Utunzaji wa nywele za asili

Nywele natural ila kipilipili cha hatare nataka zinyooke ukiweka dawa zitaota tena?


 
My dear ukiweka dawa lazima new growth itokee, kwa hiyo itakulazimu uweke tena dawa

Ila kama hutaki nywele za dawa siku hizi kuna products nzuri za natural hair, try za cantu ila za auntie jackie naona zipo cheaper kidogo
 
nina nywele natural ila kipilipili cha hatare.nataka zinyooke .ukiweka dawa zitaota tena?
mmmh ucjaribu kuwekaa dawa,, utabaki kipara,, zangu nikiweka dawa zina katika zote nabaki na kipara,, weka steaming,, hina ya majani changanya na yai la kienyejii kwa mwezi mara mbili , paka kwenye mizizi ya nywele,, utanipa matokeo
 
My dear ukiweka dawa lazima new growth itokee, kwa hiyo itakulazimu uweke tena dawa

Ila kama hutaki nywele za dawa siku hizi kuna products nzuri za natural hair, try za cantu ila za auntie jackie naona zipo cheaper kidogo
Auntie Jackies ni bei poa ila nzuri sanaaaa... Tena ukiwa na seti nzima utapenda. Mii nina dry hair lakini with aunt Jackies zimekuwa laini hadi nazionea raha. Try that maa
 
Afu jaribu kufollow page za wale ma expert wa natural hair kule insta, wanatoaga ushauri na maelekezo mazuri. Wanasaidia sana... Kina Adel_naturals, naturalhairtz, mimis_hair na wengineu
 
Maana ninakipilipili sio cha nchi hii ukichana mbele nyuma zimejirudi ukimaliza nyuma mbele zimevurugika nilijaribu kueka dawa zinakatika nikisuka rasta za aina yeyote baada ya mtindo labda ninyoe nianze upya maana zinazunguka kukatika mateso ya nini nimejiekea dread hapa aaaaaa nakula bata tuu
 
Mimi kipilipili changu ni dread toshaa, naziosha na kuzipaka mafuta basi nasepa zangu....watu wanauliza dread nimetengenezea wapi kumbe ni asili tu, kipilipili cha kisomali [emoji1][emoji1]
 
Mimi nipo mwanza, hina kuna miti yake tu naweza kuchuma nkatwanga na kuanika nkatumia au huwa yanachanganywa navitu ndo iwe hina?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…