano kati ya taasisi za ndoa na familia kwa upande mmoja, na taasisi baki kwa upande mwingine.

Hoja yetu hapa inahusu nakisi katika muundo na majukumu ya taasisi moja pekee, tume ya uchaguzi. Hizo ni hoja mbili tofauti.

Lakini pia, unapoandika "ndoa/familia" na kuirejea kama taasisi moja unanifanya niache kuendelea kusoma maelezi yako. Unakosa focus.

Kuna equivocation inayokoroga hoja yako. Ni hivi:

-An organism is an integrated compound entity that, either autonomously or heteronomously, strives for a certain end. It can be a biological, social or mechanical in nature.

-Human institutions are social orgamisms, each specified by the functions it serves in a given society.

- marriage as a coital society is a source of the members required by other institutions, but that does not mean that marital functions overlap with the functions of the derivative institutions.

- we have temporary, permanent, monogamous, polygamous, polygynous, polyandrous, and marriages.

- each of these is a potential source of Tume members but the Tume has functions which are not performed by matrimony.

- so "ndoa/familia iliyoharibika" is an ambiguous and useless phrase in the discussion on the functions and freedom of an electoral management body. At best It is an ignoratio elenchi.

So you have to rework your point for its intelligibility and relevance in the subject at hand.

NOTE CAREFULLY: A family, as opposed to marriage which is a coital socety, is a parental sociey. Its taxonomy is similar to that of marriage.

Kwenye somo la Theology 101 huko seminari kuu kuna kitu kinaitwa "the function of generating and rearing of offspring."

Mara zote nimekuwa nawauliza wanateolojia: is this one function or two functions?

Ukweli ni kuwa hizi ni kazi mbili tofauti japo zinahusiana.

Rekebisheni mitaala yenu, vitabu vya kiada na matini yenu pia.
 
Hii ni vita

Ujasusi unahusika ktk hatua zote na ndiyo maana unatakiwa kulichukulia ili suala kama haliwezekani ili thinking capacity na thinking tank zako zikupe majibu chanya.

Be firm and ethuthiastic

Tume huru haiwezekani kamwe kwa bunge tulilo nalo na nguvu za rais wa nchi hii.

Hilo ndilo swali litakupa nini hasa nilikuwa nafikir awali juu ya michango yako.

Tegua kitendawili uendelee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado hujapata majibu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maelezo fikirishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani atamfunga paka kengele?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani atamfunga paka kengele?

Sent using Jamii Forums mobile app

Namna yetu ya problem framing ndiyo itatupa jibu. Je kuna uhusiano wa paka na panya kati ya serikali ya ccm na kambi ya watu wanaodai tume huru?

Yaani kuna either/or scenario au both/and scenario? Kama kuna either/or scenario how can we transform it into a both/and scenario?

Lazima kutafuta compliance ya serikali ya ccm ktk mkakati wetu. Tunaupataje?

Jawabu kwa maswali haya ndio yanafungua milango ya maswali kuhusu mikakati stahiki.

What do you think? Is it an either/or scenario or both/and scenario?
 
Maelezo fikirishi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sawa. Yanafikirisha. Lakini kama tunataka kupanua wigo wa marafiki wa tume huru lazima tukubaliane kuhusu kanuni minimum ambazo ni universally binding ktk harakati zetu.

Kanuni moja ninayoipendekeza na inayopendekezwa na waraka wa TEC ni kwamba:

ACCORDING TO THE NATURAL LAW OF MORALITY AND ITS AUTHER'S ORIGINAL PLAN GOOD ENDS MAY NEVER JUSTIFY THE DIRECT CHOICE OF EVIL MEANS TOWARD THOSE ENDS.

Sehemu zote duniani secret service departments wanavunja kanuni hii kwa kupitia mlango wa covert operations. Lkn sisi ni kundi tofauti. Hatuna ujuzi wa kutosha wankukwepa sheria kwa njia ya covert operations. Hapo vipi?
 
Nilik Nilikwambia majibu yangu yanapingana na imani yako.


Vita na tiba mara nyingi kifalsafa si kosa LA kimaadili kama linalenga ukombozi WA wengi na dhamiri ikiwa si lux

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Frame the justification of the problem



Maelezo yetu hapa jf, na huko vijiweni inaonesha sisi ni panya tunaliwa na paka kila Mara kwenye chaguz zetu, either kura ziibiwe or tume iamue kutangaza mshindi hasiye shinda au vyote kwa pamoja

Hatuna uhakika wa kura zetu baada ya zoezi LA kupiga kukamilika.

Zoezi LA kuhesabu ni tatizo na kutangaza ni shida.

Daima tume wamekuwa hawaonyeshi kuwa tatizo ni lao au wao ndiyo chanzo cha tatizo.

Kama tume wanajiona neither huru nor utumwa, sasa shida ni yupi?
Sisi hatumlalamikii tume kwa nini si huru Bali tunailamikia serikali kwa nn tume si huru kwa kuwa inaundwa na wao.

Kama ni hivyo,
Yupi ni panya? Ambaye haki yake inaminywa au yule anayeminya haki?

Methodology



Compliance yetu na serikali itatokana na kuipenda serikali kinafiki na lazima iwe hivyo.

Kwa kuwa hatuna Nguvu kuizidi serikali

Ndipo inapohitaji akili ya kuzaliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Serikali imesema corona haitasimamisha uchaguzi wala Bunge
 

Ha ha ha!
We kiboko!

Basi tuanze kutafuta kengere then tutafute mfungaji wa kengere kwenye mguu wa serikali. Mjadala uendelee.
 
Serikali imesema corona haitasimamisha uchaguzi wala Bunge
Hatuna uhakika kwa hoja ya mzee mwanakijiji

Lkn ikiwa hivyo ni pigo kwa wanaharakati, tume na vyama vya siasa visivyo na wabunge wengi au ambavyo havina.

Pia nilikuwa najiuliza aliongea kama mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi au head of state! uhuru wa tume uko twisted kweli kweli.

Sasa tume ifanye nini nawakati haijatangaza taarifa ya zoezi la uchaguz baada ya kukutana n wadao ambao kikao chao kilihairishwa.

Tutaona mengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Lakini bado kuna nafasi ya kujenga hoja ya kuahirisha uchaguzi ili kuweka mazingira bora zaidi. Swali ni nani ataijenga?
 
House girl(dada wa kazi) Ni binadamu aheshimiwe, apumzike, apewe Uhuru wa kuabudu pia
Unavo wapenda hawa binadamu, na kupigania haki zao? heee! wengine ni majike dume km utaogopa kuwa jaribu na kuwanjua watakuzalishia siku moja!
 
CCM wakishindwa kwenye uchaguzo wowote ule, ni Uzembe usiosemekana, hasa itatokana na kuchagua vilaza wasiojua siasa, mfano hao maprofessor, hata uwe na IQ kubwa kiasi gani usome mpaka umalize masomo yote! km hujui siasa, utapoteza madaraka kirahisi mno!.

Amini nawaambia ''It must be noted that men with bad instincts are more in number than the good, and therefore the best results in governing them are attained by violence and terrorisation, and not by academic discussions, every man aims at power, every one would like to become a Dictator, if only he could and rare indeed are the men who would not be willing to sacrifices the welfare of all for the sake of securing their own welfare!.

Hata maisha nyumbani baba yapasa uwe Dikteta! ili mambo yaende, kusiwe na uhuru wa, kupiltiliza, niliwahi sema ''Uhuru bila nidhamu ni wendawazimu''. ukiendekeza uhuru nyumbani kwako kila mtu atafanya anavotaka, mke hata wageni!

Political Democracy and freedom is an idea but not a fact. this idea one must know how to apply whenever it appears necessary. the ruler who is governed with the moral is not a skilled politician, and is therefore unstable in his own throne. CCM Must have recourse both to cunning and to make believe. thenceforth powerful enemy'

Kina Mbowe na wenzake wanataka nini? si madarakaa? ambayo CCM amekamata, Sasa iwape? kiarahisi tu?
Ogopa sana mtu anatabasamu au kuongea vimeno vya juu vinaonekana kiduuchu km Mbowe! bora mara zote unayeona meno yote! Siasa ni Propaganda na mchezo wa aina flani fulani hivi mbaya sana! usipoujua! utachekesha walio nuna!
Mama Amon! mimi sina chama!
 
Inaonekana darasani ulikuwa na akili nzito sana kuelewa na hiyo ndio ilisababisha kutowahi ingia kwenye 3 bora katika maisha yako ya kielimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…