Utunzaji wa nywele za asili

FaizaFoxy,

Aunt Zainab yupi mwenzenu napenda nywele zangu niko tayari kuziangaikia balaa ila siweki dawa kabisa
 
Hahahaha

Jaribu utupe mrejesho.

Binafsi nnautummia sana huu udongo, yaani kila wiki mara moja nnafanya mud bath kwa udongo wa Bi Zainab, nnajisiriba mwili mzima siachi sehemu.
Kweli? Huachi sehemu? Hata kwa bi Faiza?
 
Shukran Da' Faiza.Ngoja nimtafute huyo seller labda kipilipili changu kitafika had kiunoni [emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…