Utunzaji wa nywele za asili

Utunzaji wa nywele za asili

FaizaFoxy,

Aunt Zainab yupi mwenzenu napenda nywele zangu niko tayari kuziangaikia balaa ila siweki dawa kabisa
 
Hahahaha

Jaribu utupe mrejesho.

Binafsi nnautummia sana huu udongo, yaani kila wiki mara moja nnafanya mud bath kwa udongo wa Bi Zainab, nnajisiriba mwili mzima siachi sehemu.
Kweli? Huachi sehemu? Hata kwa bi Faiza?
 
Arabian queen

Mbona unajihangaisha sana kwa mayai na ghasia zote hizo? Aunt Zainab ana udongo wake wa ajabu sana, unapaka tu kichwani kama conditioner na matokeo yake kuanzia siku ya kwanza ni ajabu kabisa. Nywele zinaacha kukatika, nywele zinakuwa na nguvu na zinaota kwa kasi ya ajabu, hata kama ulikuwa na kipara cha madawa ya nywele zinarudi, jionee: Unatokwa na nywele? Una kipara? Jionee maajabu ya Aunt Zaynab's Natural Super Clay

Halafu hilo jimama la ki Tamim, jiarabu lenzako hilo.

Pia udongo wake kwenye ngozi ndiyo funga kazi. Kuliko liwa kuliko dawa yoyote ile ya ngozi.
Shukran Da' Faiza.Ngoja nimtafute huyo seller labda kipilipili changu kitafika had kiunoni [emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom