Doctor Mama Amon
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 2,089
- 2,725
- Thread starter
- #261
Jambo la pili. Ni vigumu kujua ni kiasi gani cha mchango uliofanywa na Nyaraka hizo mbili, Kenya na Zambia katika kuleta matokeo ya chaguzi zao, mbali ya uhusika wa mambo mengine mbalimbali yaliyokuwepo katika nchi
Ufafanuzi: Ktk waraka huu ukiondoa orodha ya maaskofu na kufuta maneno BARAZA LA MAASKOFU KATOLIKI TANZANIA, halafu ukasoma maelezo yanayobaki, hakuna kitu kitakuonyesha kuwa huu ni waraka wa TZ. Inawezekana ni pengo la makusudi au vinginevyo.
So, nimezitaja nyaraka za kenya na zambia kama mkakati wangu wa kuweka transition kutoka ktk general christian grand narrative na kuingia ktk application yake kwenye nchi husika. Sina sababu ya kuweka details zaidi kama hizo unazozitaja.
Asante.