Sio mafuta. Inaitwa leave in conditioner ambayo jackies ni kampuni. kuna leave in conditioner nyingi za kampuni tofauti.Ntapataje hayo mafuta ya aunt Jackie msaada plz
Hiyo leave in unapaka baada ya kuosha nywele zako kabla hujazichana. Ukipaka ndo unachana nywele zinakuwa laini kama zimewekewa dawa. kipilipili hakitokuhangaisha tena.Ntapataje hayo mafuta ya aunt Jackie msaada plz
Unaweza chukua zote. But kama ni kuhusu kuchana nywele kwasbb ya kipilipili bas chukua leave in conditioner peke ake. unaweza ukachanganyia na product nyingne za shampoo au mafuta.Mi nnachojua ni kwamba aunt Jackie ana products nyingi, so mnatushauri tuchukue zote au hiyo conditioner pekee?
Asante nina nywele nyingi alafu ndefu pia kavu mno Yaani nikinyoosha na blow dryer lazima niumwe kichwa hata nikipass siku 1 tuu hizoo [emoji16] nitajaribu hizo product maana nlichoka nikasema naeka relaxer this DecemberUnaweza chukua zote. But kama ni kuhusu kuchana nywele kwasbb ya kipilipili bas chukua leave in conditioner peke ake. unaweza ukachanganyia na product nyingne za shampoo au mafuta.
Pia kwa matokeo mazur ununue na shea butter ya nywele. Ni mafuta mazito kwa ajili ya nywele unapaka kwenye nywele yanasaidia nywele ambazo ni kavu zikae na mafuta mda mrefu.
Ukipaka leave in unachana unakuja unapaka shea butter ndo yanakuwa mafuta yako ya nywele lakini pia hata mwilini yanatumika. Ni mafuta mazur sana
Yaan ukitumia hyo leave in conditioner mtu anaweza kuhisi umeweka relaxer. Saiv hamna haja ya kuweka relaxer.Asante nina nywele nyingi alafu ndefu pia kavu mno Yaani nikinyoosha na blow dryer lazima niumwe kichwa hata nikipass siku 1 tuu hizoo [emoji16] nitajaribu hizo product maana nlichoka nikasema naeka relaxer this December
Mi zangu kipilipili lakini nyeusi tii.. naiogopa hina sababu sitaki zibadilike rangimmmh ucjaribu kuwekaa dawa,, utabaki kipara,, zangu nikiweka dawa zina katika zote nabaki na kipara,, weka steaming,, hina ya majani changanya na yai la kienyejii kwa mwezi mara mbili , paka kwenye mizizi ya nywele,, utanipa matokeo
Thanks for sharing. Nahisi nimepata muarobaini wa kuki keep hiki kipilipili changu, maana nakipendaUnaweza chukua zote. But kama ni kuhusu kuchana nywele kwasbb ya kipilipili bas chukua leave in conditioner peke ake. unaweza ukachanganyia na product nyingne za shampoo au mafuta.
Pia kwa matokeo mazur ununue na shea butter ya nywele. Ni mafuta mazito kwa ajili ya nywele unapaka kwenye nywele yanasaidia nywele ambazo ni kavu zikae na mafuta mda mrefu.
Ukipaka leave in unachana unakuja unapaka shea butter ndo yanakuwa mafuta yako ya nywele lakini pia hata mwilini yanatumika. Ni mafuta mazur sana
ikianzishwa nishitue jamaa yangu....maana itakuja sasa ya wenye vigimbi!!!Hizi thread za watu walio na vitu fulani wakutane hua zinaniacha hoi,nasubiri uzi wa watu wanaotumia JF tukutane na mimi niende[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sio mafuta. Inaitwa leave in conditioner ambayo jackies ni kampuni. kuna leave in conditioner nyingi za kampuni tofauti.
Kupata hiyo jackies nenda mwenge ulizia leave in conditioner ya jackies au kama hamna ulizia ya mega growth ni nzur pia.
Usiulizie mafuta ulizia leave in conditioner
woooh asante kwa kushareHiyo leave in unapaka baada ya kuosha nywele zako kabla hujazichana. Ukipaka ndo unachana nywele zinakuwa laini kama zimewekewa dawa. kipilipili hakitokuhangaisha tena.
shukrani mamiiiSio mafuta. Inaitwa leave in conditioner ambayo jackies ni kampuni. kuna leave in conditioner nyingi za kampuni tofauti.
Kupata hiyo jackies nenda mwenge ulizia leave in conditioner ya jackies au kama hamna ulizia ya mega growth ni nzur pia.
Usiulizie mafuta ulizia leave in conditioner
Yanaitwaje?? Yanapatikana wapi au nipe contact zakeAuntie Jackies ni bei poa ila nzuri sanaaaa... Tena ukiwa na seti nzima utapenda. Mii nina dry hair lakini with aunt Jackies zimekuwa laini hadi nazionea raha. Try that maa
Kwanza tujuze kipilipili ni pilipili aina Gani? Kichaa au Refu.nina nywele natural ila kipilipili cha hatare.nataka zinyooke .ukiweka dawa zitaota tena?
AHAAAAA KICHAA NDO KIPI TENA?Kwanza tujuze kipilipili ni pilipili aina Gani? Kichaa au Refu.
Yanaitwa hivo hivo Aunt Jackies, ndo kuna shampoo, conditioners (leave in na ile ya kuweka na kuosha), kuna mafuta yake kwa ajili ya natural hair, etc etc. Maduka ya SH Amons utayapata, na insta kuna watu wanauza lakinu watu wa insta wana mabei balaa. Sh Amons wanauza elfu 15 @. Insta utaambiwa 20 au 30Yanaitwaje?? Yanapatikana wapi au nipe contact zake
Madame pole sana mm nadhani hizo ndio nzuriasanteni kwa Topic nina natural hair ndefu na ngumu kama steel wire ngoja nijaribu hizi product maana nikiosha nasikia kulia jinsi ya kuchana